@ayubu_madenge Af kuna sisi mungu wetu tunampigania kwa igaidi wengine mungu wao alipigwa inch 6 msalaban yaan hii dunia bora uwe na nenge mda wote la sivo
Sanamu la Buddha lililoibiwa ndani ya hekalu huko Nepal limepatikana na limerejeshwa mahala pake. Sanamu hilo lenye miaka zaidi ya 700 liliibiwa miaka ya 1980s likapelekwa New York USA. Waumini wa dini hiyo ya Buddhism wamenukuliwa wakisema “tunafurahi mungu wetu amerudishwa”.
Sitawafunza kila kitu ila kama una bajeti ya 180-200k huu apa unyama wa soundcore motion 300 kama unataka great sound experience Kwa gharama poa chukua hii Bluetooth speaker 🔊
Ajitokeze mtu yeyote anayeijua dini vizuri,awe Muslim au Christian ,nataka nimuulize maswali matatu tu ili ni confirm Imani yangu rasmi...who can answer my question ⁉️
🚨📱 NAMNA YA KUBADILI SIMU ILIYOTOKA NCHI NYINGINE ILI IFANYE KAZI VIZURI KWENYE NCHI ULIOPO
..
▪️Kuna mambo kadhaa muhimu ya kuangalia. Si kubadili “mfumo” moja kwa moja tu—bali ni kuhakikisha simu inaendana na mitandao ya hapa. ⛓️ 👇🏾
Dkt. Gwajima Amekasirishwa Na Hii Tabia Ya Anko t Kuvaa Nguo za Kike Wakati Yeye ni Mwanaume.
Amesema Tayari Nimeshatoa Maagizo Kuhusu Anko t na Wengine kama yeye. 𝐒𝐨𝐦𝐚 𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧𝐬𝐡𝐨𝐭 𝐊𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐂𝐨𝐦𝐦𝐞𝐧𝐭 👇
Jesca anasema babu yake Rais Magufuli aliyekuwa anaitwa Mzee Nyahinga, alikuwa Katekista wa Kanisa Katoliki. Halafu baba yake Rais Magufuli alitaka Magufuli awe padri, ndiyo maana hata Magufuli mwenyewe alienda kusoma Seminary japo hakumaliza na hakutimiza ndoto ya kuwa padri.
@ErnestKavol4 B-2 spirit kutoka mwisho wa bawa moja kwenda mwisho wa bawa jingine ni urefu wa nusu uwanja (football pitch). Hicho kidude hapo ni kinini??
@ALugandu Nenda ziwani migodini huko jichanganye na watu wa huko, badiri majina yako, badiri Simu zako na life style Yako yote
Nakwambia wa nchi hii hawana intelligence yoyote ile, zaidi ya kutegemea ndugu au mtu wako wa karibu akuchomeshe
@ALugandu Wewe nchi hii ni kubwa sana sema elimu ndio watu hawana ...nenda mkoa mwingne tofat kabisa fanya mishe za kawaida alafu ficha utambulisho wako simu uliyokua unatumia achna nayo kabisa usitumie namba yako ya nida popote usipige simu kwa ndugu zako au rafiki af usiwe mwongeaj sa
Watu waliokuwa wanadiscuss whether its AI or not, mfano wa ring kupotea na kuonekana, I was laughing kweli, On optical camera, light, yupo kwenye yard and position ya camera na rangi/material ya ring, tena watu wakubwa ambao nawaheshimu wamesoma Physics vizuri wana-conclude ni AI kwa blurr ya ring and disappearing shortly into invisibility😂😂