jmoon

69 posts

jmoon

jmoon

@jformagic

Katılım Eylül 2025
1 Takip Edilen3 Takipçiler
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
IPP MEDIA wanatoa vipaji vingi sana, jana na leo wameaga watu wengi sana. Pale Eatv nimeona Ibra Kasuga, Wastara na Kisa Daniel wote wamewaaga watu wamepata mchongo sehemu nyingine. Pale ITV yule Novath alikuwa anasoma taarifa ya habari nae ameaga. Aisee
Filipino
13
9
221
7.6K
jmoon
jmoon@jformagic·
@TBoundBuses Katika eneo ambalo serikali imefeli vibaya sana ni kuwadhibiti wafanyabiashara wa mabasi. Haiwezekeni kwa akili za kistarabu tumejenga stand kubwa ya Magufuli leo tunaikimbia na kuja kujibana pembezoni mwa barabara urafiki, manzese, agentina, kagera, magomeni etc
Indonesia
5
0
0
819
Tanzania Bound Buses
Tanzania Bound Buses@TBoundBuses·
Taratibu hapa EACLC panaenda kuwa Ubungo Bus Terminal mpya, kila kampuni inataka offisi hapo.
Tanzania Bound Buses tweet mediaTanzania Bound Buses tweet media
Filipino
11
9
208
24.9K
jmoon
jmoon@jformagic·
@Sawyergalox They can leave it as dammy to maintain current design view, looks good
English
0
0
0
284
Sawyer Galox
Sawyer Galox@Sawyergalox·
If the removal of the 3x lens is confirmed, the S27U's design will definitely be changed
Sawyer Galox tweet media
English
5
2
117
3.2K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Mwambieni Hilda na wanachadomo wengine kwamba; Ikitokea Lissu kaachiwa leo wakati kesi haijafika mwisho, basi watambue hayo ni makubaliano aliyoingia na dola baada ya kutepeta, Na hili ni automatic anakuwa amewasaliti wanachadomo wote na sisi watu wema nchi hii tutahubiri nchi nzima tukieleza usaliti wake!
Indonesia
219
18
90
22.8K
jmoon
jmoon@jformagic·
@theonecid Nay, looks like traffic lights
English
1
0
24
1.7K
CID
CID@theonecid·
Galaxy S27 New camera system concept to allow "MagSafe" 👀 Yay or nay?
CID tweet media
English
153
44
1.3K
59K
jmoon
jmoon@jformagic·
@theonecid Looks like samsung never found a sticky design that uniquely identifies its phone brands like iphone. Why change every few releases? I personally like the 'P' shaped rear camera design, it somehow distinguishes samsung from other brands
English
0
0
1
497
CID
CID@theonecid·
We don't want Samsung to change the camera design again on the S27 They literally just settled on this for all the series
CID tweet media
English
27
6
344
14.3K
jmoon
jmoon@jformagic·
@Sawyergalox Do any design way but maintain current design, P shaped camera compartment, for ultra versions
English
1
0
1
808
Sawyer Galox
Sawyer Galox@Sawyergalox·
Samsung is considering a significant redesign of the rear cameras in the Galaxy S27 series, including lens repositioning and updated technical specifications This potential move is linked to support for the Qi standard for enabling magnetic accessories Just imaginary concept 👇🏻
Sawyer Galox tweet media
English
71
41
1K
44.3K
jmoon
jmoon@jformagic·
@PMadeleka Ujaji ni cheo au ni level fulani ya elimu mtu anakuwa amefikia kwa kusoma? Kama ni elimu itakuwa haina msaada kwa jamii, kama ni cheo basi kitakuwa cha kulipa fadhila kutoka kwa wateule
Indonesia
1
0
1
227
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kama kuna mtu AMEELEWA “Ufafanuzi” wa TUME hapo 👇, naomba aje “INBOX”.
Peter Madeleka tweet media
Eesti
24
5
57
13.8K
jmoon
jmoon@jformagic·
@MsigwaGerson Uh, nguchiro! Tutafikia maridhiano kweli kwa style hii!? Uvumilivu ni muhimu sana ukiwa kiongozi. Tumia maneno ya busara na hekima ili washindwe kuendelea na matusi. Kwa njia hii ni kama umeyakaribisha watakutukana sana. Kumbuka watu wana hasira za kupotelewa na wapendwa wao.
Indonesia
1
1
4
2.8K
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
Kuna nguchiro wamechapisha namba yangu binafsi ya simu mitandaoni na kuanza kuhamasisha watu wanishambulie. Nataka kuwaambia huo ni upuuzi na ni uvunjaji wa Sheria. Ukiondoa watu wachache sana wanatuma meseji za hovyo, asilimia 99 wananitumia meseji za kunitia moyo na kueleza utayari wao wa kuilinda nchi yao dhidi wenye nia ovu. Wale wanaoeleza changamoto za ajira na mitaji ninawapa majibu na nafikisha kwa wahusika zifanyiwe kazi. Nguchiro na chawa wa nguchiro acheni kupoteza muda na rasilimali mkiporomosha matusi, tulieni na tuungane kujenga na kulinda nchi yetu.
Indonesia
777
53
466
165.2K
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
Aliee takiwa kuwa mwenyekiti wa Chadema mpaka mda huuuuu ni mbowe sio lissu pengo la mbowe alizibwi na mtu yoyote pale chadema
Indonesia
187
7
51
30.3K
jmoon
jmoon@jformagic·
@Royal_Tv_Tz Maridhiano ya kudumu ni KATIBA MPYA TU
Filipino
0
0
0
17
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile amesema ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuundwa kwa Tume ya maridhiano na Tume ya Upelelezi wa makosa ya Jinai yaliyotokea Wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kutaponya na kuwaleta tena Watanzania pamoja kama ilivyo tamanio la Watanzania wengi. Balile ametoa kauli hiyo punde baada ya Rais Samia kupokea ripoti ya Tume huru aliyoiunda kuchunguza matukio ya Uvunjifu wa amani wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 leo Alhamisi Aprili 23, 2025 ambapo pia Rais Samia aliahidi kuunda Tume hizo ili kushughulikia mapendekezo yaliyotolewa leo na Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande. "Nchi ya Afrika Kusini iliunda tume ya maridhiano chini ya Askofu Desmond Tutu na kwakweli ilimaliza changamoto zao. Kubwa kuliko yote hapa tulipo tumeshafika, tuna wajibu wa kutoka na nimekuwa nikisema sisi kama Watanzania tukiharibu amani tutapigana na tukishapigana tutaitana kwenye meza ya mazungumzo kujadili namna ya kuleta amani, amani ambayo tulikuwa tumeishika mkononi, kwahiyo hatuna fursa nyingine zaidi ya hii kwamba imeshatokea, tufanye kazi kama Watanzania na waliohusika wawajibike binafsi." Ameongeza kusema Bw. Balile.
Indonesia
24
4
21
3.5K
jmoon
jmoon@jformagic·
@HarryGodfirst Hawa ukiwafanyia forensic investigation, wote wanatiwa ndani na ripoti yao inachomwa moto.
Indonesia
0
0
0
149
Harry
Harry@HarryGodfirst·
Jaji Othman Chande ni KIANDE anasema hivii " Kuna Shahidi alisema aliona Askari 9 dhidi ya waandamanaji 400 hivyo ilibidi askari watumie risasi kuwatawanya..." Swali langu : Nani aliwahesabu hao waandamanaji 400 ? NB : This is typical a cooked report. Ushenzi mtupu 🚮
Harry tweet media
Indonesia
17
50
272
8.5K
jmoon
jmoon@jformagic·
@kirigitim Hiyo barabara maeneo yote karibu na daraja yamewekewa vibao vya tahadhari, kwamba daraji ni jembamba na limeondolewa kingo. Ni jukumu la dereva kuzingatia maonyo ya barabarani, lakini kwa sababu ya mazoea au kutokuzingatia hayo maonyo madereva wamekuwa wakita kwa kasi
Indonesia
2
1
1
598
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢
Kuna baadhi ya vitu ni ngumu sana hata tajiri kukuelewa. Unajiuliza ilikuweje mpaka bob dere akaisukuma chuma huko ukilinganisha na mazingira hata haupati majibu.
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢 tweet media
Indonesia
10
1
104
10.2K
jmoon
jmoon@jformagic·
@YerickoNyerereT Kama kwa bahati hukukumbwa na yaliyotokea 29/10 bora ukae kimya kuliko kujifanya mjuaji wakati watu wamepoteza wapendwa wao. Ni busara kunyamaza kuliko hiki unachojifanya unakitetea au kukisemea, ni kama vile unashangilia kilichofanywa na dola dhidi ya wananchi wake
Indonesia
0
0
1
379
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Liko swali moja linauzwali sana na watu hasa wanaharakati uchwara kwamba, Nani aliyetoa amri ya kuua wafanyamapinduzi/wahaini (ambao wanaitwa waandamanaji wa amani) tarehe 29 oktoba 2025. Swali hili halijajibiwa na mamlaka yoyote nchini, Labda tume itatuambia vizuri. Lakini liko swali la msingi pia linaachwa na pande zote. Nalo ni; Hivi ni nani aliyetoa amri 29 Oktoba 2025 Kuuawa kwa polisi, kuchomwa kwa Petro Stations, kuharibu Miundo mbinu ya Mwendo Kasi, Kuchoma Mabus ya Mwendo Kasi, Kuchoma Mabus ya wafanyabiashara nk, Amri ilitoka kwa nani? Nafikikiri maswali haya mawili tusubiri Tume ya uchunguzi itatuambia kinagaubaga.
Indonesia
59
6
30
8.9K
jmoon
jmoon@jformagic·
@TheGalox_ S ultra S pro S standard These 3 are enough on the S product line. Whether they are edged or not but should stick to only these variants
English
0
0
1
345
Anthony
Anthony@TheGalox_·
Galaxy S Plus is not lasting another generation. Might not even last this one. Production breakdown: S26 Ultra: 1.5 Million S26 Plus: 200K S26: 1.3 Million S26 Plus is getting dangerously close to S25 Edge level production. At this point I'd just launch the S26 Edge and get rid of the S26 Plus
Anthony tweet media
English
23
19
492
36.3K
jmoon
jmoon@jformagic·
@munyamambogo Kwa watu wanaofanya kazi kwa weledi hakuna sababu ya kutishiana. Hii ni biashara siyo huduma, ukiona hailipi una park. Gari siyo mafuta tu, kuna spea nazo zitapanda, mtawafutia leseni wenye maduka!?
Filipino
0
0
1
53
jmoon
jmoon@jformagic·
@Kidimilo_23 @SAMALI13666931 Hapo sasa ujipange kwa 'finishing'. Nimeandika kiingereza maana ndiyo lugha utakuwa unaitumia kuanzia hapo hadi kukamilisha mjengo!
Filipino
1
0
1
53
NDILOLE DESIGN
NDILOLE DESIGN@Kidimilo_23·
KUTOKA SITE Mpaka hapa imekula almost 22m Mitaa ya Dodoma 😍 Ramani yake ipo NDILOLE DESIGN +255746122023
NDILOLE DESIGN tweet media
Filipino
23
18
198
14.4K
jmoon
jmoon@jformagic·
@ayubu_madenge Yaani malengo ya vita yalikuwa kwenda kufungua mlango ambao ulikuwa wazi kabla ya vita!?
Indonesia
0
0
0
12
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
HABARI KUBWA LEO: Iran imekubali kuufungua mfereji wa Hormuz haraka na kwa usalama, baada ya Rais Trump kukubali kusitisha mashambulizi makubwa aliyoahidi kuyafanya Usiku.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
84
41
616
36.3K
jmoon
jmoon@jformagic·
@VungaEl74 Du, malekani...huwezi kuwa na point kwa style hii
Polski
0
0
0
9
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Irani hawana uwezo wa kupambana wameshindwa ndio maana wameona waandike mapendekezo yao na Mlango-Bahari wamefungua Hayo ni mapendekezo malekani anaweza kukataa Irani sio Venezuela upepo ulikata kusikia watapigwa mpaka wachakae wakaona iishe tu kwa sasa
Indonesia
18
8
34
980