Miss B 🌹
35K posts




Serikali Kuendelea Kuhuisha Kumbukumbu za Wamiliki wa Ardhi Katika mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ilipanga kuhuisha kumbukumbu za wamiliki wa ardhi 500,000. Hadi Mei 15, 2026, jumla ya kumbukumbu 146,345 zilikuwa zimehuishwa. Kwa mwaka wa fedha 2026/27, Wizara itaendelea na

Zaidi ya Migogoro 5,500 ya Ardhi Yatatuliwa Katika mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ilipanga kushughulikia migogoro ya ardhi 3,000. Hadi Mei 15, 2026, jumla ya migogoro 5,573 ilikuwa imetatuliwa, sawa na zaidi ya asilimia 185 ya lengo lililowekwa. Kati ya migogoro hiyo, 3,183

Serikali Kuimarisha Huduma za Ardhi kwa Mifumo ya Kidijitali Wizara imesambaza vifaa vya TEHAMA vyenye thamani ya Shilingi bilioni 5.20 katika mikoa na halmashauri zote nchini ili kuimarisha utoaji wa huduma za ardhi. Kupitia Mfumo wa e-Ardhi, huduma za uthamini na usajili

Upimaji wa Viwanja na Mashamba Waendelea Nchini Katika mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ilipanga kuratibu upimaji na uidhinishaji wa viwanja 500,000 na mashamba 500. Hadi Mei 15, 2026, jumla ya viwanja 193,317 vimepimwa na kuidhinishwa, sawa na asilimia 38.66 ya lengo, huku

Tanzania ya Dkt.Samia Suluhu Hassan ni njema, atakaye na aje!!! #HarakatiZaUongo #TumeYaUchunguziReport Ukweli Umefichuliwa















