mshua

3.6K posts

mshua

mshua

@godwin_mkumbo

Katılım Ekim 2023
83 Takip Edilen96 Takipçiler
mshua retweetledi
sultan
sultan@chapanombombwi·
Hawa ndiyo waliotufikisha hapa 💔
sultan tweet mediasultan tweet mediasultan tweet media
Indonesia
19
32
133
5.2K
mshua retweetledi
Sheila Mchamba
Sheila Mchamba@SheilaMchamba·
Mabadiliko hayajengwi na watu wachache-yanajengwa na kila anayetoa alichonacho. Leo toa tone lako. Kesho tutajivunia nguvu yetu ya pamoja. #ToneTone
Suomi
10
89
399
9.7K
mshua retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Nduli Idd Amin Mama yeye kasoma degree ya mambo mbalimbali huko Pakistan. Sasa angalieni CV ya huyu kilaza mwenzake aliyemteuwa kuwa Naibu Waziri haram wa ajira, hivi kweli huyu anastahili Uwaziri achilia mbali hata Udiwani? Waziri haram anacertificate 3 na zote ni za online halafu vyuo vyote alivovitaja kwenye CV yake hata ukiingia google kuvitafuta havipo isipokuwa kimoja tu maana yake yuko na Certificate za kununua pale Karikakoo kwa Machinga wa vyeti vya Taalum.😂 Kwamba Waziri haram mwenye certificate za mchongo ndio ataongoza wizara ya ajira? Mtu kama huyu atamsaidiaje kijana mwenye degree ambaye yuko mtaani hana ajira? Waziri gani ana udaktari wa mchongo ule wa kununua kama ule wa Babu Tale? Nduli Idd Amin Mama kaamua kujaza vilaza wenzake ndani ya Serikalini haram maana hapendi kabisa maana watu wenye akili maana anajua watamchallenge. Anapenda vilaza wenye elimu mbalimbali kama yeye ili awaburuze halafu hapa mtegemee nchi itasonga mbele.🚮🚮🚮🚮
Hilda Newton tweet media
Indonesia
36
71
268
20.8K
mshua retweetledi
DavidoPolice
DavidoPolice@DavidoPolice·
Many Americans today have mixed opinions about Barack Obama. Some admire him, others criticize him. But for those of us who come from outside, the reality is often different. Believe it or not, no American president has ever left such a strong impression around the world as Barack Obama. He embodied hope, respect, intelligence, and dialogue. He represented a powerful image of America: open, inspiring, and close to the people. For many of us, Obama was not just a president; he was a symbol. A symbol that everything is possible, that social background, skin color, or personal history should never be limits. He restored confidence to millions of young people around the world. He spoke to the world with dignity, calm, and responsibility. He knew how to unite instead of divide. No matter the internal political debates, internationally, Barack Obama will forever remain one of the most respected, loved, and admired American presidents. His legacy goes beyond borders. And his name will remain engraved in history.
English
1.6K
4.8K
25.2K
769.8K
mshua retweetledi
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
Bongo zozo ameendelea kumshika bega Chande
Euskara
12
79
383
8.5K
mshua retweetledi
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Halafu hii wala sio meme ni uhalisia 😂😂🙌🏾🙌🏾 Malawi republic!
Filipino
18
82
518
15.8K
mshua retweetledi
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe. Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai ambaye ni mama mzazi wa Damour Nyakairo, ameeleza kuwa kijana wake amechukuliwa asubuhi ya leo na watu waliokataa kujitambulisha, na kumpeleka kusikofahamika. “Wameondoka naye hatujui kapelekwa wapi. Wametoka huko watu saba wakaja,mimi nashangaa watu wanakimbia mvua au wanakimbia nini? Moja kwa moja wanamfuata Damur na mimi nimekuwa hapa. Wakamshika, wawili wanamshika na mmoja akatoa pingu mfukoni akamfunga. Nikauliza kuna nini [wakasema] tutajua  huko huko, nyie nani? Wakasema tutajuana huko huko,” anaeleza Lilian Swai mama wa Damour. “Kwa hiyo wakambeba watu watatu wakamshika, wakambeba wakamburuza mpaka kwenye gari. Mimi nikawa nataka kuingia na yeye huko, wananivuta wakanitoa nje.”
Indonesia
68
329
753
56K
mshua retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Police in #Tanzania arrest three for insulting Chande and his commission This of course just attracts more insults from Gen Z Sasa mnawachokoza alafu waki react mnawakamata! Yaani hao wazee ndo wanafurahi vijana wakikamatwa alafu baadaye watateswa mahabusu eh? Acha waendelee kutukanwa! Kama matusi yamekuuma fungua kesi ya madai ila si kutuma polisi wakamate watu! Mfyuuu 🚮 Ila #TutaelewanaTu @volker_turk this is your Chair of the fact finding mission to Sudan - who complains to police in his country about being insulted and they get detained! These detained youth are tortured in these cells adding to human rights abuses that Chande claimed to be investigating! If he feels insulted he can open a personal case for damages but not use the police to torture people! Ludicrous! Why is he still on this Mission to Sudan!? @UN_HRC
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
19
85
384
21K
mshua retweetledi
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
mambo ya Chande na Bimsumi ndio hayooooo nafikiri kila mtu anajionea tu hapo kwanini Chande atuletee Ripoti ambayo haieleweki, kumbee sababu ni hii! #Tutakuwepo
Mbunge Wa Taifa tweet media
Indonesia
50
51
572
52K
mshua
mshua@godwin_mkumbo·
@MariaSTsehai Ukweli huyu bi msumi alishasemaga mwenyewe hakusoma sana na hilo pia ni tatizo na kibaya amejizungushia wasaidizi wenye akili Kama zake ( akili ya kutaka kuchota maji kwenye tenga la nyanya)
Indonesia
1
2
6
1.2K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Msikilizeni Polepole aliwaonya akina Mafwele hadi Abdul na Samia kuhusu utekaji - wakaamua wamteke! Hawa ndo wapumbavu leo wanahaha kutaka kutuliza umma! Wanatusukuma kubaya! Oktoba 29 ilijaa hasira za wananchi maana tumechoka kutekwa! Sasa wamejaa kiburi wameanza tena kuteka na kuleta ubabe! Mnachokitafuta mtakipata! Haya! And #FreePolepole nyie washenzi 🚮 #FreeAllPoliticalPrisoners
Indonesia
15
147
584
16.9K
mshua retweetledi
The Economist
The Economist@TheEconomist·
Opposition politicians are behind bars. The media remain muzzled. Outsiders are unlikely to help. A pall of fear hangs over Tanzania. Samia Suluhu Hassan is taking her country down a ruinous road econ.st/42GOzD3 Photo: Xinhua News Agency/Eyevine
The Economist tweet media
English
50
181
382
58.3K
mshua retweetledi
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
Indonesia
112
568
2.1K
38.6K
mshua retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Polepole bado yupo mikononi mwa watekaji, wao ndio wanaamua nani aishi, Nani afe, Nani awe uraiani Nani awe Gerezani, ujinga huu hatuwezi kukubali uendelee. Bonyeza #Repost tupate repost 500.
Twaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
13
223
517
4.2K
mshua retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Tundu Lissu will be free! The issue is not that but the time and circumstances that this will take place! Mnaomshauri Mwuaji in Chief Samia mnafikiri kuna busara imebaki hapo? Sijuu mganga wake ndo kamshauri aendelee kumshikilia Lissu ila akitajiwa tu #FreeTunduLissu anang’aka sana! Alafu sababu hana - mara sijui heshima, mara kanitukana! Ukweli ni kwamba ANAMWOGOPA maana kwa sasa Lissu ni level ya Nyerere ktk kupendwa na umaarufu nje na ndani ya nchi! Na atamwachia tu hakuna namna 👊🏽🔥 Tutaendelea kukaba hadi penalti Tuseme kwa pamoja #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
43
312
1.1K
25.7K
mshua retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kesho usipange kukosa!..
Hilda Newton tweet media
Indonesia
8
118
541
6.2K
mshua retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Kwa sasa nitapunguza Msafara na watumishi watapanda mabus Akafanya sinema moja pale Dodoma akiwa na magari 4 anazunguka ndani ya IKULU maana Ikulu ya cha Chamwino ina eneo kubwa Leo Njombe mambo ni kama kawa na chopa juu
Filipino
29
70
390
35.6K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Yaani sasa hivi wananchi wamekabia juu ndio anatoa hii milio Lakini chini kwa chini anateka watu kwa kasi sana, Lissu yuko rumande kwa amri za Samia Hivi uwa anatuchukulia je huyu? yeye anatumia tofauti za Hoja kuteka watu, kufunga watu , kuua kupitia wasiojulikana na mwanae Abdul Kama kuna mtu anasikilia huyu mtu ajipange, huyu hakuna kitu anamaanisha akitoka hapo anakiwasha upya, Tukiachia hapa tuliposhikia akapata nafuu kidogo tu atakuja kushambulia tena kwa kasi mbaya sana Hizo tofauti za hoja na SIASA zimeondoa HAKI nchini, watu wanafanyiwa mambo ya ovyo sana
Think Different tweet media
Indonesia
10
37
154
6.8K