Kinyunyi Itabalary

15 posts

Kinyunyi Itabalary

Kinyunyi Itabalary

@kehetako

Katılım Kasım 2017
79 Takip Edilen11 Takipçiler
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Niliwaonya kuhusu wanasiasa hasa hawa wa upinzani! Hamkusikia! Ni opportunists tu hawa 👉hii kodi ya majendo ilipitishwa na kuanza kutumia Julai 2016 👉wakabadili sheria ya serikali za mitaa sura 289 👉Ikaainishwa kwenye sheria ya fedha 2016/17 na Miscel Amend Act ni 2 ya 2019
Indonesia
412
81
1.1K
0
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
😁😁😁😁 tuliwaonya sana hamkusikia!. Tukiwaambia sana hamkutaka kusikia!.. haya yote ni matokeo ya kuwa na katiba ya hovyo!. Sasa tulieni dawa iingie sana yaaani..! Sisi tutaendelea kudai katiba na kuna siku mtakuja kutuelewa tulikuwa tuna maanisha nini #KatibaMpyaMovement
Kigogo Media tweet media
Indonesia
145
99
838
0
Zax PhD
Zax PhD@PhdZax·
@kigogo2014 @freemanmbowetz Pumbafu na katiba zenuuuu,, tumejua liloko nyuma ya pazia kuhusu Kariba mpya,,, mnataka kunuingiza ant Christ in Tanzania kwa njia iyooo,, hamtoweza Wala hamtafanikiwa,, ilimradi Mungu aliye muweka mwanamke juu ya taifa hili, nasema mipango ya Mungu juu ya Tanzania itatimia tu.
Indonesia
26
2
12
0
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
"Hatimaye madai ya Katiba Mpya yamenisababishia kesi ya Ugaidi. Nipo tayari kwa mashitaka ya kuchongwa. Siogopi. Ninaamini dunia itajua ukweli kwa kile kinachoendelea na tunachopitia Watanzania. Natoa wito kwa Watanzania kuendeleza mapambano. Haki hutafutwa." @freemanmbowetz
Kigogo Media tweet media
Filipino
77
342
2.5K
0
Kinyunyi Itabalary
Kinyunyi Itabalary@kehetako·
@kigogo2014 Ccm mbele kwa mbele, hii kwanza haitatugusa sisi wananchi wanyonge maana hata hivyo hatuna pesa za kutuma😁
Indonesia
0
0
0
0
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
😂 nadhani sasa tunaelewana tunaposema CCM ni takataka na hawajawahi kuwa na akili.. Yaani unalipa ada ya kampuni ya simu halafu kuna Tozo ya serikali... ANAUPIGA MWINGI MPO? Au bado mnakenua kenua tu ...
Kigogo Media tweet mediaKigogo Media tweet media
Indonesia
491
267
1.9K
0
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Nyie msituchezee akili hapa! Wote nyie wezi tu hakuna kitu mnafanya!.. wewe Majaliwa ulivyolipa hela ya serikali kugharamia cost za birthday ya hawara yako yule alikuwa mbunge wa Chadema haikuwa ubadhilifu? Msituchoshe hapa
Indonesia
77
65
565
0
millardayo
millardayo@millardayo·
“Tumezoea kuwanukuu Wanafalsafa mbalimbali Duniani, lakini leo nataka nimnukuu Mtanzania mmoja anayeitwa Pierre Liquid niseme Mama Samia ni Konki Fire na Mama Samia yupo juu yupo Mawinguni, na ndio maana amefanikiwa kumteua Mpango kuwa Makamu wa Rais”-GWAJIMA #MillardAyoBUNGENI
millardayo tweet mediamillardayo tweet media
Indonesia
92
35
778
0
Mwalimu wa Zamu
Mwalimu wa Zamu@JoelGeofrey3·
@IAMartin_ Kwa hiyo kila anayetaka kujua amfuate Kiongozi ili amuulize??,Sasa hayo nayo si yatakuwa maandamano yanayotishia usalama wa huyo Kiongozi 🤔🤔..Kwanini hao viongozi wasitolee ufafanuzi kupitia vyombo vya habari ????..
हिन्दी
2
0
0
0
Kinyunyi Itabalary retweetledi
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
TANAPA imesema inaandaa utaratibu ambapo wananchi wanaotaka kuwapa Faru majina yao waweze kufanya hivyo kwa kulipia kiasi fulani cha fedha. Shirika hilo limeeleza kuwa kwa sasa linakamilisha ujenzi wa boma la kuwaweka wanyama hao katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi.
Swahili Times tweet media
Indonesia
78
18
595
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
Too much power is used in prayer, unfortunately they pray to gods not God.
English
1
0
1
0
Kinyunyi Itabalary
Kinyunyi Itabalary@kehetako·
@swahilitimes Sasa hata wasipotaka kushirikiana nasi kuna effect gani? Hawa waseme tu wanataka wapangiwe kazi, mtaani kugumu hawana lolote hawa😅😅
Filipino
0
0
0
0
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Vyama vya siasa (NRA, SAU, NCCR-Mageuzi, UPDP, DP, ADC, Demokrasia Makini, UMD na AAFP) vimekubali matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020 na vimeipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuratibu zoezi zima. Vyama hivyo vimesema vipo tayari kushirikiana na serikali.
Swahili Times tweet media
Indonesia
462
80
1.3K
0
Kinyunyi Itabalary
Kinyunyi Itabalary@kehetako·
Watanzania kweli ni Wanyonge hili hujakosea. Sisi tuendelee kuzaana tu na kulima mbaazi na mpunga. Hayo mambo ya demokrasia hatujafika huko bado
Donald kiza@donald_kiza

@millardayo Jembe... Jembe.. Hongera Raisi wa wanyonge

Indonesia
0
0
0
0
Serengeti Post
Serengeti Post@SerengetiPost·
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchini, Geogre Simbachawene, amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro, kuwaondoa askari wote wa Usalama Barabarani wenye vitambi na kuwapangia kazi nyingine kwani wamekosa sifa.
Serengeti Post tweet media
Indonesia
134
48
636
0
Kinyunyi Itabalary
Kinyunyi Itabalary@kehetako·
@swahilitimes Ulaya vyuo vinapewa pesa za reseach na serikali pamoja na kwamba ada yao ni kubwa sana. Africa vyuo vinatakiwa vipeleke gawio. Then tuna ndoto ya kuwa na mapinduzi ya viwanda hii inawezekana kwetu tu.
Polski
0
0
0
0
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Naibu Waziri wa Viwanda, Stella Manyanya amekikumbusha Chuo cha Biashara (CBE) Kampasi ya Mwanza kutoa gawio kwa serikali. Manyanya amesema anafahamu hali ya kifedha ya chuo si nzuri, lakini anaamini watajitahidi wawezavyo watoe gawio ndani ya siku 60 zilizotolewa na Rais.
Swahili Times tweet media
Indonesia
88
31
657
0