Jimmy Tejero

1.2K posts

Jimmy Tejero

Jimmy Tejero

@lifeofdr3

medical personnel

Katılım Temmuz 2020
1.3K Takip Edilen113 Takipçiler
Jimmy Tejero
Jimmy Tejero@lifeofdr3·
@chapo255 kwamba ilo tatzo bongo halitibiki?? mbona wenye achalasia wengi wanatibiwa muhimbili pale na wanakaa poa
Filipino
0
0
4
2.6K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Max Rioba anaumwa sana anahitaji msaada wa $42,000 ili kwenda kutibiwa nje ya nchi.
SANUKAnaCHAPO tweet mediaSANUKAnaCHAPO tweet media
Filipino
53
64
749
83.6K
Jimmy Tejero
Jimmy Tejero@lifeofdr3·
@EsirEid afu jamaa yuko proud kabisa kwamba isiponyesha mvua panachezeka dah
Filipino
1
0
1
188
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyeh·
Masters in public health- Major in infectious diseases and global health.❤️ Kala. MD,MPH
Dr. Kala. MD tweet mediaDr. Kala. MD tweet media
English
150
42
427
8.3K
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyeh·
Viongozi wa dini fulani hua wanawasifu na kuwaabudu lakini hamsemi wanaingilia siasa lakini mkikosolewa mnadai siasa inaingiliwa na dini. Huyu mama anatumia nguvu sana ili aogopwe. Mwambieni hatumuogopi na hawezi kulishinda kanisa. Anayeekaa kimya wakati wa uovu ni sehemu ya uovu pia.
Dr. Kala. MD tweet media
Indonesia
21
41
189
4.7K
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyeh·
Naona kuna fursa hapa which is a good thing. Swali langu ni kwamba, huko jeshini hakuna daktari wa kusoma hayo majina ya hizo specialization? Pediatrician inasomwa hivyo kweli?😃
Filipino
36
4
74
4.7K
Jimmy Tejero
Jimmy Tejero@lifeofdr3·
@bajabiri kupay debts sio tabia zetu, tunaona kusaidiwa ni haki yetu
Indonesia
0
0
0
65
Hormuz™️
Hormuz™️@bajabiri·
Watu waliokusaidia wakati upo chini...usiwasahau....wao na vizazi vyao.
Indonesia
8
57
333
10.6K
Jimmy Tejero
Jimmy Tejero@lifeofdr3·
@fundo_baraka all the best kwa brother , amekua anajarbu uongozi sehem nyingi hope hii italipa
Indonesia
1
0
1
178
Baraka Fundo
Baraka Fundo@fundo_baraka·
Jambo moja ni hakika kwamba huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo kirahisi. Tafuta namna yoyote upenye kwenye mfumo kwanza vinginevyo utabaki mlalamikaji tu. Mawazo na ushauri tunaoutoa hapa hautekelezeki kirahisi Kwa viongozi wetu huko chini na wajumbe. Mbinu kama hizi zimelipa Kwa wengi kuufikia mfumo na shuhuda za wazi zipo kuliko mawazo yetu. Tumtakie kheri ndugu yetu muhimu asikengeuke.
Frank Edward Arabi (FEA)@DrArabiFrank

Tunamuunga mkono Mh. Rais Dkt. @SuluhuSamia katika kuinua michezo kwa vijana. Goli la mama ni chachu ya maendeleo ya michezo. Vijana waachane na maandamano na vitendo vya uvunjifu wa amani na wawe tayari kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Indonesia
8
0
12
2.6K
DJIGUI DIARRA 🐐
DJIGUI DIARRA 🐐@1960Remija·
Miloud nilisubiri kipimo chake kwenye ya Azam, baada ya dkk 90 nikasema kama wachezaji wangekuwa makini Azam alipaswa kufa 5+, timu ilicheza kimamlaka, moja kati ya mechi nyepesi sana kwa Yanga kwenye misimu 3, bahati mbaya sana bado hajaingia kwenye mioyo ya wana Yanga wengi. 🐐
DJIGUI DIARRA 🐐 tweet media
Indonesia
52
22
776
29.2K
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyeh·
Pamoja na gharama ya elimu kua chini, Tanzania bado tunapokea international students wachache sana hapa East africa. Kila siku Nasema. Elimu yetu haiuziki popote.
Dr. Kala. MD tweet media
9
6
61
3.2K
Jimmy Tejero
Jimmy Tejero@lifeofdr3·
@chapo255 kuna ata alivokua anaelezea issue ya bifu lake na rado unaona kabisa kuna kujimwambafy flan iv...anasema alimwambia majan rado yuko nje anatak aje kuingiza verse , et majan akamjib rado ni nani..wakat previously majan tyr alishawah fanya kaz na rado kabla ya fid
Indonesia
3
0
6
1.3K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Fid Q wakati kabla ya ngoma ya ROHO na Bella, alikuwa hamjui kabisa Christian Bella, licha ya Bella kuwa na ngoma kali tangu endi za Akudo Impact! Hii itakushangaza zaidi hata mimi imenishangaza sana! Source: EFM/The Classic
Indonesia
26
34
644
29.8K