Nehemia.Maranya

34 posts

Nehemia.Maranya

Nehemia.Maranya

@NehemiaMaranya

#Chief Executive of Life Solution & Development Organization. #coordinator of the voter education 2020, unit. [email protected] YOUR VOTE YOUR VOICE

Tanzania Katılım Eylül 2020
255 Takip Edilen11 Takipçiler
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
#LSDO,inatoa pole kwa Mh.#RaisSamia kufatia kifo cha liyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kuandikwa.tunatoa pole kwa familia, Jeshi, Bunge na wananchi wa Jimbo la Ushetu. Mungu awe Mfariji, Amina
Nehemia.Maranya tweet mediaNehemia.Maranya tweet media
Indonesia
0
0
0
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
@SuluhuSamia 2."Yaliyopita si ndwele tugange yajayo" wahenga walisema Naamini kuwa UHURU🇰🇪+SULUHU🇹🇿 =UHURU wa SULUHU,umoja wetu kila nyanja utaimalika zaidi sasa RaisUhuru,tumempatia Dada yake Rais Suluhu,tulijua mkikaa muyajenge mtakuja na matokeo+ ya kibiashara Karibu sana comfort Samia
Indonesia
0
0
0
0
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nimerejea salama kutoka Nairobi nchini Kenya ambako nilikuwa katika ziara rasmi. Nimefurahishwa na mafanikio makubwa ya ziara hii kwani mimi na Kaka yangu Mh. Rais Kenyatta tumekubaliana kuondoa vikwazo vya biashara na kufungua milango zaidi ya watu wetu kuwekeza na kuinua uchumi
Indonesia
2.6K
2.1K
17.6K
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
@SuluhuSamia 1.Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassani kwa niaba ya Watanzania, tunakushukuru kwa kutufikia salaam zetu mubashara kwa Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya kwa niaba ya wakenya Mh.Uhuru Muigai Kenyatta kuwa sisi ni kitu kimoja utofauti ni mipaka ya nchi
Indonesia
0
2
5
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo" wahenga walisema Naamini kuwa UHURU🇰🇪+SULUHU🇹🇿 =UHURU wa SULUHU,umoja wetu kila nyanja utaimalika zaidi. Rais Uhuru,tumekuletea Dada yako Rais Suluhu,kaaeni muyajenge mtu na dada yake tena! tunamatumaini makubwa sana. Kila lakheri.
Nehemia.Maranya tweet media
Indonesia
0
0
0
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassani kwa niaba ya Watanzania,tufikishie salaam zetu mubashara kwa Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya kwa niaba ya wakenya, Mh.Uhuru Muigai Kenyatta kuwa, sisi ni kitu kimoja utofauti ni mipaka ya kiutawala, tu.
Nehemia.Maranya tweet media
Indonesia
0
0
0
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
@SuluhuSamia Mh.Samia Suluhu Hassani, Rais wa Awamu ya Sita, Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi na vyombo vyote vya ulinzi na usalama Tanzania Binafsi na kupongeza kwa Hotuba iliyo jaa ueledi,unyenyekevu na matumaini kwa wafanyakazi wa JMT Naamini yote uliyo ahidi yatatekelezwa KAZI IENDELEE!
Indonesia
0
0
0
0
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nimeshiriki na wafanyakazi wenzangu katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Nimepokea salamu za wafanyakazi na Serikali imeanza kuboresha maslahi ili kuongeza ufanisi. Nawahimiza wote kufanya kazi kwa bidii na uaminifu kwa maendeleo yao na kwa Taifa letu.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
1.1K
651
7.8K
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
@SuluhuSamia 🇹🇿Nakupenda,Mhishimiwa sana,mama yetu Samia Suluhu Hasani & Rais wetu kipenzi, Mungu akupe wepesi katika nafasi mpya hiyo uliochaguliwa. NANI KAMA MH,SAMIA MWANAMKE WA 1 KUWA MWENYEKITI WA CCM. 🇹🇿NINA IMANI NA WEWE UTAKUWA SULUHU WA KILA JAMBO KAMA JINA LAKO 🇹🇿KAZI IENDELEE
Indonesia
0
0
0
0
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kunichagua kwa kura zote (100%) kuwa Mwenyekiti wa CCM. Nawaahidi utumishi uliotukuka na CCM imara ambayo inaongoza Serikali yetu ya Awamu ya Sita.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
1.4K
914
9.9K
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
🇹🇿#MUNYENYUE KIELIMU watoto wa kike mkombozi wake ni elimu atakayo pewa na Familia /Jamii yake. 🇹🇿Urithi Pekee wa mtoto wa kike ni Elimu tupunguze mitazamo hasi #Munyenyuekielimu. 🇹🇿 Tulikuwa tunapiga stori na watoto wakike ambao wanapewa elimu vizuri, wanasema kwa kujiamini.
Indonesia
0
0
0
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
🇹🇿Katika #KUMNYENYUA msichana inahitajika hali ya mguso, huruma na Upendo we are all humanbeing,tusiumizane katika jamii zetu. 🇹🇿Tusiweze kuwatesa,tusiwabague,tusiwakatili wanawakike wanalia,kama wapweke. 🇹🇿#MNYENYUE kwa kumpa elimu bora,malazi bora na mavazi bora. #MNYENYUE
Indonesia
0
0
0
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
🇹🇿MUNYENYUE! watoto wakike katika jamii zetu baado anakabiliwa na changamoto za kiukatili. 🇹🇿Si,wanajamii ni wajibu wetu kuwalinda, kuwatetea na kuwakinga na mabaya yote. 🇹🇿 Katika wiki hii ungana nasi kupitia majukwaa yetu tutazungumzia, girls's challenge #MUNYENYUE
Filipino
0
0
0
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
🇹🇿Kusoma kwa bidii,ni mkombozi wa ukatili wa kijinsia katika jamii nyingi. 🇹🇿Watoto wa kike ukipata fursa kidogo haijalishi ni mazingira magumu kiasi gani?Soma kwa bidii ujikomboe na minyororo kandamizi iliyokithiri katika jamii yako 🇹🇿Soma kwa bidii ng'oa mnyororo wa ukatili
Nehemia.Maranya tweet media
Indonesia
0
0
0
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
Uongozi wa Taasisi ya #LifeSolutionandDevelopmentOrganization.Umepokea kwa majonzi makubwa,kifo cha Mh.Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunaungana na Watanzania,Familia,Ndugu Jamaa na Marafiki kwa msiba huu mzito. Buriani Ndg Dr.Magufuli.
Nehemia.Maranya tweet media
Indonesia
0
0
0
0
Nehemia.Maranya retweetledi
Kamala Harris
Kamala Harris@KamalaHarris·
.@JoeBiden and I won’t be in the White House until January 20th, but our message to everyone is this: wear a mask.
English
3.3K
7.8K
118.1K
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
Kuendesha taasisi, kunahitaji mikorogomikorogo na michanganyomichanganyo, mingi ili kupata radhi maridhawa,weke chumvi (credibility),ubunifu (creative),ugunduzi (Discovery),kuendeleza (suistainable
Indonesia
0
0
0
0
Nehemia.Maranya
Nehemia.Maranya@NehemiaMaranya·
living in third world countries, like living in the jungle
English
0
0
0
0
Joe Biden
Joe Biden@JoeBiden·
This afternoon, @KamalaHarris and I met with @SpeakerPelosi and @SenSchumer to discuss how we’ll get this virus under control, deliver much-needed relief, and build back better than before. We’re getting right to work for the American people.
Joe Biden tweet media
English
10.4K
8.6K
132.7K
0
Joe Biden
Joe Biden@JoeBiden·
Wearing a mask isn't a political statement — it's a patriotic duty.
English
27.2K
74.3K
964.7K
0