Hitboy🥇𝕏

842 posts

Hitboy🥇𝕏 banner
Hitboy🥇𝕏

Hitboy🥇𝕏

@hitboy_official

Anfield Katılım Ağustos 2021
1.5K Takip Edilen3.1K Takipçiler
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Miaka inaenda sana 😂😂😂😂 Yani Muna Love kumbe anamtoto na Platform 🥱 Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
13
11
405
37.8K
Neypaul🤎
Neypaul🤎@Neypaul01·
Tanzania 🇹🇿
Español
169
153
1.3K
88.7K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Leo umetumia mwezi tangu itoke EP ya Mbosso Room no 3. Mapokezi ni makubwa sana, kwa sasa Ep hii imesikilizwa na Watu millioni 50 kwenye Digital Platforms zote, Ambapo wimbo kama Pawa ukishika nafasi ya kwanza kwa kupata wasikilizaji Million 20.2 2. Aviola Millioni 7.3 3. Nusu saa Million 6.7 4. Merijah Million 4.8 5. Siko Single Million 4.8 6. Asumani Million 3.1 7. Tena Million 3.8 Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
HT
7
12
267
27.4K
Fay254🇰🇪
Fay254🇰🇪@Fay254_·
Heard you love Big Odds 🤯🔥 Let me drop some mere edits innit 🥳
Fay254🇰🇪 tweet media
English
17
20
75
15K
OG OUTFITS❤️💃
OG OUTFITS❤️💃@og_outfits·
Hiki kimbwa kimwfanya nn mbona kinatrend sana🙄🤔
OG OUTFITS❤️💃 tweet media
Filipino
17
14
223
8K
P A B L O 🦁
P A B L O 🦁@KingPablotz·
"Sometimes you have to fake it until you make it.” Ndio tunaweza kusema Leo hii Red Bull ni moja ya vinywaji vinavyotawala dunia — nembo inayojulikana kila kona ya ardhi. Lakini mafanikio haya hayakuja kwa bahati. Hayakutokea kwa kampeni za kawaida. Yalikuja kwa njama ya kipekee na ya kiustadi iliyopangwa kabla hata ya bidhaa kuuzwa rasmi. Yani Red Bull kabla haipo madukani ilikuwa maarufu Simulizi ya Red Bull na ujanja wa kibiashara usio na mfano. Thread 🧵
P A B L O 🦁 tweet media
Indonesia
19
95
720
214.9K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Nawakumbusha ECLASICO leo inaonekana hapa tuu.✅️ Mchawi bando lako tuu. Hii ni kwa Android tuu.
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
Filipino
89
58
768
81.6K
Tety Steve
Tety Steve@tety_steve·
@eastafricatv Wana uhakika gani hizo sms zimewafikia wahusika? Je no za simu walizotoa wakati wanajisajili wanazitumia hadi leo? Kama tulivyo vumilia kuvisubiri hivyo vitambulisho na NIDA muwe na subira, wengine walishafariki mkumbuke hili!
Indonesia
2
0
4
3.2K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, NIDA inatarajia kusitisha matumizi ya namba za vitambulisho vya NIDA kunanzia Mei 1, mwaka huu, kwa wananchi wote waliotumiwa ujumbe mfupi (SMS), kwenda kuchukua vitambulisho vyao na hawajafanya hivyo. Akizungumza mapema leo ofisini kwake, Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James Kaji amesema NIDA imesikitishwa na idadi ndogo ya wananchi wanaojitokeza kuchukua vitambulisho vyao. "Inasikitisha sana, tumekuwa tukituma ujumbe mfupi kwa wananchi kuwaelekeza ni mahali gani waende kuchukua vitambulisho vyao lakini idadi ni ndogo sana. "NIDA tumeamua kuwa tutasitisha matumizi ya namba za vitambulisho, kwa wale wote ambao wameshatukiwa vitambulisho lakini hawajachukua," amesema Kaji. Katika hatua nyingine, Kaji amesema NIDA ipo katika hatua za mwisho katika kuja na mfumo mpya wa kusajili kuanzia watoto wadogo. #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
201
32
1K
114.8K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Habari zilizokuwa zinatreand Marekani siku ya Jana, Ni Maandamano ya amani yanayoendelea ambapo maelfu ya watu kutoka miji mbalimbali Marekani, Wameandamana kupinga uongozi wa Trump na Elon Musk ikiwemo na Tarrifs walizoziweka, ambazo zimechangia kupanda kwa bei za vitu na hali ngumu ya Maisha. Pia wanapinga na DOGE (Department of Government Eficiency) iliyoanzishwa na Trump, na kuongozwa na Elon Musk, ambapo kazi yao ni kukagua ufanyaji kazi wa Sectors za Serikali na systems zao. Ambapo Tangu DOGE ianze kufanya kazi wafanyakazi 100,000 na zaidi wamepoteza kazi zao. Endelea....👇
Latto 𝕏 tweet media
Indonesia
29
67
1.7K
228K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Alhamdulillah mke wangu kajifungua mtoto wa Kike leo Usiku, naombeni Jina zuri la mtoto wa kike..!!
Indonesia
167
21
525
60.7K
god of Gambling
god of Gambling@godofgambling·
1-0 before I even turned my goal notifications on. Excellent 🇽🇰
English
11
0
9
10.5K
Khan 🧢 🌟
Khan 🧢 🌟@Khanstillday·
Finish the drawing and get 5k?
Khan 🧢 🌟 tweet media
English
1.3K
1.2K
28.1K
5M
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
Ipo siku huu wimbo utarudi kuwa HitSong kwa upande wako..... Usiniulize kivipi, ila jua ipo siku utaukumbuka 😂 Haya Mambo Haya
Dullah_theKing🎧 tweet media
Filipino
83
74
777
53.6K