Sabitlenmiş Tweet
MJUKUU WA TRUMP
12K posts

MJUKUU WA TRUMP
@jhonsmallya
Concerned citizen of URT || Environmental Engineer || @YoungAfricansSC & @ManCity fan || I can, I must, I will
Everywhere Katılım Kasım 2020
384 Takip Edilen2.6K Takipçiler

@jhonsmallya @pi_tanzania @kasesco_tz wapo jiran yangu hapa tuliandika barua wapunguze kelele usiku ilikua balaaa hatulali
Indonesia

@pi_tanzania @kasesco_tz Lipo Bomang'ombe hili sio? Au sio hili?
Filipino

@kasesco_tz Kanisa Halisi la Mungu Baba. Wanavaa nguo nyeupe juu mpaka chini.
Indonesia

@jhonsmallya @joeselasini @Godwinmbogo1 @grok Hivyo muujiza ukifanyika fimbo ya Yoseph ikatoa maua hivyo Maria akaichagua hiyo fimbo ndiyo Yoseph alivyo pata nafasi ya kumuoa mama Maria
Filipino

@hilarymbowe_ @joeselasini @Godwinmbogo1 @grok Samahani kama nina kichwa kizito kidogo kung'amua, ila kiukweli bado sijaelewa
Suomi

@jhonsmallya @joeselasini @Godwinmbogo1 @grok Sema unakichwa kigumu na akili nzito janja? Umeambiwa lilikuwa sio jambo la kawaida fimbo kuota maua iliyo kavu kama vile mkongojo wa wanaume ,kwa kifupi ni muujiza ulifanyika kwa mama Maria kujua mtu sahihi zaidi.
Indonesia

@joeselasini @Godwinmbogo1 @grok Naelewa huwaga kuna maelekezo mbalimbali ya wazee haswa zamani hizo, ila nimeshindwa kuelewa hiyo fimbo ya Joseph aliiotesha au aliifikisha kwa kina Maria ikiwa kavu then ikaanza kumea kutoa maua?
Indonesia

@jhonsmallya @Godwinmbogo1 @grok We! mjukuu Bwana. Vijana wanapokwenda kuchumbia si wanapewa maelezo na wazee? Sasa waliokwenda kumchumbia Mama Maria waliokuwa wengi. Mungu akaamua kutumia njia hiyo kuonyesha ni yupi aliyestahili.
Indonesia

@Godwinmbogo1 @grok Enzi za uchumba ktk mila za Wayahudi wavulana walikwenda na fimbo. Maria alikuwa mteule aliyeandaliwa na Mungu na alihitaji mtu mwenye sifa za kumlinda; uaminifu, utii na unyenyekevu.
Hivyo vijana walipoweka fimbo zao Ile ya Yosefu ikamea mauwa kama ishara ya kuteuliwa na Mungu.
Indonesia

@mgwadila1 @ayubu_madenge Unafikiri Bandari yetu ina huo uwezo wa ku handle hizo chombo?
Na ukiritimba uliopo tz?? Watu wanapeleka vitu kwenye sehemu zilizonyooka
Indonesia

@CharlieBihemo @millardayo Na ni Dar es Salaam nzima, kumbe ni ndoa ya hiyu bibie mpaka anga zimeshangaa 🙌🏾
Indonesia

Msanii Gigy Money ambaye kwa sasa amebadili Dini na kuitwa Rawya amefunga ndoa na mpenzi wake Tarick.
Gigy (Rawya) amefunga ndoa na Tarick iliyoambatana na Sherehe fupi iliyofanyika Viwanja vya Golf Lugalo, Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo Wasanii kama Shilole, Hamisa Mobetto, Queen Darling, Jaymelody, Wachekeshaji na watu wengine maarufu.
Katika Sherehe hiyo, Gigy ameahidi Kuwa ‘atamtunza Mumewe, kwani hayuko tayari kwa ndoa ya pili wala hayuko tayari ndoa yake hii kuvunjika’
#millardayoENT

Indonesia

@owomwanjia @HabariDigital_ 😂 kwamba kanaeza kumponza soon tuu
Filipino

Kaimu Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Reza Arafi amesema:
"muda wa mazungumzo umekwisha. Marekani wamechagua kwa makusudi kuvuka mstari mwekundu - ule usioweza kurekebishika. Kwa kuanzisha vita hivi, wamesaini hukumu yao ya kifo wenyewe: hawajui lini wala vipi upanga utawashukia, lakini ni sisi ndio tunaoshikilia uzi wake.
Wanatutisha kwa kivuli cha nyuklia, wakiwa wamepofushwa na kiburi chao. Hawana hata fununu ya upeo halisi wa nguvu zetu wala kile tulicho nacho tayari.
Kuhusu Israeli, hatima yake tayari imeamuliwa. Kila shambulio, kila uhalifu, kila mateso waliyosababisha vitawarejea kama dhoruba. Watabaki ndani ya shabaha yetu, wakiwa wazi, dhaifu, wakifuatiliwa.
Tunatembea katika kivuli cha Kiongozi, na kila hatua ni radi. Iran haitopinda. Iran itashinda Daima." Ayatollah Ali Reza Arafi

Indonesia

@DeeBrineth @ayubu_madenge 😂 gen z wa +254 wanavituko sana
Indonesia

@CydeBz @ayubu_madenge Majamaa wamepinda sana hawa wanataka ilipuliwe yaani wako serious kinomaa 😂
Indonesia

@Kaiser_degoat @anuskills3 😂😂 nimecheka sanaa mkuu
Au hai day?
हिन्दी


@YoungAfricansSC Ilibaki hiviii🤌 tuzalilike
Hongera lakini chama langu japo kinyonge sana leo
Filipino





















