Research and Data analyst
3.1K posts

Research and Data analyst
@hamisi_mikonzi
Manchester United and Young African fan
Arusha, Tanzania Katılım Mayıs 2017
264 Takip Edilen156 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet

@barackmtulo @TruthWatchDogTZ Sio wa kuboost tu, kuna wengine wapo waliomfollow na wamefariki na hizo account zinakuwa domant huyo ni mtu ambaye amehudumu Manchester United, Real Madrid na kwingineko na ana followers wengi ambao ni nonactive na ndio wanakuwa wanaondolewa baada ya muda.
Filipino

@TruthWatchDogTZ Tulikuwa tunasema anafollowers wengi wa kuboost watu wakasema Chuki
Filipino
Research and Data analyst retweetledi
Research and Data analyst retweetledi
Research and Data analyst retweetledi

@MakorokochoE @MangiwaKwanza1 Gape la hapo na la kule juu ni tofauti sana. Unacash out tu
Eesti

@MangiwaKwanza1 Nimeweka 20k Cashout inasoma 106k zikitema ni 1.6M haya niambie Mangi kama wewe uta cashout.? Au utasubiri.?
Indonesia

@gabyconscious @Dream_online_Tz Mimi naomba nikuulize swali moja tu mkuu.
Unapata viewers wengi sana whatsapp.
Ulifanyaje fanyaje hadi ukawa na so many viewers.
Inaweza kuwa somo moja zuri sana.
Kwangu na kwa baadhi ya followers wako wengine Mkuu.
Indonesia

@gabyconscious Hayo mambo ni Normal tu kote duniani. Watu waliotoka sehemu ambayo hawakuwa na privilege kubwa wanakuwa na high ambition na mwishowe huwa wanatoboa sana.
Nenda kaangalie mfano mzuri nchi kama US, utaelewa pia.
Filipino

@maipambomteta Tatizo baadhi ya madereva wakipewa magari na wakalipenda hilo gari na kazi, huwa wanaroga sana hiyo chuma asinyang'anywe na bosi ili apewe dereva mwingine sana.
😀😀😀
Filipino

@kasesco_tz Kama hautumii bima na hauna pesa sikushauri uende vizahanati vya Uswahili ambao wanategemea wewe upimwe ili wapate Malipo.
Nenda government hospital utapewa huduma nzuri. Changamoto huwa ni foleni tu Ila wapo real sana.
Filipino

@denniehanda Nash MC hana mambo mengi sana kwenye Mziki wake. Hana kushunguza maneno na kuweka maneno magumu magumu.
Mwanagu mwenyewe kila akitoa Album lazima ninunue.
Filipino

@taifahuru98 @kishoka_ Zipo. Nna yangu moja hivi nilikuwa na connect na TV. Usiombe uangalie Horror Movie na baby usiku.
Filipino

@DullahTheking2 Tanzania
Mechi ya Ugenini
Mawazo
Sister Sister
Darubin Kali
Zali la Mental
Indonesia

@Nindi_Jr Kwani hauji kuna watu Tanzania hajui kusoma kiswahili lakini anaweza kuongea kiswahili vizuri kabisa. Ndo hivyo hivyo kwa lugha zingine.
Indonesia

@stiziistany @Mudimabiriani Ni kama bongo tu.
Kuna beki 3 wanaofanya kazi kwa sisi maskini. Analipwa kwa masimango, anakuwa girlfriend wa watoto wetu na kadhalika. Lakini pia bongo hii hii wapo wanaofanya kazi kwa vibopa na wanaishi vizuri na hauwezi kujua kama ni beki 3. Hii ina apply nchi zinazoendelea.
Indonesia

@Mudimabiriani Hizi taarifa na video watu wanateseka uko ni Uongo?
Filipino

@officialmtanga @chapo255 Biashara na Country mbele.
Wakupe pesa ununua au wanunue kwao wakuletee bidhaa.
Wakinunua kwao faida zake ni kuingiza pesa kwenye mzunguko wao wa kiuchumi kuliko kuchepusha hela.
Indonesia

@chapo255 kuna ng'ombe na mbuzi wanatoka uarabuni wanaletwa bongo km msaada wa vitoweo kwa kaya masikini
Tanzania 🇹🇿 Indonesia


@Baraza_Kuu Kuna kiwanda kimoja kikubwa sana Kipo Namanga-Longido kinaitwa Elia Food ni exporter wwzuri sana wa hizo bidhaa.
Fursa zipo ila zinahitaji mitaji na ujue kulitafuta soko.
Wengi wanaokuja kuwekeza unakuta ameshatengeneza network yake ya masoko yeye anatafuta eneo la kupata bidhaa.
Filipino

Katika kile kinachoonekana kama ushindi wa diplomasia ya kiuchumi na ubora wa bidhaa za Tanzania, nchi ya Qatar imetangaza rasmi kufungua soko la nyama ya mbuzi na kondoo kutoka Tanzania.
Hatua hiyo iliyopokelewa kwa shangwe na wadau wa mifugo, imekuja baada ya nchi hiyo kujiridhisha na hatua madhubuti zilizochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Sita katika kudhibiti magonjwa ya mifugo na kuimarisha viwango vya usalama wa chakula vinavyokubalika kimataifa.
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo katika Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Benezeth Lutege, amethibitisha kuwa Qatar imetoa ruhusa hiyo Machi 17, 2026, baada ya kuridhishwa na ujenzi wa karantini za kisasa pamoja na kampeni kabambe ya chanjo ya mifugo nchini.
Awali, soko hilo lilifungwa tangu Agosti 25 mwaka jana kutokana na hofu ya ugonjwa wa midomo na miguu, lakini jitihada za serikali kueleza ukweli wa kitaalamu na kuimarisha maabara za TVLA zimesaidia kurejesha imani ya soko hilo muhimu duniani.
Kurejea kwa soko la Qatar kuna maana kubwa kiuchumi kwani nchi hiyo imekuwa ikipokea wastani wa tani 3,000 za nyama kutoka Tanzania. Kwa kuzingatia kuwa nyama ya mbuzi pekee inachangia asilimia 64.69 ya mauzo yote ya nyama nje ya nchi, kufunguliwa huku ni kichocheo kikubwa cha kuongeza mapato ya fedha za kigeni.
Takwimu zinaonyesha kuwa hadi kufikia Aprili mwaka jana, Tanzania ilikuwa imevuna dola za Marekani milioni 44.07 kutokana na mauzo ya nyama nje, na sasa kurejea kwa Qatar kutaongeza kasi ya kufikia malengo makubwa zaidi ya kibiashara.
Kijamii na kiajira, hatua hii ni neema ya moja kwa moja kwa mfugaji wa vijijini. Kuongezeka kwa mahitaji ya nyama ya mbuzi na kondoo katika nchi 11 ambazo Tanzania inauza sasa, ikiwemo Saudi Arabia, UAE, na Vietnam, kunamaanisha kuwa bei ya mifugo itaimarika na soko litakuwa la uhakika. Hii inatoa motisha kwa vijana kuwekeza katika ufugaji wa kisasa na machinjio kufuata vigezo vya kimataifa, jambo ambalo linaendana na dira ya serikali ya kubadili sekta ya mifugo kuwa biashara yenye tija badala ya sifa pekee.
Aidha, sharti la Qatar la kutaka kila mzigo uthibitishwe na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) ni fursa ya kuonyesha ulimwengu kuwa bidhaa za Tanzania ni salama na zenye ubora.
Kwa kufanya hivi, serikali haitafuti tu masoko, bali inajenga chapa (brand) ya nyama ya Tanzania inayoweza kushindana na mataifa mengine makubwa. Ni wazi kuwa sasa mpira upo kwa wafugaji na wasindikaji wa nyama kuhakikisha wanatunza sifa hii ili kutanua wigo wa soko letu kote ulimwenguni.

Indonesia

@nhekima @Addy_Adams Ukiwa Diwani au Mwenyekiti wa Serikali za mtaa unatakiwa uwe na Shughuri inayokuingizia kipato. Na ndio takeaway moja wapo.
Indonesia

@Hon_KibayasiF Tulimpata binti wa namna hii pia.
Ila alikuwa tuna watoto mmoja mkubwa kidogo wakawa awapatani dogo akafunguka. Binti kesho yake asubuhi tulimsafirisha kurudi kwao.
Mabibi wa vijijini wanawaaribu sana wajukuu zao.
Indonesia

@RKishaija81715 Sasa wewe unavyofikiria treasure bond ni nini. Ule ni mkopo ambao unamkopa mtu au taasisi na utamlipa baada ndani ya mda fulani. Mfano ni ile ya BOT na ndio tunauita mikopo ya ndani au ukisikia deni la ndani ya nchi bssi jua na hilo limo ndani yake.
Indonesia


























