Dr Ibrahimu
4.5K posts

Dr Ibrahimu
@ibramakoni
Public Health Officer l Rotaractor l Pears Foundation Scholar. Cataractophile,Hodophile
Katılım Temmuz 2015
591 Takip Edilen997 Takipçiler

@ibramakoni Hi there! Accomodation called Hondo Hondo (booking.com) in Lushoto
English

@makumbawaleo_5n Kwanini unampa namba yako wakati kuna namba ya ofisi.
Filipino

@OnlineDentistTz @makumbawaleo_5n Current standards Practice from where.
English

@makumbawaleo_5n Current standards of practice dictate for an impacted lower 8, with proximity to the IAN, fanya cbct, angalia kama ipo ndani ya IAC, alafu if yes, only do coronectomy. Give it one month, it will migrate coronally, leaving the IAN safe, then you can extract it.
English

#Kuishi vizuri na watu ni mtaji unaodumu hata baada ya muda kupita. Jana tarehe 31/03 Nilifurahi sana kukutana na dada yangu Devotha kazini kwake mahali ambapo niliwahi kufanya kazi zamani, hawa ni miongoni mwa walionifundisha mengi kazini na tuliishi nao kwa heshima na upendo.

Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@YusuphMbilinyi8 @kalegamyeh Si kweli,kuna uhaba mkubwa sana wa Human Resource for Oral Health. Country needs 979 Dental surgeons(DDS) but currently available are 392 (40%).
Kwa hio saturation ya DDS ni bado sana.
Filipino

@kalegamyeh Nadhani Kuna restrictions KUPUNGUZA saturation ya wataalam mtaani
Filipino

@kalegamyeh Sababu zipo nyingi ila to make the long story short ni gharama,Collectively in gharama kumtrain DDS na ndio maana vyuo vingi haviwezi.
Mwaka huu kama mambo yataenda sawa UDOM wata recruit batch ya kwanza ya DDS.
Filipino

Hao wote ulowataja hakuna alowahi vumbua kitu
kasesco☆@kasesco_tz
Hivi siku hizi mbona sisikii wanasayansi wavumbuzi WAPYA kama tuliowasoma shule akina Archimedes principle wa law of floatation. Isack Newton wa law of motion,akina Charles’law,Boyle’s law,Mendel’s na wengine au ni mimi tuu sifwatilii..😌.
Indonesia

Hongereni sana watalaamu,Kutibu viumbe wasioweza si kazi rahisi.
Sokoine University of Agriculture (SUA)@SokoineU
📍SUA kinawapongeza wanafunzi wa Shahada ya Sayansi ya Tiba ya Wanyama kwa kufanikiwa kuhitimisha safari ya masomo ya miaka mitano darasani (2021–2026) Hatua hiyo ni muhimu kwenu, Chuo na Taifa kwa ujumla, hatua ya mwisho mnayoiendea sasa ikawe na nuru katika kukamilisha safari.
Indonesia

@SokoineU My degree is too old , I left these kids in their first year 😅😅
English

@kalegamyeh Mwisho wa siku ili tukae kwenye uzani lazima watu wasome mambo ta Afya
Indonesia

Vipanga niliosoma nao secondary wakasoma course za business, economics, IT na engineering, wako mbali sana kiuchumi. Vipanga wa afya ni huzuni. Yaani watu hawaoni aibu kukutupa vichochoroni pamoja na uwezo wako.😄
Hata ukiotea ukabaki hospitali ya taifa, bado njaa itakupiga sana. Vipanga wenzako wako taasisi za fedha, kampuni kubwa za uwekezaji and etc. Wewe uko hoi na pombe kali.
Indonesia

Al Ittihad’s Aziz Ki had his 7th & 8th teeth removed under general anesthesia, supervised by Dr. Muhammad Muftah.
#AfricanFootball #Libya

English

@kalegamyeh Imagine mpaka leo Oysterbay kuna plot SM afu tatu na usheee na virgin kabisaaa😃😃
Filipino

Ndio wanywe vijoti kama sikukuu ya Mikaeli na Watoto?
Young Africans SC@YoungAfricansSC
Hii ndo tofauti ya timu ya Wananchi na wengine🔰💪🏽 Wananchi wakiamua jambo wanasimama na kauli moja
Eesti






















