Opobo

1.6K posts

Opobo

Opobo

@Dave_OG77

SUA almun..⚡ L.H.D..

Katılım Ekim 2021
251 Takip Edilen99 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Opobo
Opobo@Dave_OG77·
+1 Wishing myself Happy birthday🩷🌹 Furaha iandamane nami kila wakati🙏🏼, sio leo tu, bali kila siku ya maisha yangu🙏🏼AMEN😊.
Opobo tweet media
Filipino
6
1
10
886
Opobo
Opobo@Dave_OG77·
@mzawaMUFC @This_is_B3 @Wakanda_republi Watu wabishi tu ila chama katuachia memories ambazo itachukua muda sana kuzisahau.. Vs Nkana🙌🏻 Vs As vita hii ndo sitasahau kabisa
Indonesia
1
0
1
26
samwel Rashid
samwel Rashid@Wakanda_republi·
Unaongelea Personal achievement basi tubaki hapa. Okwi na CCC wamelingana kwenye MVP CCC anakupa burudani kumuangalia Okwi anakupa guarante ya kustep up every time any moment. Plus top scorer with 20 goals Okwi LIGI KUU ana 70+ goals Chama is so good ila Emo Sting noma
BracuszCadabra@BracuszCadabra

✍🏽Tactical mistake kuwafananisha Forward na Attacking midfielder Kwa Vyovyote huu mjadala unaangukia kwenye mafanikio na individual achievement sababu zinazompa ushindi mweupe sana CCC Uzuri nimewaona wote at their prime binafsi Mwamba CCC anakaa juu ya Okwi

Filipino
3
0
10
2.8K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Mabasi kuto kuingia kila stend kuna vituo watu hivyo wajiandae kisaikolojia gari nyingi zitanyoosha. Mfano kituo cha Mabasi Kibaha na ndugu zangu wa Makambako nao wajiandae. Kwengine wapi unaona kabisa gari ilikuwa ikiingia inapoteza muda tu.
Indonesia
37
24
338
14K
Opobo
Opobo@Dave_OG77·
@BrilliantFly9 @Adventure_36 Lamadi utasimama tu utake usitake pale abiria wengi sna wanaotoka Bariadi wanasubiri gari zinazotoka musoma kwenda Mwanza au zinazotoka Mwanza waende Musoma/Tarime.. ukiunga pale labda uwe full
Indonesia
0
0
1
19
Moubata 🐞
Moubata 🐞@Ornithodoros_·
@Adventure_36 Yani hiko kitu nadhani haiwezekani gari itoke mbeya au gari imetoka Dodoma kwenda Mwanza halafu isipite stand singida haitawezekana mana hata kama haina hao abiria wa kushuka singida ila kutakua na abiria wa kupandia kuanzia singida na hapo ukumbuke kuna ofisi na ajent kila stend
Indonesia
4
2
16
2.3K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kuanzia sasa sio lazima mabasi ya mikoani kuingia kila stend kama ilivyo awali, chuma imetoka Mbeya inakuja Dar pale Igumbilo Iringa hakuna abiria wa kushuka na gari iko full inaanyoosha tu Na mizani itakuwa inaingia mwanzo wa safari na mwisho wa safari. Hapo mnasemaje wakuu
Indonesia
51
46
675
23.2K
Opobo
Opobo@Dave_OG77·
@BracuszCadabra Me kumbe nina macho ya mpira.. maana jana baada ya Mudathir na Damaro kutoka.. game ikawa nyeupe kwa simba duke hamna alichofanya alivoingia.. Maema na Inno waka outshine midfielder wa yanga kabisa
Filipino
1
0
1
116
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🔰 Nawaelewa Wanaosema Damaro Camara anafika sana maungoni anafinya sana kasi ya wapinzani Imewapeleka mbali na kusema ni average player hatukuapaswa kumpa NIDA ya biskuti Niwaambie tu He is the best DM you have kwenye hiyo squad Duke is an totally average with consistency
BracuszCadabra tweet media
Indonesia
38
7
170
8.3K
Opobo
Opobo@Dave_OG77·
@de_santo92334 @MarekaMalili Kuna mwanangu mmoja ye anapiga bei ile ile ya zamani 1000, 2000 fresh hakai kijiweni... ikifika saa 2 usiku anakwambia asee nazima simu naenda kulala.. anakula vichwa balaa
Indonesia
0
0
0
32
Elnino De Santo
Elnino De Santo@de_santo92334·
@MarekaMalili Ningekua boda ningepiga sana hela kipindi hiki..Bajeti ya mafuta ya boda wengi imeongezeka kama 3000 kwa siku hivyo ningebaki na bei yangu ya zamani bila shaka ningepata wateja wengi wapya.Kama unataka kuanza boda boda hiki ndio kipindi sahihi cha kuingia haraka kwenye mfumo.
Indonesia
4
1
6
1.8K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Boda na Bajaji walipandisha bei wamerudi default setting 🙌🏼🤣
Indonesia
45
56
1K
47.8K
☠️Conor04
☠️Conor04@__nyuse·
@BracuszCadabra Kuna Media flani, wachambuzi wake walisema Toure ana makosa mengi sana ila yanafichwa na Rushine 😀
Indonesia
3
0
3
348
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🟩"As it stands hizo tweets za kunipika zime expire tuanze kubuni mpya kwa ajili ya tarehe 03"
Filipino
9
3
94
2.7K
Opobo
Opobo@Dave_OG77·
@mabacoz @EddoLalika 🤣🤣🙌🏻2017 hapo 824kj tunaambiwa banana demu anakukalia na hamna kitu una sense kmmk🙌🏻🤣 khaaa
Filipino
1
0
0
66
Nicoz
Nicoz@mabacoz·
@EddoLalika Oya 824KJ kulikua kuna session ya kupeana joto, "Haya laleni kumbatianeni" Hiyo siku demu ananishikisha manyonyo yake lakini wapi kmmk😂😂😂
Indonesia
3
0
2
678
Opobo
Opobo@Dave_OG77·
@ArseneFanuel @EsirEid @AlexNyat0 kaka hakikisha unafanya upembuzi yakinifu kabla ya ndoa🤣🤣😆 utakuja kupata suez canal utulaumu ndugu zako
Indonesia
1
0
1
28
Fanuel Arsene
Fanuel Arsene@ArseneFanuel·
@EsirEid Assume ndio amekwambia hakupi mpk mfunge ndoa na ukakubali..then baada ya ndoa ndio unakutana na iyo Stait of Hormuz 😅😅😅
Fanuel Arsene tweet media
Indonesia
3
1
7
513
Dicksone John
Dicksone John@john_dicksone·
@Adventure_36 Kaka tulia kwanza 70k ? Tumia logic ya kawaida tu , gari za tax mtandao % kubwa ni mbovu na chakavu , wengi wanatembelea spare tairi , kumwaga oil tu ni ugomvi , kila siku wanasumbuana na matajiri kwa kushindwa mikataba ..
Filipino
2
0
9
1.1K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Huyu dada ameonekana UTV NEWS apo, amemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2020 akawa winga kariakoo apo. Saiv anaendesha gari za tax mtandao, kwa siku hakosi 70k na maisha yanaenda vizuri tu. Aisee
Adventure-360 tweet media
Filipino
14
24
412
24K
Opobo
Opobo@Dave_OG77·
@Celsius015 @JayRogath 😂😂15k sio ngalangala unapanda Champion express chuma piru kabisa
Filipino
1
0
1
104
Celsius Ulanda
Celsius Ulanda@Celsius015·
@JayRogath Toka hapo nenda mpaka mwanza kwa 78k... ukifika mwanza panda ngalangala za ef 15 safar imetimia acha kulialia
Indonesia
3
0
2
1.9K
Rogath jr
Rogath jr@JayRogath·
Hii Nchi kila mtu ni Kambale yani Latra hajatoa tamko la mabadiriko ya nauli ila wenye mabus sahivi wameshapandisha nauli tayari Sahivi Dar-Musoma imefika 105k kutoka 85k 🚮🚮🚮
Indonesia
31
28
272
50.6K
MJOMBA NI MAMA 🦘
MJOMBA NI MAMA 🦘@mjomba__nimama·
Kioo cha simu kimepasuka? 😌 Niambie model ya simu yako sasa hivi, nikupatie bei ya offer ya Pasaka leo tu!
MJOMBA NI MAMA 🦘 tweet mediaMJOMBA NI MAMA 🦘 tweet media
Indonesia
240
49
363
31.5K
Botafogo👑
Botafogo👑@IWillLive_X·
Kuanzia sasa Mpanzu tunamlinda kwa Wivu mkubwa mnooo, hatutaki Tena ushauri juu yake 🙌 Wanamuita kibisawala Ma Assist 😂
Botafogo👑 tweet media
Indonesia
9
27
456
5.2K
richardfutbal
richardfutbal@richardfutbal·
Kwani Sheria za Offside zinasemaje 🙆🏽‍♂️😅
richardfutbal tweet media
Polski
14
0
204
10.7K
Opobo
Opobo@Dave_OG77·
@Adventure_36 🤣🤣🤣oyaaah hii isikie tu🙌🏻
Indonesia
0
0
1
1.5K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Mwaka 2011 tulienda beach ya Mikadi kipindi hiko ya moto sana. Jamaa demu wake birthday anafanyia kule kipindi hiko mambo ya camp camp mnasombana kibao kufika kule wahuni wengi mno. Jamaa alibeba Keki alinunua kongowe Mbagala palikuwa na ki supermarket fulani hivi karibu na
Indonesia
28
37
404
34.7K
richardfutbal
richardfutbal@richardfutbal·
Singida walitaka kulokota Penalty!!!! 🥶😅
richardfutbal tweet media
Filipino
4
0
67
3K
Opobo
Opobo@Dave_OG77·
@mzawaMUFC 2023 nlinunua Note 20 ultra.. hadi sasa ninayo kwa kweli simu za wanangu kama 5 nliwaagizia hapo.hapo hasa s10 na note 10+ ziko sawa kabisa..
Filipino
1
0
27
3.9K
NGOJWIKE SnR
NGOJWIKE SnR@mzawaMUFC·
Nani amewahi kununua simu kutoka kwa ZAHORO MATELEPHONE, naombeni experience yenu.
Filipino
39
11
420
43.8K
M Ę C K I Ę 
M Ę C K I Ę @mee_nicodemus·
Mna uhakika waarabu wanacheza boli au wanasoma dua wakuu…….👀
Indonesia
4
6
91
3.6K
Opobo
Opobo@Dave_OG77·
@iamFallacy 🤣🤣🤣Na kufuta hawezi 🙌🏻
Indonesia
0
0
1
128
♟️
♟️@iamFallacy·
Ile story ya kienyeji kukupost facebook ni real wasee💔
Indonesia
6
4
70
2.7K