
26Keen Kendrick
1.3K posts

26Keen Kendrick
@keengeorge44
I Give What I Receive. Messi is a god . Everything I Hear Is An Opinion Not A Fact. Everything I see Is a Perspective Not The Truth.
Tanzania Katılım Ekim 2012
164 Takip Edilen92 Takipçiler

@SWEBE_10 That's the life man, siku wakikuweka ofisini hata mwezi tu utatia huruma wewe😅 utatamani parapanda lipigwe Yesu arudi tu dunia ifike mwisho.
Indonesia

Kipindi nacheza Forex ulikuwa ukigusa story za kuipondea Forex nilikuwa natamani nikurukie. Na baadae niligundua ulikua ni utoto wa kifikra sio kiumri.
Nilichokuwa napitia ndio ambacho wacheza forex wengi wanapitia sasa.
Vijana wenzangu ile sio biashara ya kubet potential na future yako yote.
Africa tuna matatizo mengi makubwa sana ambayo ukitatua ni pesa nyingi sana! Lets go solve them.
Indonesia
26Keen Kendrick retweetledi

@SWEBE_10 Ulifkiri ule msemo "Zege halilali" unalihusu zege peke ake!? 😀😀🙂.
Indonesia

@SWEBE_10 We jamaa😂😂😂 ..hiyo vita ata kwa msaada wa Iran hutoboi,lazma wakuweke na kwenye jarida lao kama mfano mbaya wa mhandisi akiwa kazini.
Indonesia

@SWEBE_10 😅😅😅You don't want peace ....You want PROBLEMS!!!!
English

@njiwapori_ "I live ..I die ..I live again".
"Who are you praying to? ...to whoever is listening".
English

@MpushyOfficial Pisi buku!! Bila Hekima unajiua saa mbili juu ya alama.
Indonesia

@TumwebazeEzra2 @256Rootyherman "We are created in the form of God,If we have a sense of humor he has a sense of humor too. He's probably laughing to that meme right now"
English

@256Rootyherman With due respect, please stop involving God in your funny things.
English

@vistovic17 Hii dharau Edo labda aliwahi kuwa mchezaji mkubwa akafanya makubwa!. Maisha ya mchezaji wa ligi kuu yeyote sio marahisi. Tizi wanazopiga,Pressure wanayokua nayo kabla na baada ya mechi! Mtu wa kawaida unaeza acha kazi, apo bado kuna familia ndugu jamaa. Acha ashangilie atakavyo
Filipino

🚨🗣Edo Kumwembe amedis shangalia ya Mudathiri na wachezaji wengine!
“Mara ya mwisho celebration style ilitoka kwa Mayele – alipata madili mengi kama mnakumbuka!
Mchezaji ukiwa kwenye pick yako, unaweza kuingiza hela nje ya mpira. Andaa brand yako, kuza thamani yako.
Jana nimeona kupiga simu na kushangilia kama tupo zama za mawe!”


Indonesia

@SWEBE_10 We mzee😅 ...kuvaa safety Boot mpaka msikie OSHA wanakuja.
Suomi

26Keen Kendrick retweetledi

@NMweusi85571 Nadhani upo sahihi,achana na ufundi wake,Toni alikua anaituliza mid field yote attacking na defending,Walikua wanamsikiliza na wanamuheshimu. Nani anamsikiliza Valverde au Rudiger pale saivi!? Kila mtu anataka kwenda mbele halafu wanarudi kibishoo, wanafunga, ila magoli hayakai.
Filipino


@SWEBE_10 😅😅 hao jamaa kuishi nao inahitajika hekma flani ya mchongo
Indonesia

@maestrochance_ Zote kali ...ila bandlands imezidi kidoogo. Na ile ingekua ina Season nyingi kama GOT ..Oya
Indonesia





















