
Lesa Sid
6 posts


Lesa Sid retweetledi

Tunaendeleza pale tulipoishia, location ni ileile @sawasawabaytz tukizichambua ngoma kali za Bongo Fleva kwenye #BongoFlavaTop20
Show nzima Jumamosi hii kuanzia saa 10:00 Jioni chini ya Rais wa Bongo Fleva @dullah_planet na Toto la kwenda @lesa_sid
#Muziki #BongoFleva
Indonesia

Hili ni balaa la mkali Chino Kidd na wenzake kwenye stage ya #BongoFlavaTop20
Unawaweka namba ngapi kwenye listi ya ma'dancers' hapa Tanzania?
Cc: @lesa_sid
#BongoFleva
Filipino



