Baba Eddie

4.7K posts

Baba Eddie banner
Baba Eddie

Baba Eddie

@mashamba_d

Media personality, Entrepreneur, Farmer @esokonitz, #Simba #ManU R.I.P MAMA💔

Tanzania Katılım Ağustos 2019
371 Takip Edilen316 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Baba Eddie
Baba Eddie@mashamba_d·
UZI,, UFAFANUZI: MATUMIZI YA VFD (kutoa risiti za TRA kwa kutumia simu) Huu mfumo umethibitishwa na unafanya kazi chini ya mamlaka ya mapato Tanzania TRA hivyo kila kinachofanyika kwenye EFD ndio kile kile kinachofanyika kwenye VFD ila VFD ni ya kisasa na digital
Baba Eddie tweet media
HT
2
3
23
0
Baba Eddie
Baba Eddie@mashamba_d·
@Adv_innocent Ukibahatika kupata mtu sahihi moyo wako ukakubali na huyo akakubali oa kwa umri wowote ule kuanzia 20's ila kama haujapata tulia kula uzee kwa furaha baada ya kusomesha ni raha kuliko kula ujana ukiwa hujui feature yako. Sijawa mzee ila wazee wamenishauri.
Indonesia
1
0
9
982
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Leo nlifanikiwa kukutana na mke wa pasta nikiwa kwenye kufanya interview kama sehemu ya research yangu, akaniona na pete hizi za kununua akajua ni ya ndoa! Akaniuliza umeoa kijana nikasema bado, akasema nikajua umeoa maaana nimeona pete, akaendelea kuniambia usije ukaoa mapema enjoy life ukiwa kijana 35 utaoa! Nikamuuliza kwanini,,, akanijibu aliyetangulia usimbishie ubovu wa njia...nikasema ahsante nikaondoka.
Indonesia
20
56
312
20.6K
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Sababu Gani inakufanya usumiliki TV kama hii??
Bony 📚 tweet media
Indonesia
14
11
92
7.4K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Ukienda Club ambayo wanasubiri Hadi saa nane-Tisa huko ndio waanze kupiga ngoma za maaana…Amapiano na latest Songs… Jua tu hakuna kitu humo 😅 vibaka,machokoraa na Milaya yenye Gono Sugu wachafu ndio wamejaa huko… Club za watu wanaojielewa kuanzia saa tatu tu … wanaanza kukiwasha!
Indonesia
17
29
340
21.1K
Hika Lyimo
Hika Lyimo@iamthatfemale·
TBT 😅🤭 🔙
Hika Lyimo tweet media
52
19
268
16.2K
Baba Eddie
Baba Eddie@mashamba_d·
@Innocen89950594 😀😀😀😀😀😀😃😃😃 mwanetu unapenda kujiamulia mambo
Indonesia
0
0
2
617
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Anauliza Mpeni Majibu😂😂😂😂😂😂😂😂
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
35
2
138
16.6K
Jay~Umeme⚡
Jay~Umeme⚡@JayUmeme·
@iamthatfemale Sema mpenzi wangu we ni mzuri sana, hakika nina mwanamke chuma kweli, Nakupenda ❤️
Filipino
4
0
2
491
Conc.H2SO4
Conc.H2SO4@Sulphuric_aci17·
Who always forces this guy to play ? I guess he is not ready but is forced
Conc.H2SO4 tweet media
English
13
6
86
2.7K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Zamani nilikuwa najuaga Wamburu ni wanawake tu😂😂
Indonesia
39
40
644
29.7K
Jeany
Jeany@jeju_julius·
@EngMapundajr @kasesco_tz Nyie wakaka sijui wababa mnaoendesha magari ya Subaru, crown, forester Hapana kweli nawaogopa Kama ukoma
Indonesia
4
1
2
332
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Subaru is not for Everybody ....😁❤️🔥🙌🏿
Eng.Mapunda Jr tweet mediaEng.Mapunda Jr tweet media
English
43
24
265
14.6K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Nimemuuliza mwanangu VINA anamiliki Crown na anauzoefu wa safari za mbeya-Dar na CROWN yake. Ameniambia kwenda MBEYA alikuwa anatumia 350K maximum hiyoya mafuta tuu, saizi kwa hizi bei mpya atahitaji 500K+ afike MBEYA. My TAKE. Oya hili gape la 150K wazee ni mziki. Hao wafanyabiashara za MABASI ya mikoani wanawezaje hii biashara mamae? Bado kuna wapumbavu wachache wamebebesha vitambi matumbo kama mimba za PANYA huko maofisini wanapangia watu wasipandishe bei za nauli. Li nchi limeozeana kila kona kama TAKAPELA.
Filipino
20
92
1.4K
94.9K
Bigbet_tz
Bigbet_tz@Bigbettz·
@SportsarenatzTz Faini milion 1 watabadilisha sana, weka fine kuanzia milion 50 mpka 100 ukae pembenj
Indonesia
8
0
21
4.2K
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
💬 Edo Kumwembe: “Yanga walizua kituko cha mwaka kwa kwenda kubadilishia nguo zao katika nyumba ya mtu. Umewahi kuisikia duniani hii? Zamani mechi za uswahilini zilikuwa hizi. Mechi za mtaani. Mnakutana kwa tajiri yenu kwenda kubadilisha nguo. Yanga waliamua kwenda kubadilishia nguo huko. Wakati wa mapumziko wakaenda huko. Mpira ulipoisha wakaondokea huko. Wanajua haifai. Wanajua wataadhibiwa. Lakini nani anajali?
SportsArenaTz tweet mediaSportsArenaTz tweet media
Indonesia
34
36
875
48.8K
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Mark X is better than CROWN.!!
English
33
12
197
49.4K
Sarah
Sarah@sarah1_tz·
Watu wanavyoshangilia muungano kama wamechukua la caf sijui wakichukua ligi si wataandamana😀😀
Sarah tweet media
Indonesia
27
14
134
2.6K
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
YANGA Ikifungwa Leo Nachoma Moto PIKIPIKI yangu.🤔
Indonesia
54
35
206
11.2K