Mfaume | Fikra Chanya.

5.4K posts

Mfaume | Fikra Chanya. banner
Mfaume | Fikra Chanya.

Mfaume | Fikra Chanya.

@mfaacomini

🧠 Nukuu za Maisha & Fikra Chanya 🚀Self-mastery | Kujijenga Kisaikolojia 📚 eBook: Link kwenye bio 🔥 DM kwa ushauri — 1000+ wameshajifunza

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2013
1.3K Takip Edilen1.2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Mfaume | Fikra Chanya.
Mfaume | Fikra Chanya.@mfaacomini·
Chelewa ukiwa na lengo bora kuliko kukimbia bila mwelekeo mafanikio si mbio ni mwendo wa uhakika na maamuzi sahihi.✍️
Filipino
5
36
229
5K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Watu ambao ni wagumu kushaurika 1. Anaesali kwa nabii 2.mwanamke akipenda 3. Mwanaume mwenye hela 4. Anaekaribia kutapeliwa Wengine ni Kina Nani?😂😂😂
Filipino
29
48
230
6.1K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Blaza katika maisha yako usije kujaribu Vitu viwili 1-Ndoa 2-Biashara Hivi Vitu usiviletee mzaha🫵
Indonesia
26
98
703
21.3K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Kuna umri ukifika hata mtu akuite mbuzi unaitikia tu "meee" alafu unaendelea na maisha yako
Indonesia
41
132
496
11.2K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Kadiri unavyompa Mungu nafasi moyoni mwako, ndivyo amani, hekima, na nguvu zake vinavyoanza kuonekana katika maisha yako 🤛🏼
Filipino
20
200
998
12.2K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
Daktari Wa Maabara 🔬
Kuna Umri Fulani Ukifika Hauhitaji Tena Kuwa Na Marafiki Wengi , Unachohitaji Ni Wateja , Pesa , Connection Na Kujiamini Ili Kusukuma Malengo Yako Mbele✍️. Kumekucha Family
Indonesia
7
34
159
2.6K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
SikilizaTogolani
SikilizaTogolani@SikilizaTogolan·
"Watu wengine ni kama kitenesi, kadri unavyowabamiza na kuwakita chini ndivyo wanavyokwenda juu na mbali zaidi." ~Togolani Mavura.
SikilizaTogolani tweet media
Indonesia
9
39
141
1.5K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Ukipewa kazi fanya kwa moyo na juhudi zako zote, mtaani ni pagumu sana.
Filipino
12
113
696
14K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Binadamu anaelewa lugha mbili tuu. 1.Ya upendo. 2.Ya Maumivu
Indonesia
4
31
176
3.6K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
Daktari Wa Maabara 🔬
Daktari Wa Maabara 🔬@DMaabara·
Kuna Akili Ya Kutafuta Pesa , Akili Ya Kutunza Pesa , Na Akili Ya Kuzalisha Pesa , hizo Ni Akili Tatu Tofauti , Hizi Skills Usipokuwa Kuwa Nazo Kama Kijana , Umeisha😁.
Filipino
20
152
655
12.5K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Hakuna kitu chochote kitakachowapata watu watakaokunyima msaada pindi utakapowaomba. Wajibika kwa maisha yako mwenyewe na weka tumaini lako kwa Mungu
Indonesia
9
56
238
3.5K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
Waziri Wa Wapwa Og
Waziri Wa Wapwa Og@_rwanda_adamOg·
Mambo matano ya kukaa kimya.👇👇 1. Mipango yako mikubwa 2. Mahusiano yako 3. Kipato chako 4.Shida na matatizo yako. 5. Familia yako
Filipino
13
46
137
2.2K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Kati ya mambo tunatakiwa kuomba Mungu kila siku na kuwa na consistency, ni kuwa na mahusiano bora kati ya afya ya akili, Mwili na Spiritual being. Hivi vitu kwa kiasi kikubwa vinategemeana. Kikiharibika kimoja, na vingine vinayumba. Stay safe and God bless you always 🙏🏼
Filipino
10
64
221
2.9K
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Wanangu Mungu Mkubwa Nimesota Kwa Muda Wa Miaka 6 Hatimaye Leo nimepata Post Bi Mkubwa Nimempigia Simu Analia Tu.😭
Filipino
143
128
1.4K
43K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Maisha ya Mwanaume ni kutafuta kila kitu na kila siku, ukiona mwanaume mwenzako ameanguka usimcheke, Muinue wanaume huwa hatuchekani
Filipino
19
108
454
6.5K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Ni bora kufa na mawazo yanayoishi kuliko kuishi na mawazo yaliyokufa" ~ Steve Biko
The mandevu tweet media
हिन्दी
10
77
481
6.9K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Unaweza kuwa bora zaidi katika kile unachofanya, lakini hakuna sababu ya kumdharau yeyote
Indonesia
18
69
290
4.5K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
S t e w a r d
S t e w a r d@madeinmusoma·
Kuna muda inabidi upunguze huruma uliyonayo ili uweze kukamililisha mipango yako 📌
Filipino
4
26
135
2.5K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
BRO TO BRO Jitahidi ujenge nguzo hizi za msingi katika maisha yako 1. Uwajibikaji kamili wa maisha yako 2. Uvumilivu wa kupita kwenye nyakati ngumu. 3. Heshima kwa nafsi yako na kwa wengine. 4. Uwezo wa kudhibiti tamaa na vishawishi. 5. Ujasiri wa kufanya maamuzi magumu
Indonesia
14
72
264
5.1K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
BRO TO BRO Ukweli mchungu kuhusu maisha ya mwanaume haijalishi unapitia kipindi kigumu kiasi gani na unataka kukata tamaa, Kumbuka tu kwamba hakuna anayejali. Kuwa Jasiri pambana na changamoto zako, Unachopaswa kuweka Tumaini lako kwa MUNGU, Hawezi kukuangusha bali atakuinua
Filipino
9
55
233
5.2K
Mfaume | Fikra Chanya. retweetledi
Revocatus Millambo, Ph.D.
Revocatus Millambo, Ph.D.@Millambo_·
Mambo 30 KUBADILISHA Maisha Yako Mwezi Mei 🫡 1- Mrudie Mungu 🙏 2- Kula kwa afya 3- Kunywa maji ya kutosha kila siku 4- Fanya mazoezi (angalau dakika 30) 5- Lala vizuri (6–8 hrs) 6- No soda & energy drinks 7- Acha kulilia mapenzi 8- No porn & punyeto 👇🏾
Indonesia
13
47
259
9.2K