Man @Phd

5.5K posts

Man @Phd

Man @Phd

@meni_md

MD Man💫

Katılım Nisan 2022
602 Takip Edilen125 Takipçiler
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Bongo ndio nchi nyepesi sana kuanza upya maisha. Ukitoka Dar, ukaenda Wilaya mojawapo ya Morogoro, unaenda kuanza maisha upya bila mtu kukujua na matendo yako umewahi kufanya 😆
Indonesia
58
91
1.1K
76.5K
Man @Phd
Man @Phd@meni_md·
@Thommunkondya Unadhani kakurupuka? Watz siyo wajinga wanajua mmeomba Pooo kupitia Kwa msajili baada ya JH na GJL na Wengine CDM kurudi uwanjani sasa mnaanza kutoa milio mnamwambia msajili fura hii mashine! Hii nchi hakuna siasa
Indonesia
0
0
0
18
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
@meni_md Sema msajili vya vyama vya siasa sijui ana operate vipi 😀😀 binafsi siungi mkono juhudi zake
Indonesia
1
0
0
42
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Siasa za sasa zimejaa propaganda, uzushi na malumbano yasiyo ya hoja. Hali hii imewagawa vijana katika makundi mawili; wenye matumaini ya uongo na wanaolalamikia kila kitu. Mwisho wake tunashindwa kuona fursa zilizopo nchini. Kila kijana anatakiwa kutumia akili na utashi wake binafsi kuchambua anachoona au kusikia. Tuwe na fikra za kitaalamu, sio kila tunaoimba nao au kulia nao tupo pamoja.
Filipino
36
3
27
3.6K
Man @Phd
Man @Phd@meni_md·
@Joy_Mbura @Joy_Mbura ninaweza kufanya Nini ili niwe na wew? Kama inawezekana niuze kiungo Cha mwili hata nikununulie V8
Indonesia
0
0
0
51
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
MTIKISIKO Zaidi ya Wanachama 300+ wa Chadema wakiongozwa na Viongozi wa Jimbo la Bukene wamejiondoa Chadema! na Kujiunga Chaumma ✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿! CHAUMMA tunajenga taasisi imara yenye kuwakilisha umma katika vyombo vya maamuzi…. Siasa zilizobalehe ziko Chaumma
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
Indonesia
72
7
34
8K
Man @Phd
Man @Phd@meni_md·
@Thommunkondya Toka mjue kuwa hata mkigombea mnapata ubunge kupitia Wizi mmekuwa na kibri Kwa jamii! Hivi kuna mtu timamu hajui namna mambo yalivyo Kwa ground? Siku hizi hamchaguliwi kuwa wabunge mnapewa ubunge
Indonesia
0
0
0
20
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Mtoto wa shule ya msingi huyu UVCCM gani.? Makamu hizi propaganda achia vijana bhana wewe sio wakupost mambo ya kizushi kama haya. Mtaongoza nchi kweli nyie kama hadi propaganda cheap kama hizi mnafanya.? Acha na haya ya kitoto bhana fikiria kujenga kiwanda cha parachichi utoe ajira bhana.
John Heche@HecheJohn

Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso. Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo… Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu. Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee.. Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza. Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm. Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale. Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo. Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara.. Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!! Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.. Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.

Indonesia
47
4
14
6.3K
Man @Phd
Man @Phd@meni_md·
@Thommunkondya Hili neno "Comred" linatumika hata pasipotumika yaani hivi vitoto vya juzi ndo unaviita Comred? Ndugu Mbunge ambae kura za Wizi hazikufanikiwa ndo unaita hivi vitoto Comred? Unakosea sana hiyo title
Indonesia
0
0
0
40
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Jioni hii nimefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam, Comrade Shangwe, tukijadili masuala mbalimbali ya UVCCM (Seneti) pamoja na kufanya tathmini ya kongamano la CHASO lililofanyika leo. Amenieleza kuwa hali ni nzuri vyuo vingi vya Dar es Salaam vinaongozwa na viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka UVCCM, na juhudi zinaendelea kuhakikisha wanavyuo wengi zaidi wanaendelea kuunga mkono Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aidha, katika mkutano wa CHASO wa leo, sehemu kubwa ya washiriki walikuwa vijana wetu waliokwenda kufuatilia na kuelewa kinachoendelea. Kwa upande wa Songwe, kama Mwenyekiti wa Seneti, hali ni imara sana idadi kubwa ya vijana wa vyuo na wasomi wanaendelea kuunga mkono siasa, itikadi na sera za CCM. VIVA Vijana VIVA 💪🏿 #UVCCM #CCM #Vijana #Uongozi
Indonesia
77
6
55
18.8K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Watu 500 unaweza ukawaona ni wachache na wasikushtue sana, ni kwasababu tu wako scattered!! Huku, 20, Kule, 80 hapa 90 etc. Ngoja nikuwekee kwa pamoja uone then uifeel impact yake!! Shule 🏫 yenye form 1-6 Chukulia kila darasa lina wanafunzi 25 na kila darasa lina mikondo 3 A,B,C. Form 1 - 6 kutakuwa na wanafunzi 450. Ukiongeza na walimu & staffs 50 =500 total. JAMAA WAMEUA SHULE NZIMA!!
Filipino
65
198
1.5K
45.9K
Rugemeleza Nshala
Rugemeleza Nshala@rugemeleza·
Air Tanzania mmepoteza sanduku langu. Jana usiku nimesafiri na Air Tanzania Ndege Bamba 125 kutoka Kilimanjaro muja Dar es Salaam. Ajabu yake ni sanduku langu ndilo halikufika. Lolote litakalofanywa kwenye sanduku hilo utakuwa ni wajibu wa Air Tanzania.
Indonesia
58
246
1.2K
32.1K
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Leo tumekaa kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA na kujadili kwa kina masuala muhimu yanayohusu nchi yetu, Tanzania. Tumechambua kwa undani matukio yote tangu kuzuiwa kwa chama, yaliyojiri tarehe 29 Oktoba, hotuba ya Jaji Chande, na mengine mengi,hakuna jambo litakaloachwa bila kufanyiwa tathmini. Miongoni mwa tunayojadili: • Taarifa ya utendaji na mali za chama • Hali ya siasa nchini • Masuala ya Zanzibar • Mpango kazi pamoja na bajeti ya chama Kesho ni siku nyingine ya kazi. Mchakato unaendelea, na chama kitatoka na msimamo thabiti utakaolinda maslahi ya wananchi na tutaendelea kuwa sauti ya walio wengi.
Brenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet media
Indonesia
51
164
969
33.6K
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Namuomba Mungu sana nisife bila kushuhudia anguko la CCM 🙏
Filipino
117
374
2.2K
36K
Man @Phd
Man @Phd@meni_md·
@Thommunkondya @robkidayo_ Mlimtuma ssm mlijua atashinda uenyekiti? Sasa mmemtuma tena asukume agenda kuhusu Lisu kuridhiana? Yaani unaridhiana na watu ambao wamekuja kukupa kesi ya kunyongwa? Unakuwa huna akili
Indonesia
0
0
0
40
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
@robkidayo_ Lissu asingekuwa Mwenyekiti huyu angekuwa mwenyekiti wa chama chenu bado una hofu na utimamu wake.?😁😁
Indonesia
7
1
1
754
Man @Phd
Man @Phd@meni_md·
@TweveDevota Nchi ya Mazingaombwe hii! Yaani familia zao ziko juu ya meza zinakuka keki Kwa Raha kabisa? Shubamit
Indonesia
0
0
1
220
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Aliyeua yeye hana hatia?🥹
Indonesia
46
18
222
47.1K
Man @Phd
Man @Phd@meni_md·
@YerickoNyerereT Ona hii kitimoto ya mbinu🤣🤣🤣🤣🤣Pes za watu ukizokula utazitapika manina
Indonesia
0
0
2
430
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Ninaunga mkono ripoti hii na kutoa angalizo kwa kamati/tume ijayo ya Upelelezi. Nimeisikiliza tume ya uchunguzi wa matukio ya 29 oktoba 2025, Ni moja ya ripoti iliyoandikwa kitaalamu na kiufundi sana, Imebainisha wazi kwamba chanzo kikuu cha matukio yale ni Madai ya Katiba Mpya, Haki, na Gharama za maisha kwa ujumla. Dai hili sio geni. Pia tume emeeleza vichocheo vikuu vya vurugu kuwa ni agenda ya No reform No Election ya Chadema na Tunatiki ya CCM nk, Lakini kubwa zaidi Ripoti ya Tume imebainisha na kuthibitisha pasina shaka kwamba matukio ya Oktoba 29 yaliratibiwa, yalipangwa, yalifadhiliwa na kutekelezwa na makundi yenye mafunzo. Hivyo naomba nitoe angalizo kwa tume/kamati nyingine ya Upelelezi itakayoundwa kubaini zaidi nani hasa alihusika na alihusikaje. Tume imeshatuambia wazi kwamba chanzo ni nini na kichocheo ni nani…. Tume imeonyesha njia sasa ni kazi ya chombo kingine kitakachoshughulika na jinai. Na Yericko Nyerere
Indonesia
83
5
31
9.5K
Man @Phd
Man @Phd@meni_md·
@Tweener003 Alafu eti mtu ana pesa nyingi anaenda kuwa Mbunge? Sasa anaenda kufanya Nini? Fikiria anaenda kugombea Jimbo hata siyo kwao wala Kwa wazazi wake
Indonesia
0
0
1
120
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Hivi hawa watu wenyee hela nyingi huwa wanataka ubunge wa kazi gani ?
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
138
38
453
40.2K
Odero Odero
Odero Odero@HakiBalozi255·
Kwa nini viongozi wanasiasa na wanaharkati wameamua kwa makusudi kuvuruga na kuipa kisogo ajenda ya Msimamo wa LISSU kuhusu utayari wake wa kufanya Mazungumzo baada ya kufutiwa mashitaka dhidi yake ? @godbless_lema @HecheJohn @HildaNewton21 @IAMartin_
Indonesia
86
2
22
15.3K
Man @Phd
Man @Phd@meni_md·
@TweveDevota Kwamba tukiwaita mama ntilie watatufanya Nini? Kwamba wakiitwa mama Lishe ndo watakuwa na heshima? Hii nchi ujinga unapewa airtime na pesa za serikali kutumika Katika vitu vya hovyo
Indonesia
1
1
3
123
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Kuitwa mama ntilie kuna wavunjiaje heshima?
DevotaTweve tweet media
Indonesia
32
2
54
7.4K