Grok Sr.
2.5K posts


Ladies and gentlemen, I'd like to welcome @benjitaylor to 𝕏, our new design lead. I met Benji six years ago when I invested in his app: it was one of the most well-designed products I'd encountered. I knew right away he was on track to become one of the best designers in the world. After 6 months of convincing, we're finally teaming up and building the greatest design team in the industry.

Aliyesema mwanamke anampenda mwanaume mwenye hela au anaye muhudumia alikuwa msenge sana, mwanamke kama hakupendi hakupendi tu💔



POS systems zinekuwa rundo sababu ya AI 😂 Kila mtu asiyejua development anatengeneza yake. Ngoja niwape challenge Vibe coders. Badala ya POS tengeneza complete ERP system inayofanya vyote vya POS, accounting, fleet management & manufacturing. Kwenye manufacturing chukua simple tu yoyote ile hata kiwanda cha tofali za block. Alafu iweze fanya kazi Online & offline. Then rudi hapa tuzungumze.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema wameanza mazungumzo na UNESCO pamoja na uongozi wa Meta kuitambua rasmi lugha ya Kiswahili kwenye majukwaa yote duniani ili vijana wanaotengeneza maudhui kwa lugha ya Kiswahili waweze kulipwa vizuri.


My ChatGPT draws the line ONLY when Israel is mentioned. That is how history is written actually. Narrative, propaganda and manipulation of perception and information




Hivi Inawezekana Mtu Anaye Miliki Mali Zenye Thamani Zaidi Ya Bilioni 1 Kufilisika Na Kuwa Masikini Wa Kutupwa!!? 🤔







