RTX9010

309 posts

RTX9010

RTX9010

@rtx9010

Katılım Haziran 2023
70 Takip Edilen9 Takipçiler
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
Naombe sifa za WANAWAKE WA KIPARE, nisije kufanya makosa hapa..🙌
हिन्दी
57
45
248
20.8K
RTX9010
RTX9010@rtx9010·
@flahisha Haya maeneo yote uliyotaja yapo jimbo moja ni wazi huu mji hujui alaf eb nipe kijiji kinachofanana na mwanagati
Indonesia
2
0
3
259
Pancras Flahisha
Pancras Flahisha@flahisha·
Ukitaka kujifunza kuwa Dar es salaam ni mji ulio na maeneo kama kijijini, nenda, Kitunda Kivule Mwanagati Magole Moshibaa Kwa Diwani Bombambili Kinyantila Kibeberu Na maeneo ya kigamboni huko ndani ndani ni kama upo kijijini. HUDUMA ZA KIJAMII MBOVU, YAANI NI KAMA XXM IMEPASUSA.
Indonesia
17
3
48
8.2K
hassani saidi
hassani saidi@HassaniSai59669·
@Mvuvi_Nyasa Kwani nyie aliyekwambia uislam ni dini ya Waarabu au kikundi cha watu fulani ni nani
Indonesia
1
0
4
876
M N Y A S A M V U V I. PHD
Wakati huo ligi za SAUDIA, DUBAI, EAU,IRAQ,IRAN zote izi ligi zao zipo kwenye Betting.. Africa huyu alie tuletea dini kuna sehem kidogo alikosea
M N Y A S A M V U V I. PHD tweet media
Filipino
21
14
263
17.3K
Sinan Koparan
Sinan Koparan@sinankprn·
@claudeai I wonder if animated films are going to be mass produced now.
English
1
0
3
6.6K
Claude
Claude@claudeai·
Claude now connects to the tools creative professionals already use. With the new Blender connector, you can debug a scene, build new tools, or batch-apply changes across every object, directly from Claude.
English
1.6K
4.4K
46.6K
12.4M
arnold_king🤴
arnold_king🤴@iamarnoldworld·
But which country colonized Nigeria with that English they speak. 😂
arnold_king🤴 tweet media
English
547
1.4K
13.5K
356.4K
RTX9010 retweetledi
Haulay
Haulay@Positivenga1·
Lack Of Exposure is a bigger problem than lack of Capital.
English
1
11
38
1K
DevWithB
DevWithB@BlessingA34519·
What languages can you code in without any AI help? Be honest
DevWithB tweet media
English
1
0
0
9
Kante
Kante@MkulimaKante·
Mjomba wangu akitoka Mahakamani mapema leo. Elon musk kwa sasa anakabiliwa na kesi dhidi ya Open Ai
Kante tweet media
Filipino
3
7
21
1.4K
Jesse
Jesse@Dev_JesseMaduka·
Many backend devs hate frontend because CSS humbles them 😂😭
Jesse tweet media
English
78
13
255
6.9K
Reethu
Reethu@ritu_twts·
As a developer, which backend framework do you prefer?
Reethu tweet mediaReethu tweet mediaReethu tweet mediaReethu tweet media
English
85
3
177
13.3K
26Keen Kendrick
26Keen Kendrick@keengeorge44·
@Positivenga1 "Kucheza forex", Kwamba Forex ni mchezo!!??😅. Uliifanya kama mchezo lazma ikuchezee kweli😂. Ila usivunje moyo wengine kwasababu wewe "uliicheza" badala ya kufanya biashara. Inaitwa " Biashara ya kuuza kununua sarafu za kigeni & kidigital,hisa,Nishati na Madini chuma" #BIASHARA
Indonesia
1
0
1
299
Haulay
Haulay@Positivenga1·
Kipindi nacheza Forex ulikuwa ukigusa story za kuipondea Forex nilikuwa natamani nikurukie. Na baadae niligundua ulikua ni utoto wa kifikra sio kiumri. Nilichokuwa napitia ndio ambacho wacheza forex wengi wanapitia sasa. Vijana wenzangu ile sio biashara ya kubet potential na future yako yote. Africa tuna matatizo mengi makubwa sana ambayo ukitatua ni pesa nyingi sana! Lets go solve them.
Indonesia
53
19
210
29.7K
RTX9010
RTX9010@rtx9010·
@Positivenga1 Imekuwaje ukaichukia hivyo mkuu😂? Nakumbuka nilikuja kwenye uzinduzi wa jarida lako la Swahili miaka mingi kidogo iliyopita. Kwenye lile jarida kulikuwa na watu wengi wa forex uliowaangazia kule.🤷‍♂️
Indonesia
0
0
0
308
Haulay
Haulay@Positivenga1·
kwa siku kwenye Global Forex Market ela zinazokua traded ni zaidi ya $4 Trillion. Sasa nyie hamjiulizi kwanini nchi kama Marekani ambapo ndo kuna mitaji mikubwa na vijana wake ni very smart sana lakini hamsikii mtu kama Sandile Shenzi wa Kimarekani anatrend Huko Marekani? Yani Vijana wa Marekani waone io fursa afu waiachie itawaliwe na kina Sandile na Ref wayne? Kila ukiona kijana wa Marekani anatrend ni amebuni solution flani na sio anabet forex! Unahisi kwanini? Ila sisi huku na marole model wetu wa South Africa ndo tunaona io fursa namba 1 duniani. Tuamke wanangu! Tumechelewa sana!
Indonesia
42
11
127
18.6K
Aryan
Aryan@justbyte_·
Developers, guess the tech stack!!
Aryan tweet media
English
86
3
132
13K
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Vijana niwape fursa ya kupiga pesa mpaka mchanganyikiwe?
P'site Shio tweet media
Indonesia
15
3
96
9.4K
RTX9010 retweetledi
𝐑.𝐎.𝐊 👑
𝐑.𝐎.𝐊 👑@r0ktech·
Vibe coding works best for those who already have coding experience.
English
19
9
101
3.8K
#TOTTechs
#TOTTechs@TOTTechs·
Matumizi ya VPN siyo salama kabisa kwenye Jamii, We need free access to this platform.
Filipino
9
39
274
9.7K
RTX9010
RTX9010@rtx9010·
@geniusmankofi AI can build the ship, but it can’t find the wind. 💨
English
0
0
2
574
Kofi Adjei
Kofi Adjei@geniusmankofi·
Apps I've built with Claude Code so far: 🟢 GeniusBudget - personal finance (iOS) 🟢 Deeper With Jesus - daily devotionals 🟢 WhoJustCalled - caller ID for Ghana 🟢 NeuroSurge Assist - clinical decision-support for neurosurgeons All vibe coded. All shipped.
English
30
75
956
31.4K