Japhace Poncian

5.4K posts

Japhace Poncian

Japhace Poncian

@japhace

Senior Lecturer in Development Studies and Politics (MUCE), passionate about extractives governance, holder of a PhD (Politics) from University of Newcastle

Iringa, Tanzania Katılım Nisan 2012
4.5K Takip Edilen4.1K Takipçiler
KANI’s Kolibea
KANI’s Kolibea@pk_mante·
In academia, one of the top goals is Full Professor - and I did it! Thrilled to begin the year on a high with a promotion to Full Professor of Pharmacology. Grateful beyond words for the journey and the shoulders I stood on. Cheers to an impactful 2026. May we all be great✨
KANI’s Kolibea tweet media
English
764
1.6K
12.3K
302.3K
Japhace Poncian
Japhace Poncian@japhace·
@godbless_lema Kabisa. Chanzo cha mamlaka ni Mungu lakini si kila mwenye mamlaka kapata kutoka kwa Mungu
Filipino
0
0
0
116
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Warumi 13:1 inasema kwamba “hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu,” lakini kifungu hiki mara nyingi hutumiwa vibaya kuhalalisha utawala dhalimu. Kitaaluma na kidini, ni muhimu kutofautisha kati ya kanuni ya mamlaka inayotoka kwa Mungu na tabia ya watawala, ambayo haimaanishi kuwa kila kiongozi anaungwa mkono na Mungu. Paulo alimaanisha kwamba mpangilio wa mamlaka ni wazo la Mungu kwa ajili ya haki na utaratibu, si kwamba kila serikali iliyo madarakani ni takatifu. Maandiko yanathibitisha wazi kuwa Mungu hakukubali utawala dhalimu. Katika Agano la Kale, Farao alikemewa na kupingwa na Musa kwa sababu ya ukandamizaji wa Waisraeli. Nabii Samweli alimkemea Mfalme Sauli kwa ukaidi na kutotii maagizo ya Mungu. Nabii Eliya alipinga kwa uthubutu utawala wa Ahabu na Jezebeli kutokana na dhuluma zao dhidi ya maskini. Vivyo hivyo, Manabii Isaya, Yeremia, Amosi na Mika walikemea wafalme na viongozi waliopotosha haki, walionyanyasa wanyonge, na waliotumia mamlaka kwa faida binafsi. Kwa hiyo, Warumi 13:1 haipaswi kutumika kama ngao ya kuhalalisha serikali dhalimu. Mamlaka inayotoka kwa Mungu ni ile inayodhihirisha haki, uadilifu na wema. Kanisa na jamii zinapaswa kutumia maandiko kwa uaminifu, yakikemea dhuluma kama manabii wa zamani, na kuyatumia kama mwanga unaoongoza kuelekea haki ya Mungu.
Filipino
72
193
1.1K
41.5K
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
@japhace Not hopes to achieve substantially, atleast to be human beings.
English
1
0
9
814
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
It's getting even worse. No goodwill. Nothing hawana mpango wa kutatua kitu chochote.
English
11
44
391
12.6K
Japhace Poncian
Japhace Poncian@japhace·
@EliabuDanford Kama habari ya mti mkubwa sana wa Danieli 4 inakwenda kutokea but this time bila kuliacha shina la mti
Filipino
0
0
3
705
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
#CodeszaUnabii Mara ghafla kukatokea tetemeko juu ya nchi ile. Ule mbuyu ukaanza kutikisika. Ukatikiswa na kutikishwa, mizizi ya ule mti ikaanza kung'oka, ukawa hauwezi kusimama. Niliona wale ndege wenye mabaka mabaka wakiondoka juu ya ule mti kwa shangwe kuu.
Indonesia
22
99
454
11.4K
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Danieli 9:25-27 25 Basi ujue na kufahamu, ya kuwa tangu kuwekwa amri ya kutengeneza na kuujenga upya Yerusalemu hata zamani zake masihi aliye mkuu; kutakuwa na majuma saba; na katika majuma sitini na mawili utajengwa tena pamoja na njia kuu zake na handaki, naam, katika
Gamba Massano@LevisGamba

@EliabuDanford Siku nyingine ukiongea na huyo "Roho Mtakatifu" muulize akwambie jina la kweli la "Messiah", akikwambia nijulishe maana nataka kulijua. Asante.

Indonesia
2
3
38
3.5K
Gamba Massano
Gamba Massano@LevisGamba·
@EliabuDanford Nabii, mimi naomba tu jina la "Masihi" (Messiah) basi. Muulize huyo "Roho Mtakatifu" unayeongea naye maana nina UHAKIKA ya kuwa "ROHO MTAKATIFU" anatoka kwa "BWANA MUNGU" na anajua KWELI yote. Basi muulize tu jina la KWELI la Messiah.
Filipino
4
0
0
308
Japhace Poncian retweetledi
UDADISI
UDADISI@Udadisi·
UDADISI tweet media
ZXX
0
3
2
558
Japhace Poncian retweetledi
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢@Chahali·
#Latest on #JasusiTV: UNYAMA MKUBWA! Askari Magereza Wamsukuma Mheshimiwa Tundu Lissu na Kumwangusha Mahakamani Hivi kama hawa maharamia wanadiriki kumtesa Mheshimiwa hadharani huku mamilioni ya Watanzania wakiangalia kesi hiyo mubashara, hali ikoje akiwa peke yake huko jela? Ikiwa sasa ni zaidi ya siku 100 tangu Mheshimiwa Lissu awekwe gerezani kwa kesi ya mchongo, is it enough kulalamika tu Kuwa anaonewa ilhali watu wanasubiri miujiza ndo imnusuru? That aside, hata huyo hakimu jahili akiamua kesi ipelekwe mahakama kuu, one doesn't need even kuhitimu kozi fupi ya sheria let alone a law degree kubaini kuwa Mheshimiwa Lissu sio tu hatotendewa haki bali ameshahukumiwa kinyume cha sheria, no wonder wamemweka pamoja na wafungwa waliokwishahukumiwa kunyongwa? Video kamili ipo hapa youtu.be/ZnFQ-wYNfu4?si… Ikikupendeza, fanya ku-subscribe
YouTube video
YouTube
Indonesia
0
11
44
1.4K
Japhace Poncian retweetledi
officialmuce
officialmuce@officialmuce·
🌍 MUCE ina Wataalamu ambao ni Wahitimu wa MUCE Waliofikia Ngazi za Kimataifa! MUCE inajivunia kuwa na wataalamu waliokulia, kusomea na sasa kufundisha hapa chuoni – mfano hai ni Dkt. Japhace Poncian, Mtiva wa Kitivo cha Insia na Sayansi za Jamii, mtaalamu mahiri wa taaluma za Maendeleo na Siasa, ambaye pia ni mhadhiri na mtafiti mwenye kutambulika kitaifa na kimataifa, na muhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Leeds (Uingereza) na Newcastle (Australia). Akiwa ni mmoja wa wanataaluma waliopitia MUCE na sasa anashika nafasi ya juu ya kiuongozi, anaonesha wazi kuwa MUCE ni mahali ambapo vipaji huibuliwa, huendelezwa, na huishia kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii. Unapochagua kusoma Masomo ya Maendeleo au Sayansi ya Siasa hapa MUCE: ✅ Unafundishwa na wataalamu wenye uzoefu wa ndani na mtazamo wa kimataifa ✅ Unajifunza kwa kuzingatia changamoto na fursa halisi za jamii ✅ Unajiandaa kuwa kiongozi wa kesho katika maendeleo ya kijamii na utawala bora 📌 Dirisha la Udahili linaendelea hadi 10 Agosti 2025! 📞 Wasiliana nasi kwa msaada wa kujiunga: +255 753 469 546 | +255 764 875 468 #MUCE #WanataalumaWetu #MaendeleoNaSiasa #HomeGrownExpert #ElimuYaKimataifa #Udahili2025 #JiungeNaMUCE #ViongoziWaKesho
Indonesia
0
1
2
63
Japhace Poncian retweetledi
officialmuce
officialmuce@officialmuce·
Safari ya Mafanikio Huanza na Walimu Bora Katika video hii, tunakuletea Dkt. Edward Mgaya, mmoja wa wahadhiri wa MUCE katika Historia akisimulia safari yake ya kitaaluma—kutoka kusoma ndani ya nchi, nje ya nchi hadi kufundisha hapa chuoni. MUCE tunajivunia kuwa na timu ya wahadhiri waliopata ubobezi kutoka vyuo mbalimbali duniani, wakiwa tayari kukupa elimu bora na kukuongoza kutimiza ndoto zako. 💡 Unapochagua MUCE, unachagua: ✅ Elimu ya viwango vya kimataifa ✅ Miongozo ya kitaalamu kutoka kwa wataalamu waliobobea ✅ Mazingira bora ya ukuaji wa kitaaluma na kijamii 📌 Udahili unaendelea hadi 10 Agosti 2025 – usikose nafasi yako! 📞 Piga simu kwa msaada wa kujiunga: +255 753 469 546 | +255 764 875 468 #MUCE #WalimuWaKimataifa #ElimuYenyeUbora #SomaMUCE #Udahili2025 #ChuoChakoChaKesho #AnzaSafariYakoLeo
Indonesia
0
1
1
84
Japhace Poncian retweetledi
officialmuce
officialmuce@officialmuce·
📊 Join Us for a Quantitative Data Analysis Workshop! Sharpen your skills in data interpretation, statistical tools, and real-world analysis. Perfect for researchers, students, and professionals! 📅 Date: October 06-10, 2025 📍 Venue: MUCE-CDF-SR2 🕒 Time: 1500-1800HRS 🔗 Register now: forms.gle/cHjbvsRHLNw1cM…
officialmuce tweet media
English
0
1
1
64
Japhace Poncian retweetledi
officialmuce
officialmuce@officialmuce·
Dirisha la udahili kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na Shahada za Awali limefungulia. Omba sasa, ujiunge na Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE)
Indonesia
0
1
1
62
Japhace Poncian
Japhace Poncian@japhace·
@TuliaAckson Indeed! How did you make the Kingdom of the Heavens prosper during the past 5 years? Why should God give you 5 more years?
English
0
0
1
162