HekiMa

24.6K posts

HekiMa banner
HekiMa

HekiMa

@nhekima

The IT_Arsenal_Yanga_Loving God

Katılım Ocak 2012
3.3K Takip Edilen1.1K Takipçiler
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Uko Bunda kuna mzee ana miaka 45 amekutwa amefariki Gest house akiwa na mpenzi wake. Taarifa ya Polisi inasema huyo mzee alifariki kwa kupata shambulio la moyo na alianza kujisikia vibaya, aliishiwa nguvu na kuanza kupumua kwa shida mwishoni akafariki dunia. Aisee
Filipino
141
43
583
39.3K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Naomba kwa dhati kabisa, NIMPONGEZE Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSANI kwa kuunda “TUME YA UCHUNGUZI” wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Hata kama SHERIA imekiukwa, naomba kwenye hili, TUWE WAZALENDO, tumuunge mkono Rais.😂
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
19
5
136
10.5K
HekiMa
HekiMa@nhekima·
@baraka_asege Jamani mbona Magwaya yeye anafungisha za wazi na bado anacheza kwetu tunashindwa nn kujifunza tujifunze mambo yote siyo nusunusu
Filipino
1
0
0
74
Mr.Mbeya
Mr.Mbeya@baraka_asege·
Mwamnyeto asilete kutia Tia huruma kwamba bado hajui Presha za Simba au Yanga yeye.? Afungishe magoli ma2 afu tusimkaange mamamk zake arejee uwanjani
Mr.Mbeya tweet media
Indonesia
14
6
134
3.9K
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Jimbo la Rungwe Kata ya Kiwira Muda huu Chadema wanawasha Moto.
Indonesia
3
33
152
2.1K
HekiMa
HekiMa@nhekima·
@yaredy30 Kama wangekuwa na kitu basi wangefundisha elimu inayowakomboa watu siyo hii ya kupata Dv 1 hala unarudi home kujiongelesha mwisho wa siku unarudia elimu ile ya zamani ya kulima na kupanda kwa mwaka mara moja wajinga kabisa
Indonesia
1
0
5
284
𝗥𝗼𝗱𝗮𝗰𝗵✝
Walimu wanakamata simu kwa wanafunzi zenye thamani let's say 300K + then wanagonga kengere zinavunjwa parade.. Kwanini zisiuzwe pesa inayopatikana itumike kuboresha miundo mbinu kama madawati, printing machine, plain paper mabunda hata 10 kwajili ya matumizi shuleni..
Indonesia
23
13
162
9.7K
HekiMa
HekiMa@nhekima·
@Sativa255 Hata Man City ikibeba ubingwa itakuwa ni ainana ya udharilishaji kwa timu zingina hapa Uingereza
Indonesia
0
0
0
8
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Celtic wakibeba huu ubingwa wanatakuwa wamewakatili kinoma hawa madogo aisee.
Filipino
14
9
394
9.8K
SPOON
SPOON@TonnyUnfiltered·
Bikra maria baada ya kumpata yesu lakini bado anaendelea kuitwa bikra hau 🤔
Indonesia
22
38
151
6.9K
HekiMa
HekiMa@nhekima·
@DadaConso Wakiwa wengi siyo tabu sema wakiwa wa wili shida
Indonesia
0
0
0
22
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
Oyaaah.. matrafki watano wamezunguka bodaboda Moja..?? Huyu boda kazi anayo Leo 😂😂😂🙌🏿
Dada Conso 🐺 tweet media
Indonesia
12
8
66
2.2K
HekiMa
HekiMa@nhekima·
@Balyx_ Utaendelea kuongea hivyo hivyo mwenzio akitusua kama amelala vile
Filipino
3
0
1
271
Balyx
Balyx@Balyx_·
Mbwana Samatta Mchezaji bora wa mwezi April kwenye klabu yake “Ana bahati tu hamna kipaji hapo”
Balyx tweet media
HT
20
27
444
7.7K
HekiMa
HekiMa@nhekima·
@master_plan9 Dar hawapimi wakiumwa wanakimbilia Njombe na Dawa wanakuja kuchukua Njombe
Indonesia
0
0
1
123
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Ntakuwa Mtu Wa Mwisho Kuamini Kwamba Njombe inaongoza kwa Watu kuwa na Ukimwi Kuliko Dar.🤔
Indonesia
59
46
281
11.7K
HekiMa
HekiMa@nhekima·
@Legend_Mtikila Hakika kinachomuumiza ni vile alikuwa anajiaminisha kwamba chama ni cha familia
Filipino
0
0
3
691
Mtikila Jr
Mtikila Jr@Legend_Mtikila·
FAM alituuza sana, Ahsante mwenyezi Mungu kwa kutuletea Lissu na Heche. Pipoooooz✌️
HT
28
96
1K
31.1K
HekiMa
HekiMa@nhekima·
@Tweener003 Ndani ndani wapi? Mbeya hakunaga mashamba ya ndani ndani acha uwongo mashamba yapo Uyole hapo igawilo ni katikati ya mji kabisa hapo unapata matunda aina zote caroti aina zote mboga majani aina zote
Indonesia
0
0
0
29
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Mbeya hivi vyote unapata kwa shilingi elfu hamsini tu, hapa kuna watu watabisha wavivu wa kwenda mashambani ndani ndani .
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
15
30
85
1.3K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Changamoto kubwa ya hii biashara ni nini?
Narrowbeefly tweet media
Indonesia
30
20
248
38.1K
HekiMa
HekiMa@nhekima·
@TBoundBuses Na hizi huwa zinapataga ajali au zenyewe zinakinga maalumu??
Indonesia
1
0
0
303
HekiMa
HekiMa@nhekima·
@BlackSingapore2 Madhani hayo ya upande wa kulia ni yale ya Shetani ni ufahari wake
Indonesia
0
0
0
15
Black Singapore 🤴🏿🐲
Black Singapore 🤴🏿🐲@BlackSingapore2·
Waafrica wanamatumaini ya maghorofa mbinguni wamejengewa na mungu baba😂
Black Singapore 🤴🏿🐲 tweet media
Indonesia
3
0
10
535
HekiMa
HekiMa@nhekima·
@therealrigoh Nimeona kocha wake ni mzee hana shida amezoea hali zote ila wale vijana wa japani wanakocha wao kijana amechangamka amefurahi kupita maelezo
HT
0
0
0
33
ochola..🦅⚠️
ochola..🦅⚠️@therealrigoh·
Leo kweli ndio nimeamini pesa haiwezi kununua furaha 💔🙌🤨
ochola..🦅⚠️ tweet mediaochola..🦅⚠️ tweet media
San Francisco, CA 🇺🇸 Filipino
2
3
33
952
HekiMa
HekiMa@nhekima·
@xlusako Zenyewe zimo au ndo debe tupu
Indonesia
0
0
0
5
Nkota
Nkota@xlusako·
Huyu anapenda kujitoa akili
Nkota tweet media
Indonesia
3
5
13
265
HekiMa
HekiMa@nhekima·
@chapanombombwi Jamaa ni kama bado anaogopa kufa kifua amejaza machuma lakini ajue siku ikifika wanakula kichwa
Indonesia
0
0
0
7
sultan
sultan@chapanombombwi·
Ni kweli Botswana haimtambui Samia kama rais. Lakini sasa huyu Jakaya Kikwete ameenda kumwakilisha kwa nafasi gani? Yaani vipi tena?
sultan tweet media
Filipino
7
5
28
1.5K