mgalatia

1.8K posts

mgalatia banner
mgalatia

mgalatia

@fran732661

#UBUNTU BOTHO

Katılım Aralık 2023
246 Takip Edilen125 Takipçiler
eng_manosa
eng_manosa@innocent_m37729·
@EngMapundajr Me nilikuwa nanunua vitu vingi alafu nikikaribia home navitupa 🤣
Filipino
2
1
5
357
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Zamani tukiwa bado Wadogo ilikuwa unaiba hela, unaitumia hadi inagoma kuisha, unaamua tu kuitupa ili usije ukabambwa na Chenchi ..😂😂😂
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
77
76
575
14.9K
mgalatia
mgalatia@fran732661·
@Samalentips Changamoto zipo, ata uwe napesa vipi, nivile ujafikiria kwa kina,
Indonesia
1
0
1
48
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Kwa maoni yangu , Sioni umuhimu wa kuwahi kuoa badala mtu angejitafuta kwanza ili at least watoto wake waje waishi vizuri siku akijipata, sasa kijana anakimbilia kuoa huku amepangisha na hana maisha hapo atakuwa anamlazimisha mtoto wake ateseke au aishi maisha ambayo yeye mwenyewe hakuyapenda, sometimes sijui mnakwama wapi vijana, pambania kwanza maisha yako ili at least siku ukijipata unaoa mke wako mzuri , mnatengeneza familia bora
Indonesia
12
0
23
5.4K
mgalatia
mgalatia@fran732661·
@Balyx_ Hapo kuna vitu viwili Kampini ya inje inajishughulisha nausambazaji kwakua inabrand kubwa Muwekezaji wandani ananunua sehemu tu ya iyo brand nakufanya hizo product alizo nazo basi kwahiyo kampuni nying bongo zinajiendesha hivyo
Indonesia
0
0
0
217
mgalatia
mgalatia@fran732661·
@mananajr_ Hii sito hisahau , wakati waudogo nilikua nacheki mabro wanatia mdomo nikajaribu, aise niliona dunia inanzunguka nakaoga njiani mchana kweupe dah😁 sikuwahi kurudia
Indonesia
2
0
2
1K
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Wakati hizi zaga zinatamba niliambiwa ni dawa ya jino, Nikanunua nikaweka, alafu nikasahau kutema mate kubababakeeee sitasahau🙌
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽 tweet media
Filipino
29
18
115
14K
Balyx
Balyx@Balyx_·
@Mackincheese23 Hii ni web ndio Internet ya kawaida tu unakula utawala
Filipino
1
0
8
2.2K
Balyx
Balyx@Balyx_·
FawaNews ni hatari sana🔥 Hamna app inayoifikia hata kidogo
Indonesia
41
43
503
28.9K
lyf ngumu🥶
lyf ngumu🥶@kilio_chetu·
@juliejuleth Tafuta Asali HALISI ya Nyuki Wadogo, then utakuwa unakunywa kidogo kidogo mida ya Alfajiri madondo yanapochachamaa. Kwa siku chache tuu utaanza kuona unafuuu Endelea hadi utakapokuwa sawa. Epuka vyakula/Vinywaji vyote vinavyo kuletea kiungulia (Heartburn)
Indonesia
2
0
2
1K
faith 🙏🛐✞︎
faith 🙏🛐✞︎@juliejuleth·
Guys habari za asubuhi, Anayejua dawa ya vidonda vya tumbo anisaidie jamani, vinanitesa sana, nimetumia dawa za hospital naona hazijanisaidia.
Indonesia
111
43
270
27.4K
mgalatia
mgalatia@fran732661·
@Therealngassa Ila umesahau kitu, aliye pata elimu ya theory ndiye kamfundisha uyo wa practical sas nakuuliza yupi nibora? Heshimu position ya kila mtu
Filipino
0
0
0
33
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Hivi elimu yetu ina shida gani manake unakuta janja lililo drop shule form 4 likaingia gereji na graduate wa mechanical/automobile engineering wakiwekwa meza moja janja la gereji linaweza mzidi mautundu graduate shida nini kwenye elimu yetu
Indonesia
25
13
203
10.8K
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Swala la Wanaume walioko Ndoani ,Kupiga show, kimoja chali na Kushindwa kurudia Raound ya pili ,ila Wakikutana na michepuko au malaya Huko nje, Wanapiga Vitatu mpk vinne tena ,Huku Bolo likiwa na nguvu kubwa vibaya mno ,Hii Nimeifanyia uchunguzi na kubaini mambo kadha wa Kadha. 1)Wanawake wa ndoani Mda wa midinyano hua wanakua wakari ,wengine wanabana miguu wengine ni magogo hawatoi usirikiano hivo kumkata Steam ,Baba wa Familia na Kufanya Baba Adinye akiwa na Hasira. hivo kumfanya akojoe mapema na uboo kulala mazima. 2)Wanawak-e wa ndoani wengi wao niwagonjwa ,kutokana na Kupata matatizo ya mfumo wa uzazi ambayo yamesababishwa na Matumizi ya Sindano ,Njiti na Vidonge vya majira vya uzazi wa mpango Hivo kuwafanya wakose hamu ,K zao kua kavu kama vumbi la Simenti ,Kubleed Bila mpangilio wengine hata mwezi mzima ,kunenepa hovyo Jambo ambalo Baadhi ya wanaume Huwapelekea kukosa hamu, maana mwanamk-e anakua na umbo kama pipa Haeleweki mbele wapi nyuma wapi Hapo ..Hamu inakujaje sasa. 3)Vitisho juu ya Kupewa unyumba mala leo apewe, mala asukumwe, mala leo nimechoka mala ,we unataka tu kila siku mi sina hamu yaani ,inajenga hofu kwa mume wake mwanaum-e ameoa ila hana uhakika wa Kuichapa Kiasi kwamba inakatisha kbs Tamaa. 4)Uchafu ,wanawake wa ndoani baadhi yao ni wachafu wa kinywa na mwili ,mwanamke ameamka asubuhi hajapiga mswaki kutwa nzima jasho na akioga bc ni mchana tu usiku analala ivo ivo Akikuongelea karibu na pua ananuka mdomo, afu ukimwambia ananuka mdomo anakua mkali hataki kabisa kuambiwa ukweri. Hii inakata steam kbs mwanaume unakua na hasira mda wote. Mwanamke anae shinda nyumbani bila kwenda popote propability ya kushinda bila kupiga mswaki ni kubwa mno ,maana atakua bize mala watoto mala kufua mswaki hawezi kumbuka, kwa anae toka kwenda job huyo hawezi kwenda bila kupiga mawaki. Hili nimelibaini baada ya Kufanya Mahojiano na wanawake wa ndoani zaidi ya 100 kwa nyakati tofauti tofauti, wengine wanashindia maguo makubwa ya hovyo yananuka dagaa shombo yaani mwanaume ,anarudi home uko amepishana na watoto wazuri wamevaa vizuri Wananukia uturi ila akifika home mkewake ananukia jasho nguo zenyewe kavaa Mavitenge. Na sio kwamba uyo mwanmke hana nguo nzuri anazo ila ,washajijengea Tabia akiwa home anavaa mavitenge... wanaudhi mno. Hili andiko nimeandika kwa uchungu mkubwa mno. Sogea Dm nikupe Package ama WhatsApp 0680114218
PASTA JOSHUA tweet media
Indonesia
29
26
143
37K
mgalatia
mgalatia@fran732661·
@uniforce_energy Hivi tofauti na ku clanp meter kwenye phase ilikujua current ni njia gani nyingine unaweza tumia kusoma phase current?
Indonesia
1
0
0
21
mgalatia
mgalatia@fran732661·
@Maestrowafact Hapo kuna watu wa nne umewaongelea kuna wawili wanataka 2030 wagombe uku mmoja atakua anamaliza na mwingine mstaafu😃 mm sijui🤔
Indonesia
0
0
0
240
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact·
🧵 UZI: ANATOMY OF A FALLING SHADOW 🌑 Katika korido za mamlaka, kuna watu wanaitwa "Proximity Assets." Hawa ni watu ambao nguvu zao hazitokani na katiba, bali na "Direct Access" kwa wakuu. Leo ntawajuza kwa nini "Mamlaka ya Kuazima" (Leased Power) ni mtego wa mauti.
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI tweet media
Filipino
7
16
52
9.8K
mgalatia
mgalatia@fran732661·
@Vitabu247 Kusoma nikupata mawazo ya watu wengine ila kutekeleza sio lazima , acha mtu asome ili awe namtazamo wake, ila ukimwambia asisome au akae mbali na vitu fulani niku mlimit uyo mtu kujua fikra za wengine
Indonesia
2
0
3
272
Learners Bookshop
Learners Bookshop@Vitabu247·
Kama umeajiriwa au uko shule kuna vitabu kaa navyo mbali sana. Vitakubadilisha mtazamo wako na utajiona kama unapoteza muda. Soma vinavyoendana na unachofanya zaidi
Indonesia
3
6
76
4K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Kwa michambo hii ya leo #D9 mzuka hadi majumbani - namna hii 🔥😀 Wazee kwa vijana tupo na mzuka mbaya! Who are you? 👊🏽#SamiaMustGo 💪🏽
Filipino
20
174
969
36.8K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Kwa tulipofikia sasa kila Mtu atachambua Siasa na ataisoma Katiba ataijuwa na ataichambua vizuri kabisa.😂
The mandevu tweet media
Indonesia
19
97
1.1K
14.5K
mgalatia
mgalatia@fran732661·
@masoudkipanya Good idea, Sema apo ulipo sema unaumia sisi tulisha feli ndo pakukazia
Filipino
0
0
1
155
Masoud Kipanya
Masoud Kipanya@masoudkipanya·
Kwa mchina tusichukue samaki, tuchukue nyavu na mishipi.. Usikose episode ya 4 ya kalamu kwenye chaneli ya Kipanya Tell a Vision kuanzia saa moja usiku kila ijumaa.
Indonesia
14
94
663
19.2K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Haya ndio maneno ya Kwanza huyu bwana kuongea baada ya kuteuliwa kuwa Waziri mkuu 🙆‍♂️🙆‍♂️ Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
62
13
204
28.6K
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
Novemba 07, 2025: Tangazo la Kanisa Katoliki kuelekea Novemba 10, 2025 📌
Jamii Forums tweet media
Indonesia
23
238
1.1K
72.1K
mgalatia retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Ndugu yetu Baraka Maviatu alipoteza simu siku chache zilizopita, amejaribu kurudi kwenye account yake inamsumbua sana, kwa sasa anapatikana kwa account hii hapa @MaviatuBackup @MaviatuBackup @MaviatuBackup Please Rt.
Indonesia
2
56
105
9.5K
Mputa Maseko
Mputa Maseko@Mputamaseko·
@INFLUENCERjr Mzee was Good, ila kuna kosa moja katutendea sana watanzania alikua na uwezo wa kutubadilishia katiba lakini alidhani kila mtu ana akili kama zake.
Filipino
1
0
1
131
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Huyu mzee hakuitwa Baba wa Taifa kwa bahati mbaya
Indonesia
3
12
142
5.8K
mgalatia retweetledi
Wizdõm★
Wizdõm★@Wizdomtz·
Good morning everyone out there
Wizdõm★ tweet media
English
23
25
77
4.7K