kazilo
193 posts


@Roma_Mkatoliki Kuna lile goma la bahati bukuku unaweza toka DSM to mwnza na bado mfalme hajasimama kumtazama malkia.
Indonesia

Kuna siku nilijaribu kupima urefu wa #Music_Catalog yangu!!
So nikawasha gari kutokea ubungo mataa na nika press play muwa wa kwanza……na kuendelea……non stop!!
Catalog iliishia around Mikese pale nakumbuka!!
Hii ilikuwa kabla sijasafiri kuja nilipo!!
Now nikiongeza na miwa niliyoachia nikiwa huku……🤔
Nikianzia 🚘 Ubungo naweza toboa Dumila……!!
Wapo artists wanaweza toboa hadi Dodoma, wengine iende irudi….shoutout kwao 👏
Wapo pia ambao wakianza Ubungo hawatoboi hata kwa Matius pale….
mchongo unafika Mwampamba!!
#NB Ukiwa na catalog ya miwa 100 letsay kila muwa approximate’ 3min
ni dakika 300 (5hours)
Ubungo - Nangurukuru!!
Filipino

@Arikasi_ @francismtey Kwa issue ya jina kwenye hizi Abrahamic religions yuko na majina Mengi na kila jina Lina maana yake.
Filipino

@kazilo3 @francismtey Mungu Hana jina lingine zaidi ya Mungu, hata huko uliko ulishawahi kusikia mtu anajiita Mungu, ila God utawakuta Godfrey, Godson nk, Allah utakuta Abdallah n. k
Indonesia

@Kamua_leo @francismtey @Bluckuv Kuna namna Mungu alitaka tusife kabisa na kuna namna alitaka tusiyajue mabaya, kazi yake ilikua njema na mema yote alitaka tupate, Tulidanganywa tukajaa
Indonesia

@kazilo3 @francismtey @Bluckuv Umesahau apo pia shetani aliwaambia watajua mema na mabaya?(fact) na alisema hawatakufa ila hakuwaambia baadae hawatakufa.( kwaio bado alikuwa sahihi),Na walivokula hawakufa walikuja kufa baadae baada ya Mungu kuwapa lahana.
Indonesia

@moshi34 @francismtey Mungu hakuumba kiumbe au kitu ili kije kua mungu, watu ndio wanavibadilisha vitu ambavyo Mungu kaviumba na kuviita miungu, mfano Mungu kaumba mti watu wanauchonga na kutengeneza sanamu na kuiita Mungu, na kuna mifano mingine mingi tu.
Eesti

@francismtey @kazilo3 Tunajua kuwa kuna Mungu wengi na neno Mungu ni kama cheo
Swali la kujiuliza hao miungu wengine waliumbwa na nani...? Na kwa nini Mungu aliumba miungu
Indonesia

@Kamua_leo @francismtey @Bluckuv Mwanzo 2:17 Mungu alimwambia Adam akila yale matunda atakufa hakika (huu ni ukweli).. Mwanzo 3:4 shetani akasema mkila hakika hamtakufa (huu ulikua uwongo)..
Indonesia

@assengajrr Fatilia vitu na ujiridhishe kabla ya kupost, resources za kupata majibu ya maswali yako zipo nyingi tu, access ya internet unayo na simu unayo shida ni nini?
Indonesia

@francismtey @Bluckuv Shetani hakuwahi kua mkweli na wala kweli haimo ndani yake.. alichowaambia pale kilikua ni uongo uliotugharimu hadi leo.
Filipino

@kavishePb Wanefili wanaelezewa vizuri kwenye THE BOOK OF ENOCH. Ni apocrypha, ikimaanisha ni kitabu kisichokubalika kwenye kanoni ya Biblia
Ila kwa kifupi, malaika waliingiliana na wanadamu na wakazaa watu wasio wa kawaida (Wakubwa mno).
Waliangamia kwenye gharika ya Nuhu
Indonesia

@k_mjege @Mwinshehe07 Au mtu umefiwa afu Viongozi wanasema "Kifo ni Kifo" kama serikali kuna sehemu imejikwaa.
Indonesia

@Professionature @bensonsangaa kwetu hakuna brand kubwa wala ndogo sote sawa ko tunakusanya wote sawa ni kuinuana tu hadi kufikia malengo
Indonesia



















