Gerald John

669 posts

Gerald John banner
Gerald John

Gerald John

@gerryjn_

#Jobless. John 8:58. Catholic @LFC | @SimbaSCTanzania

Bedfordview, South Africa Katılım Mayıs 2021
247 Takip Edilen83 Takipçiler
Gerald John
Gerald John@gerryjn_·
kupelekwa TBS, na kupelekea kuanzishwa kwa TMDA. Lakini baadhi ya watumishi waliokuwa TFDA bado wanaendelea kutumikia TMDA na miongoni mwao ambao walikuwa wanadeal na chakula na vipodozi walipelekwa TBS..
Filipino
0
0
1
66
Gerald John
Gerald John@gerryjn_·
TFDA(Tanzania Food and Drugs Authority) ilikoma July 2019 na TMDA(Tanzania Medicines and Medical Devices Authority) ikazaliwa, Hii ilifuatia marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi (Sura 219), ambapo jukumu la kusimamia chakula na vipodozi liliondolewa kutoka TFDA na
EnHyr@trampwaIlala

@gerryjn_ @AdroitMatovolwa @kasesco_tz Kipi ni sahihi mkuu

Indonesia
1
0
1
49
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Baada ya Jumuiya Acha Tuone huu Mzigo!
MR BEN tweet media
Suomi
7
8
83
6.2K
Gerald John
Gerald John@gerryjn_·
@ayubu_madenge MNMA Main campus (Kigamboni) nao wapo pazuri sana sema uwekezaji wao ndio changamoto!
Indonesia
0
0
5
945
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Baadhi ya majengo ya Chuo cha DIT campus ya Mwanza. Moja kati ya vyuo vilivyopo location kali zaidi hapa Tanzania.
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
15
54
1.1K
26.8K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Baadhi ya Ofisi za Serikali zilizotakiwa zikae kwenye jengo moja. •TRA,Manispaa •NIDA,RITA,Uhamiaji •TBS, TFDA, OSHA and Co •PSSSF,NSSF Ongezea zingine..
HT
44
85
691
27.5K
MAESTRO 🎭
MAESTRO 🎭@maestrochance_·
Kama umetembea 🇹🇿 location inasoma wapi hapa 👇🏾
MAESTRO 🎭 tweet media
Indonesia
26
21
88
5K
Gerald John
Gerald John@gerryjn_·
@KEYDEVU Hapa itategemea na matumizi ya hiyo 1M kwa siku! Kama atatumia kuweka laki 5 tu kila siku kwenye mifuko ya uwekezaji au kununua hisa za makampuni, huyo mtu hatoshikika..
Indonesia
0
0
0
65
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
Mtu anaelipwa Milion 30 kwa mwezi na anatumia Milion moja kilasiku na yule anaelipwa milioni moja kwa mwezi na anatumia elfu kumi kila siku!!nani ni tajiri kati yao!!?📚🗝️
Indonesia
23
25
150
6.7K
Gerald John
Gerald John@gerryjn_·
@TMnyama4_ Kwa Uelewa wangu mdogo,kwa ufupi kabisa naweza kusema Mafanikio ni uhuru dhidi ya hofu ya mahitaji ya msingi.
Indonesia
1
1
0
60
T
T@TMnyama4_·
Kwa mtazamo wako wewe. Nini maana ya MAFANIKIO?
Filipino
23
9
69
3.7K
Gerald John
Gerald John@gerryjn_·
Vijana mpo serious sana.. nitaharibu biashara za watu WAKUU! Labda niwape sifa nyingine za ziada! Hapo kwenye hotel kuna Night Club pia! Na wahudumu wa hapo club wote wanatokea Dsm.. HOTEL ipo njiani ukiwa unaelekea stand mpya ya Bus.
Gerald John@gerryjn_

@AlexSamoja Kuna Hotel (×) pale njombe ndio mambo yao! Pale ukibook room wanakuletea automatic heater.. ila wakiona ni mgeni kabisa(Sio mwenyeji kwenye mazingira ya baridi) huwa wanasema kabisa ukishindwa kulala mwenyewe tujulishe tutakuletea mtu akupe kampani!

Indonesia
0
0
0
88
Gerald John
Gerald John@gerryjn_·
@AlexSamoja Kuna Hotel (×) pale njombe ndio mambo yao! Pale ukibook room wanakuletea automatic heater.. ila wakiona ni mgeni kabisa(Sio mwenyeji kwenye mazingira ya baridi) huwa wanasema kabisa ukishindwa kulala mwenyewe tujulishe tutakuletea mtu akupe kampani!
Indonesia
7
0
8
1.9K
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
sehemu yenye huduma Nzuri za Guest ni Rukwa-Kalambo, Tena kipindi cha Baridi wanachemshia wateja maji ya kuoga kwenye PIPA, unaulizwa kama unataka ya moto anakuletea, akileta anakuuliza, hili baridi utaweza kulala peke ako? tukupe kampani, ukisema hapana nalala mwenyewe Ananuna anaondoka. Greatness Tupu Kalambo 🙏🙌
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
41
16
316
38.2K
Gerald John
Gerald John@gerryjn_·
Maalim Rasheed... Kodi ya bidhaa (Indirect Tax) huwa haimwambii mtu "Habari, mimi ni kodi." Inajificha ndani ya bei, kiasi kwamba hata uwe mjanja vipi, unajikuta unachangia maendeleo ya nchi kila unapogusa bidhaa dukani!
RASHIDI ADINANI@Rasheed_Atm

Miongoni mwa mazuri ya Uislamu hatuna KODI Moja ya chanzo cha Umaskini ni Kodi ni mfumo wa Mabepari wa ukandamizaji na Unyonyaji Hakuna nchi duniani imekuwa kiuchumi na kuwa na maisha bora raia wake kupitia Kodi Kodi sio chanzo cha Uchumi Kisheria ni dharura tu.

Indonesia
0
0
0
10
RASHIDI ADINANI
RASHIDI ADINANI@Rasheed_Atm·
Miongoni mwa mazuri ya Uislamu hatuna KODI Moja ya chanzo cha Umaskini ni Kodi ni mfumo wa Mabepari wa ukandamizaji na Unyonyaji Hakuna nchi duniani imekuwa kiuchumi na kuwa na maisha bora raia wake kupitia Kodi Kodi sio chanzo cha Uchumi Kisheria ni dharura tu.
Indonesia
14
1
41
2.5K
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Kwa utafiti wangu niliufanya tangu 2026 imeanza nimebaini Kanisa Katoliki litapoteza waumini wengi kwa miaka 10 ijayo na sababu ni hizi. ✍️ Hawatoi huduma za uponyaji na miujiza ✍️Wanajichanganya sana na siasa ✍️ Kupunguza viwango vyao vya ufaulu. ✍️ Kuongezeka kwa Manabii
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
203
10
101
29.6K