Sabitlenmiş Tweet
Jabeerfx
65 posts

Jabeerfx
@jabeerfx
Creative Designer | Music Producer | Content Creater | 🎼🎹 🇹🇿
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mayıs 2018
459 Takip Edilen59 Takipçiler

@millardayo Tanzania tunachangamoto ya taaluma na sio hivi vitu, Mgonjwa wa goti anatibiwa jicho ndo haya🤣
Indonesia

#VIDEO Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam imekamilisha ujenzi wa Shule mpya ya kisasa ya Sekondari Bonyokwa ya kidato cha tano na sita ambayo ina jumla ya vyumba vya madarasa 20, matundu ya vyoo 45 yakijumuisha matundu ya vyoo vya kawaida 30 na matundu ya wenye mahitaji maalum 10 na sehemu ya haja ndogo (urinary) kwa Wavulana 5 na vyumba maalum kwa Wasichana vyenye choo ndani yake 5 pamoja na lifti moja.
Ujenzi wa mradi huu umegharimu shilingi za Kitanzania zaidi ya Bilioni mbili ( 2,077,731,295.21 ) ikiwa ni mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam.
Hii inakuwa ni Shule ya pili kusimikwa mfumo wa lifti baada ya Shule ya Sekondari Kipunguni B na tayari lift hiyo tayari imeanza kutumika ambapo katika taarifa yake, Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam imemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mapinduzi makubwa katika eneo la elimu ambayo yamesaidia maboresho ya miundombinu ya elimu. #MillardAyoUPDATES
Indonesia


Chuga ujumbe utafika tu na maandamano haya hayana kikomo,
Je mtafunga biashara za watu siku zote au mtawapa wananchi wanachokitaka?
#D9 #SamiaMustGo
Indonesia

@PresenterNoah Chashless economy ni nzuri sana , changamoto mifumo yetu bado sio rafiki , mara nyingi sana nimekwama kufanya malipo kutoka na network kuwa failed . Unaweza kuonekana mwinzi sometimes
Filipino

@Rydx_017 @__abdulazack @amprincess9 @athanas_pius @babalao__ @Balyx_ @JayleenRickie @KamigakikuMbise @kapeto98 @Neypaul01 @MiriamMkanaka NI KWELI KABISA
Filipino
Jabeerfx retweetledi

The Joint wiki hii Mabibi na Mabwana tutakuwa na @NavyKenzo ✨ @AikaTz & @Nahreel ✨Moja ya kundi familia matata kabisa kujivunia nchini kwetu Tanzania na Afrika Nzima

Filipino

























