ISRAEL JOEL MWAIJANDE

35.6K posts

ISRAEL JOEL MWAIJANDE banner
ISRAEL JOEL MWAIJANDE

ISRAEL JOEL MWAIJANDE

@izzytz

UDSM-BA Mass Comm| Communication expert|| #PubLinki @PubLinkiApp founder|| Business Development Manager. Email: [email protected]

TANZANIA Katılım Haziran 2012
2.6K Takip Edilen3.8K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
ISRAEL JOEL MWAIJANDE
ISRAEL JOEL MWAIJANDE@izzytz·
Friendship is not about who you spend the most time with, it’s about who you have the best time with.
English
14
31
109
0
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Swali kwa wakristo; Biblia inaposema Yesu ni mwana wa Mungu maana yake nini?? Mungu alimzaaje Yesu?
Indonesia
19
2
32
3.5K
ISRAEL JOEL MWAIJANDE
@cw_pedro @YerickoNyerereT Ndio hawa wanataka wawe wanaona sura zilezile kwenye uongozi. Hawataki kuona chama kikiinua wengine. Au walikuwa na imani wao kushika vitengo sasa wanaona kwa mwelekeo wa sasa hawawezi tena. Tatizo hawajui kujishikilia. Si wangekubali tu kushindwa na kuendelea kuwa na chama.
Indonesia
0
0
1
69
CWPedro
CWPedro@cw_pedro·
CHADEMA ya vichwa hivi inakufaje Kaka @YerickoNyerereT ? Ombeni dua zingine.
CWPedro tweet media
Indonesia
15
28
214
10.6K
ISRAEL JOEL MWAIJANDE
@Balyx_ Nyakati zinabadirika. Lazima uusome upepo. Marekani anapaswa kuangalia aendevyo, lasivyo akijifanya mbabe tu bila kubadili gia angani yatamkuta ya Ujerumani na waliokuwa wababe wengine. Lakini pia kwa upande mwingine pengine kweli USA kashikwa pabaya na Iran ama washirika wake.
Indonesia
0
0
1
88
ISRAEL JOEL MWAIJANDE
@EliabuDanford Kwani kunashida gani kama imeamua kujiendesha kidini. Kwani ikijiendesha kidini haina haki ya kuwa huru na mambo yake? Haina haja ya kuitetea inapochokozwa?
Indonesia
2
0
1
156
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Nchi inaitwa the Islamic republic ila mtu anakwambia usiiongelee kidini, politics za kitoto sana.
Indonesia
8
4
42
1.4K
ISRAEL JOEL MWAIJANDE
@EliabuDanford Mm nadhani itategemea na akili za jamii husika. Kunajamii zinaweza zaidi manufaa mazito ya nchi zao kwa vizazi vijavyo Kunajamii zinaweza tu ufike usiku wakanjunjane. Hivi vitu ndivyo vinaleta utofauti wa jamii na jamii na sikingine. Kwahiyo Lebanon pengine wanaona mbali zaidi
Indonesia
0
0
0
15
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
@izzytz Watakubali ila for short relief lakini haiwezi kuwa beneficial in the long run.
Indonesia
1
0
0
10
Vunga
Vunga@VungaEl74·
@izzytz Ndio umefikria hivyo
Filipino
1
0
0
138
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Wakati Makamu wa Rais JD Vance anasafiri nchini Pakistani, msafara wake utaonyeshwa. • Vitongoji vya Chevrolet vyenye silaha nyingi • Lori maalum la ambulensi/lori la usaidizi • Magari ya ECM yamebana dhidi ya vitisho vya milipuko • Magari ya SUV na vani kwa washauri na wafanyakazi • Magari ya nyuma kwa ajili ya ulinzi wa ziada Magari 40–100 kwa jumla Maandalizi tayari yanaendelea baada ya kutua kwa C-17 leo. Marekani ni mmoja tu🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Vunga tweet mediaVunga tweet mediaVunga tweet media
Indonesia
15
20
206
17.6K
~GK~
~GK~@Gilly_GK91·
@EliabuDanford @KennedyMmari 3.Wale wayahudi ambao Hitler alisema ni cancer hadinkupelekea kuwaua,Hitler mwenyewe alijuaje kama ni wajahudi?. 4.Wakati wa utawala wa ottoman na uingereze,ulikua na takriban 20% ya wayahudi waliokua wanaishi pale as community na waarabu,mbona wanafanana na hawa waliotok Ulaya?
Indonesia
3
0
3
449
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Let's be honest, Kuna swali huwa linanisumbua sana 1. Wachambuzi wa siasa za Kimataifa kama @KennedyMmari wanatueleza kwamba Origin ya Wayahudi/Zionists ni Ulaya. Hivi inawezekanaje serikali ichukue Idadi fulani ya wananchi na iwafukuze katiba gani inakubali?? 2. Pili, kama Origin yao ni Ulaya, serikali za Ulaya waliwezaje kuwatambua aina fulani tu ya watu wasiwachanganye na wengine, [waliwezaje kuchambua kati ya wananchi na kujua hawa ni Wayahudi, wakati wengine wanasema hakuna Wayahudi Duniani]?? Naomba elimu;
Indonesia
11
1
22
6.4K
ISRAEL JOEL MWAIJANDE
@EliabuDanford Siku ya maandamano, Watanzania wengi walitamani jeshi lichukie nchi. Sio kwamba hawajui madhara yake, ila wanaona kwakuwa litasaidia kumuondoa wanae mwona ni adui yao, ni bora iwe hivyo. So kama Cuf itafanikiwa kuunda jeshi kuwaondoa polisi, unadhani raia watakataa? 😂 Wajaribu
Indonesia
1
0
0
15
Reggy
Reggy@DynamicsNation_·
@Eng_Mtambo @izzytz @PolycarpMDM Okey, japo, still it seems hujui maana ya regime. Ngoja twende vizuri. Who told you lengo lilikuwa lile?? Una info za Secret files za White house??
Indonesia
1
0
1
9
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Sasa Wewe ndio Mjinga mwenyewe ambaye kiukweli unajiamini. Tanker Class za Panamax zinabeba 500k Barrels tu. Tanker Class za Aframax zinabeba 700k mpaka 1 Million Barrels. Hizo Juu ndio Tanker class Nyingi Duniani. Hizi VLCCs na ULCC zinabeba 2 Million to 4 Million Barrels ndio kama hiyo pichani. Umeandika hapa kwamba ni 2 Mill USD per Passage na wala si Per Barrels sasa mbona sahizi unakataa ulichoandika, Msiwe mnasoma brochure zimeandikwa Pakistan mnawasambazia wenzenu humu. 😁
Polycarp The Bibliophile tweet media
Billy@BillyTronix1

You are fool for not knowing one ship tanker carries 1.5-2m oil barrels 😂😂😂😂

Suomi
8
2
43
7.5K
ISRAEL JOEL MWAIJANDE
@Davioh76 Uaminifu wako huja kwa heshima uliyojitwalia kwa jamii. Ukiwa mtu wa hovyo, watu watakipuuza kila kitu chako na kuona ni kawaida ya uhovyo wako. Watu kwasasa wanaijua Marekani kwakutumia media kudanganya. Na hii sio Waafrika tu, hata Wamarekani wenyewe hawamuamini.
Indonesia
0
0
1
6
Train La X..🚂 (The X Train)🚡🚇
Inakuaje Africans people wanasema ARTEMIS 2 ni wanapotosha ulimwengu na president Donald Trump alitoa maoni na kuwapongeza kwa wanachokifanya.. BASI na elon Musk kwenda MARS ni uongo. TUJITAHIDI KUELEWA NA KUPATA MAARIFA ZAIDI.
Indonesia
4
3
23
825
ISRAEL JOEL MWAIJANDE retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Ni sawa kwa Marekani kufunga maji ya Cuba na Venezuela, na pia ni sawa kwa Israel kufunga maji ya Gaza, lakini ikiwa Iran itazuia nchi zilizopigana nayo vita kupitia Mlango wa Hormuz, hiyo inachukuliwa kuwa haikubaliki?
Indonesia
3
20
139
3.2K
ISRAEL JOEL MWAIJANDE
@Kataraia_Amani @ayubu_madenge Ohoooo.. ilikuwa balaa, ilikuwa ukiangalia vizuri, unaona jinsi anavyowatuma vijana wake kutest mitambo kulikoleza dili. Akiwa kwenye TV anawakana, kesho unakuta vijana wake wanakuja na jingine la juu kidogo.
Indonesia
0
0
0
5
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Muhula wa utawala wa Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe unaisha 2028 ila Chama tawala kinataka abaki madarakani hadi 2030. Halafu wabadili katiba ili Rais awe anachaguliwa na Wabunge, pia muhula wa Utawala usiwe miaka mitano tena bali uwe miaka saba.
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
35
13
428
14.6K
ISRAEL JOEL MWAIJANDE retweetledi
Tundu Antiphas Lissu
Tundu Antiphas Lissu@TunduALissu·
Today marks one year since Tundu Lissu was arbitrarily detained and denied his fundamental rights. Please share this and visit freetundulissu365.com for more information. #FreeTunduLissu —Admin
Tundu Antiphas Lissu tweet media
English
10
367
791
11.9K
ISRAEL JOEL MWAIJANDE retweetledi
Ruffrasta official
Ruffrasta official@Ruffrasta1·
Whoever is afraid of free and fair election is a thief.
English
58
5.1K
14.8K
101.9K
ISRAEL JOEL MWAIJANDE
@EliabuDanford Why are they killing civilians and demolishing civilians infrastructure? They have great war tactics. Why don't they just go after Hezbollah without harming innocent people. People blame Israel because it is fighting without strategies to protect other civilians.
English
1
0
0
143
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Hezbollah is not the government of country Lebanon. Yet some folks justify its resistance against Israel ignoring the fact that they will automatically drag the whole country into war. When Israel launches waves of strikes against Hezbollah the whole world condemns Israel and not Hezbollah which is conflicting two neighbouring countries with no hostility. I thought, the international community will focus and work on disarming the millitia for the lasting peace in the region instead of dealing with a country which is showing the whole world of their intention and hostilities which triggers and ignite war anytime.
English
5
1
10
2.7K
ISRAEL JOEL MWAIJANDE retweetledi
Words of Wise | Mindset Coach
“Never play fair in a game where others cheat.” — Machiavelli
Words of Wise | Mindset Coach tweet media
English
342
9.4K
45.8K
783.1K