Nicoz
376 posts

Nicoz
@mabacoz
Engineering Surveyor, GIS Data Analyst

@k_mjege @MarekaMalili Life sometimes haiko Fair kipindi nasumbuka na anatomy and physiology kuba Rafiki Yangu mmoja alitafuta mtaji akaanza kununua ng'ombe anaenda kuuza Kenya Leo hii ni tajiri sana nikikutana naona aibu yaani shule ilikula muda wangu bure.....


Hivi muda wa maombi ya jeshi ushaisha? Nataka niombe niende pia

Kusema ukweli siyo aibu, aibu ni kuishi maisha ya kukopa ili uonekane unacho.

“Na Mistari Mikali hadi George anarudi Bush/ Hakuna utata, Mbaratata nasimama mpaka BASATA/ Vaa Gucci Vaa Supra nafunga kupiga Supa.” Au sio Blaza😂😂

Uzembe kidogo unaweza kukufanya umeze dawa maisha Yako yote.

Skin 🍫 dayuuum 🙊😂




Chifu Mkwawa, Kinjikitile, Lumumba, Steven Biko, Masheli & Dedani kimathi wanaweza tambulika kama magaidi na raia wanaoishi Afrika karne ya 21. Nkurumah, Nyerere, Castro, Lenin wangekua na kesi ya kufadhili na kutoa mafunzo kwa vikundi vya kigaidi.










