PAM.

4.4K posts

PAM. banner
PAM.

PAM.

@iamrealpam

|Udsm alumni| job👉 winga phones,Tv,& other electronics 📍KO Dsm.

Dsm,Tanzania. Katılım Ocak 2020
407 Takip Edilen344 Takipçiler
PAM.
PAM.@iamrealpam·
@Thommunkondya Maelezo mengii hatupokei ukweli ukipata sehem utamkumbuka JPM
Indonesia
0
0
0
34
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Huwezi kutaja mafanikio ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli bila kumtaja Rais Samia Suluhu Hassan, kwa sababu kwanza walikuwa wote,pili sehemu kubwa ya miradi hiyo imekamilishwa au kuendelezwa kwa kasi chini ya uongozi wake wa Rais Samia. Ni kweli kwamba Dkt. Magufuli alijulikana zaidi kwa nidhamu kali, kasi ya utekelezaji wa miradi mikubwa, kubana matumizi ya serikali, pamoja na kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani. Hata hivyo, kulikuwa pia na changamoto na malalamiko mbalimbali, hususan katika maeneo ya demokrasia, diplomasia, na mazingira ya biashara ambapo baadhi ya wafanyabiashara walilalamikia ugumu wa kufanya shughuli zao na kufungiwa biashara zao. Kwa upande mwingine, Rais Samia Suluhu Hassan ameonekana kujipambanua zaidi katika diplomasia, kufungua uchumi, kuimarisha mahusiano ya kimataifa, pamoja na kuendeleza miradi yote ya kimkakati iliyoanzishwa awali. Aidha, amewekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta za huduma za afya, elimu, utalii, kilimo, ardhi, na biashara. Kwa hiyo, inaweza kusemwa kuwa Dkt. Magufuli aliwekeza zaidi kwenye miradi mikubwa inayoonekana kwa macho na kuvutia wananchi wengi kwa haraka, jambo ambalo limekuwa kawaida kwa viongozi wengi wa Afrika wanaopenda kuonyesha maendeleo kupitia miundombinu mikubwa. Rais Samia, kwa upande wake, ameonekana kujikita zaidi katika maboresho ya mifumo na sekta mahsusi ambazo matokeo yake si rahisi kuonekana kwa kila mtu isipokuwa kwa wadau au wanufaika wa moja kwa moja. Mfano mzuri ni maboresho yaliyofanyika katika Bandari ya Dar es Salaam na sekta ya uchukuzi,sekta ya ardhi, huduma za afya, sekta ya utalii, pamoja na upatikanaji wa mbolea za ruzuku kwa wakulima. Mtu anayefanya kazi bandarini anaweza kuelewa mabadiliko makubwa yaliyofanyika huko. Mtaalamu wa ardhi anaweza kuona maboresho ya mifumo ya ardhi. Mgonjwa au mtoa huduma za afya anaweza kushuhudia uwekezaji mkubwa uliofanywa hospitalini na kwenye vifaa tiba. Vivyo hivyo, wadau wa utalii na wakulima wanaweza kueleza namna sekta zao zilivyoboreshwa katika kipindi hiki. Kwa ujumla, viongozi hawa wawili wamechangia maendeleo ya Tanzania kwa mitazamo tofauti: mmoja akiwa na msisitizo mkubwa kwenye utekelezaji wa miradi mikubwa ya kitaifa, na mwingine akiwa na mwelekeo zaidi wa kuimarisha mifumo, sekta za huduma, diplomasia, na mazingira ya uchumi kwa ujumla.
Ibwe Salim Thekiete@SalimuIbwe

Kuna maeneo ukipita lazima umkumbuke JPM kimoyomoyo 1. Ukipanda SGR 2. Ukipanda Ndege 3. Daraja la Wami 4. Daraja la Busisi 5. Ukipita njia 6 toka Kibaha 6. Daraja la Kijazi n.k Haya maeneo lazima Umuone JPM.

Indonesia
33
0
13
3.8K
PAM.
PAM.@iamrealpam·
@nguchiro47 Huyu kipindi cha magu ndo alishawishiwa ahamie CCM angekula teuzi
Indonesia
0
0
0
437
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿
👉Ndani ya siasa za kimkakati, kuna wachezaji ambao huonekana kupambana hadharani lakini nyuma ya pazia wakawa sehemu ya operesheni kubwa zaidi isiyoonekana kwa macho ya kawaida. 👉Safari ya Peter Msigwa ndani ya CHADEMA haikuwa ya kawaida, bali ilikuwa operesheni ya muda mrefu iliyojengwa kwa subira, ukaribu na kuaminika kabla ya hatua halisi kuonekana. 👉Alijijenga kama sauti ya upinzani yenye ushawishi mkubwa, akawa karibu na siri za ndani, mikakati na misimamo ya kisiasa ambayo watu wa kawaida hawakuweza kuifikia kirahisi. 👉Baadaye alipohamia CCM, baadhi ya wachambuzi wa duru za siasa walitafsiri hatua hiyo kama uthibitisho wa kile walichokuwa wakikihofia kwa muda mrefu kuwa mchezo ulikuwa ukichezwa kwa umakini mkubwa nyuma ya pazia. 👉Sasa taarifa za kurejea tena CHADEMA zimezua taharuki mpya kisiasa, huku wengine wakiamini kuwa operesheni za kisiasa hazifi bali hubadilisha njia, nyuso na mbinu za kuendelea kuishi ndani ya mfumo. 👉Katika ulimwengu wa siasa za siri, si kila anayebadilisha bendera hubadilisha utii wake, wengine hubaki kuwa watu wa mfumo ule ule, wakisubiri muda sahihi wa kutekeleza hatua inayofuata✍️
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 tweet media𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 tweet media𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 tweet media𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 tweet media
Indonesia
4
3
58
13.5K
PAM.
PAM.@iamrealpam·
@HezlonKasanga @OleMtetezi Huu ni mtaji wa kina mwigulu watu ambao hawafikiri ni kukurupuka tu hujui hata maana ya MC😀
Indonesia
1
0
2
451
Mchokozi !!
Mchokozi !!@OleMtetezi·
Hivi MC Si Namba Za Pikipiki? Inakuwaje Gari Inatumia Namba Za Pikipiki?
Mchokozi !! tweet media
Indonesia
89
60
772
77.4K
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena. Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA. Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli. Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki. Asanteni Sana.
Peter Msigwa tweet media
Indonesia
868
652
3.3K
242.4K
Olivia Pope
Olivia Pope@darkerberry__·
Dua lipa is such a cool name.I hope she knows what it means in swahili.
English
194
2.4K
48.3K
2.2M
PAM.
PAM.@iamrealpam·
@Mwitah_tz Ipogoro-tagamenda-ndiwili -kilolo barabara ilikuwa wakati wa masika ni ya hovyo sanaa na magari mengi sio cha kujisifia ile barabara ilipaswa kujengwa mapema zaidi
Indonesia
0
0
2
242
Mwita C. Mwita
Mwita C. Mwita@Mwitah_tz·
Iringa kuna Halmashauri inaitwa Kilolo na njia rahisi ya kufika ni unapitia mahala panaitwa Ipogolo na kwa muda sana barabara pekee ya kuunganisha main-road (Ipogolo) ilikua na ya vumbi/changarawe mpaka Mwaka 2023 ambapo TANROADS walitangaza tender ya ujenzi wa ile road. Tender ikatangazwa ya value ya 33.61 Km ikiwa valued around 61 Billion na November 10, 2023 Kampuni ya SHICO wakashinda ile Tender na kuingia mzigoni na hatimaye napozungumza sasa ile Barabara kesho sasa inaenda kuzinduliwa rasmi na PM-Mwigulu Nchemba. Mbali na kwamba its just a road, pia ile program inahusisha kuwekwa taa zaidi ya 100 ili kuifanya iwe salama 24/7. Watu waliowahi fika yale maeneo wakati ile barabara iliwa rough sana wanaweza testify how ile road kuwa ya standard hii ya sasa imechochea Uchumi wa Kilolo kwa kiasi gani
Indonesia
11
9
34
8.2K
PAM.
PAM.@iamrealpam·
@tanah_28 Dar es salaam Iringa Morogoro Dodoma Shinyanga Kagera Singida Tabora Pwani Bado Tanga Arusha Kilimanjaro Mbeya
Indonesia
0
0
0
26
Zed
Zed@zed_ogtz·
Mikoa Ambayo Nishasafiri Mpaka Sasa Dar Es Salaam Morogoro Dodoma Singida Tabora Shinyaga Mwanza Geita Kagera Kigoma Simiyu Twende Kazi Wewe Je👇
Indonesia
136
45
265
26.4K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
KIDINILO wako mbioni kuanza ruti mpya kutoka Dar hadi Harare Zimbabwe. Dar- Tunduma- Lukasa Zambia hadi Harare Zimbabwe zaidi ya KM 2,235. Aisee noma
Indonesia
10
28
263
6.1K
World Cup HQ
World Cup HQ@WorldCup26HQ·
The 2026 World Cup final will be? 🏆
World Cup HQ tweet media
English
63
32
378
16.6K
PAM.
PAM.@iamrealpam·
@Thommunkondya 😂😂CCM ni oil chafu humo hata ukiweka unga mweupe au maziwa bado yataharibika rangi na kuwa rangi ya oil..
Indonesia
0
0
0
27
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
JE, NI SAHIHI KUJENGA UWANJA WA MPIRA WA YANGA ENEO LA JANGWANI? Na Thom Mnkondya (Mpima Ardhi, Mshauri na Mtaalamu wa Masuala ya Ardhi). Leo nimejikuta nikitafakari kuhusu ujenzi wa uwanja wa mpira wa Young Africans S.C. katika eneo la Jangwani. Je, kweli ni sahihi kujenga uwanja mkubwa katika eneo hilo ukizingatia mambo makuu matatu yafuatayo? 1. Mipango miji na ukuaji wa mji 2. Miundombinu 3. Mazingira na usalama wa eneo husika Kwa mtazamo wa haraka, ujenzi wa uwanja eneo la Jangwani unaweza kuonekana kuwa ni wazo zuri kutokana na sababu kadhaa: - Eneo la Jangwani liko karibu na katikati ya jiji la Dar es Salaam, hivyo ni rahisi kufikika kwa mashabiki wengi. - Viwanja vikubwa duniani mara nyingi hujengwa karibu na miji mikubwa ili kuchochea biashara, ajira, na ukuaji wa uchumi wa maeneo husika. - Miradi mikubwa kama viwanja vya michezo inaweza kuwa kichocheo cha maboresho ya miundombinu kama barabara, flyovers, BRT, na huduma nyingine za kijamii. Kwa maana hiyo, uwanja unaweza kuwa nyenzo muhimu ya maendeleo ya mji, ukuaji wa uchumi, na uboreshaji wa huduma za kijamii. Hata hivyo, bado nina wasiwasi katika maeneo matatu muhimu: 1. Foleni za magari. Jangwani tayari ni eneo lenye msongamano mkubwa wa magari, hasa nyakati za asubuhi na jioni. Mechi kubwa zinazovuta maelfu ya mashabiki zinaweza kuongeza zaidi tatizo la foleni na kuathiri shughuli nyingine za jiji. 2. Mafuriko Jangwani ni moja ya maeneo yanayokumbwa na changamoto za mafuriko mara kwa mara. Miundombinu mikubwa inayokusanya maelfu ya watu inahitaji eneo lenye uhakika wa usalama wa muda mrefu na linaloweza kuhimili athari za mazingira. 3. Parking na movement ya watu Uwanja mkubwa unahitaji. - maeneo makubwa ya maegesho, - njia salama za watembea kwa miguu, - usafiri wa umma wenye uwezo mkubwa, - pamoja na njia za dharura kwa huduma za uokoaji. Katika dunia ya sasa na kwa kuzingatia misingi ya kisasa ya mipango miji, ujenzi wa uwanja mkubwa unapaswa kuzingatia mambo yafuatayo: 1. Ukaribu na usafiri wa umma wenye uwezo mkubwa kama BRT, metro au treni 2. Upatikanaji wa access roads nyingi na zenye uwezo wa kubeba msongamano 3. Maegesho ya kutosha 4. Uwezo wa eneo kuhimili ukuaji wa mji kwa miaka 20 hadi 50 ijayo bila kuleta athari kubwa kwa mazingira na huduma za jiji Kwa kuzingatia vigezo hivi, je, Jangwani ni eneo sahihi kwa ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira? Kwa mtazamo wangu, hata baadhi ya viwanja vilivyopo kama vya KMC na JKT Mbweni vinaonekana kujengwa bila kuzingatia kwa kina baadhi ya vigezo muhimu vya mipango miji na miundombinu. Je, tutaendelea kujenga viwanja kwa sababu tu eneo lipo, bila kuangalia athari zake za muda mrefu katika ukuaji wa mji, mazingira, na huduma za usafiri? Hili ni jambo linalohitaji mjadala mpana wa kitaalamu kwa maslahi ya vizazi vya sasa na vijavyo. Upi mtazamo wenu kwenye hili.? Mimi nilidhani ni sahihi kujenga Makao makuu ya kisasa,hotel au hostel kwaajili ya wachezaji na uwanja wa mazoezi tu.
Thom Mnkondya tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
27
8
45
23.6K
JB, Smoove
JB, Smoove@Bhyera·
@iamrealpam @RKishaija81715 Kuna land grab ya kutisha kila kona za mataa wanagawana maccm kujenga sheli ukizingatia kuna wahanga walivunjiwa mle nyumba zao na wengine kupelekea kufariki kwa pressure
Indonesia
1
0
1
27
Agnostic
Agnostic@RKishaija81715·
Hii construction boom hapa Dar hasa wilaya ya Kinondoni part zote zinazo pakana na bahari kwanzia Mbweni mpaka Masaki inatisha Sio realistic
Indonesia
11
5
167
16.3K
PAM.
PAM.@iamrealpam·
@mchizidamas Hivi kwanini hakuna timu kutoka Zanzibar?
1
0
0
247
Mchizi chizi kichizi
Mchizi chizi kichizi@mchizidamas·
Kuna hii taarifa japo sio rasmi kuhusu NBCPL kuwa na ongezeko la timu kutoka 16 hadi 18 na mchakato wake ni kuwa zitapanda timu mbili kutoka Champioship na hakuna atakaye shuka kutoka PL hivyo KMC na Prison wapo safe😀.Yapi maoni yako ikiwa taarifa hii itathibitishwa na kuwa rasm
Mchizi chizi kichizi tweet mediaMchizi chizi kichizi tweet media
Filipino
27
19
538
21.1K