MochesterMgayanga🎯

5.5K posts

MochesterMgayanga🎯 banner
MochesterMgayanga🎯

MochesterMgayanga🎯

@lijitulimoja

Chemist 💉✍....sportsman ⚽🏆...mentary💪🏼.

Anywhere Katılım Haziran 2016
667 Takip Edilen270 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
MochesterMgayanga🎯
MochesterMgayanga🎯@lijitulimoja·
AMRI ZA MUNGU. 1. Ndimi Bwana Mungu wako, usiabudu Miungu wengine. 2. Usilitaje bure jina la Mungu wako. 3. Shika kitakatifu siku ya Mungu. 4. Waheshimu Baba na Mama 5. Usiue. 6. Usizini. 7. Usiibe. 8. Usiseme uongo. 9. Usitamani mke wa MTU 10.Usitamani Mali ya mwingne.
Indonesia
0
0
0
438
MZUNGU PORI💪
MZUNGU PORI💪@Mzungu_pori1·
Irani walikuwa wanasema hawataki ceasefire wanataka vita iishe kabisa na watachukua uthibiti wa mlango wa hormuz, ila wamekubali ceasefira kwa wiki mbili na mlango wameufungua alafu wanasema we Won💔💔😮‍💨😮‍💨
MZUNGU PORI💪 tweet media
Indonesia
37
17
141
8.7K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Askari wa Marekani ambaye ndege yake ilipigwa na Iran kisha akaanza kutafutwa hatimaye ameokolewa. Kwenye ndege walikuwa wawili, mwenzake akapatikana Ila yeye hakuonekana. Ikabidi USA itume zaidi ya ndege 16 ili imtafute askari wake huyo mmoja tu. Hii watakuja kuitengenezea Movie
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
73
64
1.2K
31.8K
Kaji
Kaji@kaji_sijo·
@fumbokhanJr Ngoja nikitumie link WhatsApp
Indonesia
3
0
1
236
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Wakuu mnatumia App gani Kustream hizi Mechi mbona kama score 808 wameichapa Ban🙌🙌😅
Indonesia
15
9
160
15.3K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨_Wilson Nangu haimbwiii 7bu ni Mtoto Kutoka hapa hapa Tanzania 🇹🇿 but he is the best
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
14
6
564
7.6K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Salma Kikwete: Kwanini maneno ni mengi?
Filipino
152
19
194
92.6K
Neypaul🤎
Neypaul🤎@Neypaul01·
Happy new day
Neypaul🤎 tweet media
English
224
44
1.3K
65.8K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
TAARIFA KWA UMMA. Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ndugu Salum Mwalim ataongoza ujumbe wa viongozi na wanachama wa Chama hicho kwenda katika maziko ya Hayati Edwin Mtei yatakayofanyika Tengeru,Mkoani Arusha siku ya Jumamosi tarehe 23 Januari,2026. Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ya Umma -CHAUMMA .
Indonesia
46
4
68
14.8K
OscarOscar
OscarOscar@mzeewakaliua·
Goli la Senegal lilikuwa Goal halali na penalty ya Morocco, ni Penalty halali!
Indonesia
61
42
1.1K
33.4K
Moshi Jnr
Moshi Jnr@moshijnr·
💎🟢| UPDATE: ALLAN OKELLO - Klabu ya Simba SC ndio ilikuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania kutaka saini ya Allan Okello na ofa walituma Vipers SC lakini haikutosha - Yanga SC wakapeleka ofa kubwa zaidi ya mara mbili ambayo iliyopelekwa na Simba SC na Vipers SC wakakubaliwa
Moshi Jnr tweet media
Filipino
7
1
104
2.6K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Kama unamtaji mdogo Hakuna Biashara inayolipa kwa Haraka Kama Hii ya Kufyatua matofali..!!
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
21
11
180
14.3K
Young Africans SC
Young Africans SC@YoungAfricansSC·
𝐅𝐓’ | #MapinduziCupFinal 𝐀𝐙𝐀𝐌 𝐅𝐂 𝟎🆚𝟎 𝐘𝐎𝐔𝐍𝐆 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐂𝐀𝐍𝐒 𝐒𝐂 Dakika 30 za kuongeza zinafuata🔰💪🏽 #TimuYaWananchi
Young Africans SC tweet media
Indonesia
7
2
162
5.8K
Rabi Hume
Rabi Hume@rabihume·
𝐁𝐈𝐆 𝐂𝐇𝐀𝐍𝐂𝐄 - 𝐓𝐇𝐑𝐄𝐄. 📸 @rabihume
Rabi Hume tweet mediaRabi Hume tweet mediaRabi Hume tweet mediaRabi Hume tweet media
English
7
7
353
11.4K
Mwigulu Nchemba, PhD
Mwigulu Nchemba, PhD@mwigulunchemba1·
Tukutane kesho asubuhi saa 1 kumpokea Mama yetu kipenzi Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa CCM LULUMBA KIOMBOI.
Mwigulu Nchemba, PhD tweet media
Indonesia
22
13
95
7.1K