
@pastajoshuatz @Caibunku Mkuu hapo umetoka njiani babati pamekucha hatari saivi fanya utafiti
Michael nuru
94 posts












Naanza kuamini kwamba kuna wanawake wanadawa za kuwashika wanaume wao. Kuna mwanangu mmoja amepambana na mkewake katika kuugua. Mwanamke anaumwa mara kwa mara, baada ya muda akapima HIV akakuta positive. Msela akamuachia geto na watoto, ila now wanakaa pamoja tena. MADAWA.





