Sabitlenmiş Tweet
Kaiser
1.6K posts

Kaiser
@Kaiser_degoat
official sponsor of happiness ✌🏿 //@Yanga & @fc Barcelona die hard fan 📌
Katılım Şubat 2022
544 Takip Edilen500 Takipçiler

One of them played their role so good that he had to be called by the FBI for further investigation.
Levi🕊️@whoislxvi
Who delivered their character most perfectly?
English
Kaiser retweetledi

@killo_killo11 Kweli team Cr mazuzu kwamba huyo jamaa Fabrizio wa mchongo ndio kakuingiza kingi na ww umeingia 😂
Indonesia
Kaiser retweetledi

@RwamboRamadan @assengajrr Warumi14:14
1Timotheo 4:4-5
Matendo 10:9-16
Filipino

@assengajrr Wewe wapi bibilia ilikwambia kitimoto ni halali mnachagua maandiko ya kuyafata au sio!

Indonesia

@ze_mandevu Hiko chombo kipindi kinatua humo ndani hao jamaa walijizuia vipi na kishindo mpaka wote kuwa hai
Filipino

Nadhani bado wengi wetu tuna fikra za kimaskini yaani kwa Dunia ilipofika sasa NASA watupe story za kutunga, wakati miaka ijayo huenda kuna Mataifa mengi yaliyoendelea nayo yataweza kwenda kufanya tafiti huko kwenye Sayari kitakacho baki NASA wataweka Legacy kuwa Watu wa kwanza kufika huko.

Indonesia

Nikiwaambia football Twitter ni Arsenal tu mnakuwa wakali 😂
akili@akilnyingi
Bayern ana tuhakikishia kua hata Arsenal afike fainal hawezi beba kombe mamiyake🔥
Indonesia

Huyu nimemshindwa nani mwingine nipashe nae.🎮⁉️

Bukayo Shafi🇹🇿@Bukayoshafi77
Nani yupo free aje tupasuane huku Efootball kikosi kimejiimarisha.🎮✊️
Filipino

Kwa lugha nyepesi ni kwamba MAREKANI & ISRAEL wamemshindwa IRAN, simple.!!
Ayubu Madenge@ayubu_madenge
HABARI KUBWA LEO: Iran imekubali kuufungua mfereji wa Hormuz haraka na kwa usalama, baada ya Rais Trump kukubali kusitisha mashambulizi makubwa aliyoahidi kuyafanya Usiku.
Indonesia

Kwamba hiki kipindi ulikuwa Man city fan?? Unafki ndio kitu hatuwezi acha🙌🏾

Foden47@playmaker264
22+
Indonesia

@daudi10emmanuel @George_Ambangil @hecenmo Duhh uncle me mwenyew ni culer wakutupwa ila huwa sielew kabisa culers wenzangu kama nyie mnavyomdogodisha stegen although miaka ya iv karibun kwel anazingua ila kwanzia 2018 mpaka 2021 alikuwa anatusave sana jamaa nakumbuka alitashawah kutamba sana kweny list za makipa bora
Indonesia

@Kaiser_degoat @George_Ambangil @hecenmo Msimu huu tu Joan Garcia amefanya makubwa kuliko kitu chochote Ter Stegen amefanya katika klabu yangu
Indonesia

















