Khamis Matallah

18.9K posts

Khamis Matallah

Khamis Matallah

@Matallahkhamis

Freedom Fighter

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2016
1.6K Takip Edilen3K Takipçiler
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Leo tumeamka na bei mpya ya mafuta. Bei tuliyoitegemea kufuatia mashambulizi yanayoendelea ya Marekani na Israel dhidi ya Iran. Kama ilivyo sehemu zote duniani bei imepanda sana na gharama za maisha zitakuwa kubwa sana. Serikali isaidiane na wananchi kubeba gharama hizi. Serikali iondoe tozo, kodi na ushuru katika mjengeo wa bei ya mafuta ili kumwezesha mwananchi kupata nafuu.
Indonesia
100
46
486
38.7K
mhd
mhd@mhdhamad·
Bishaneni ila msitukanane wala kuvunjiana heshima na msisahu kula 🤗
mhd tweet mediamhd tweet mediamhd tweet mediamhd tweet media
Suomi
7
16
106
4.8K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Wasafi media wamemchukua Haji Manara kuongeza nguvu kwenye kipindi cha jioni leo pale Wasafi Fm. Apo kuna Haji Manara, Oscar Oscar, Eddo kumwembe na Adela Aisee
Filipino
23
30
462
12.6K
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
Naaanda UZI wa Biashara ya Chakula kupata jina na kutengeneza "BRAND" iliyojulikana Duniani kwa concept ya Biriani MUDI jinsi ya kujitangaza kwa mtandao Kupata wawekezaji na kufungua migahawa 5 Tanzania na kisha kudondoka mpaka kukosa hela ya kula na kuanza upya na kuhamia Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai tweet mediaMudi Mabiriani in Dubai tweet media
Indonesia
22
53
235
8.6K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka wasafirishaji kuepuka kupandisha nauli kiholela kufuatia ongezeko la bei za mafuta. Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Habibu Suluo amesema wamepanga kukutana na wadau wa usafirishaji Aprili 8, 2026 ili kujadili mustakabali wa nauli za usafiri wa umma na kufikia mwafaka utakaolinda maslahi ya pande zote.
Swahili Times tweet media
Indonesia
16
9
117
5.8K
Khamis Matallah
Khamis Matallah@Matallahkhamis·
@HashimuMok23111 @AbroadTanzania Kaka hawa waache wajiongeleshe wenyewe hizi ni Propaganda. Wakija Wakristo utaambiwa Waislamu wamuuwa Watu 30. Wakifa Waislamu utaambiwa Watu 30 wameuwawa.
Indonesia
0
0
0
9
MUQ'M COMPANY & MD
MUQ'M COMPANY & MD@HashimuMok23111·
@AbroadTanzania Marekan na Israeli inavyo ua waislam watoto wanawake, wazee Ghaza Palestine ni mafunzo? Au wao wanakibali cha kuua waarabu katika nchi zao
Filipino
1
0
0
23
msngi.
msngi.@abusumayyah_o·
*#BALOZI WA JORDAN HUKO #IRAN🇮🇷 METHIBITISHA KWAMBA HAKUNA MSIKITO HATA MMOJA WA KISUNNI TEHRAN ..ANASEMA WALIKUA WANALAZIMIKA KUSALI KWENYE UBALOZI WA SAUDIA NCHINI IRAN AU SHULE MOJA YA KIPAKISTANI📚💦* >>ILA UKIFIKA IRAN🇮🇷 MAHEKALU YA KIYAHUDI NA MAKANISA YAMEJAA TELE ILA MSIKITI WA SUNNI HAMNA 🤣 🫴HALAFU MNASEMA KUNA UMOJA HAPO BAINA YA WAISLAMU⁉️🤣 There isn't a Single Sunni Mosque in Tehran 🇮🇷 -Jordans Ambassador to Iran Bassam Al Omoush explained @Granitinho85459 @MwangaHJ @cityfan1tz
Indonesia
4
0
4
347
msngi.
msngi.@abusumayyah_o·
Hizo ni tumbaku zako *WOTE #ISRAEL🇮🇱 NA #MASHIA WA SERIKALI YA IRAN🇮🇷 NI #MAKAFIRI KAMA VILE URUSI NA UKRAINE WOTE NI MAKAFIRI NA VITA VYAO HAVITUHUSU SISI WAISLAMU 📚💦* >>ALLAH AWALAANI KWA KHIANA ZAO DHIDI YA WAISLAMU 🫴HATUSINAMI NA MYAHUDI WALA MUIRANI...YEYOTE ATAKAYEVULIWA NGUO SISI FURAHA KWETU _NA ALLAH AKIANZA NA ADUI MKUBWA DHIDI YA UISLAM NA WAISLAM KATI YAO BASI ITAKUA NI AULA ZAIDI إِنَّ اللَّـهَ لَعَنَ الْكَافِرِينَ وَأَعَدَّ لَهُمْ سَعِيرًا ﴿٦٤﴾ 64. Hakika Allaah Amewalaani #makafiri, na Amewaandalia moto uliowashwa vikali mno. خَالِدِينَ فِيهَا أَبَدًا ۖ لَّا يَجِدُونَ وَلِيًّا وَلَا نَصِيرًا ﴿٦٥﴾ 65. Ni wenye kudumu humo abadi. Hawatopata mlinzi wala mwenye kunusuru.
msngi. tweet media
Indonesia
2
0
0
25