Mick mollel
813 posts



@tutla7 mbona juzi kati alikuja huku kwetu kupiga show kiingilio elfu 5 akapata watu 15
Indonesia

@ClinTravellah07 @millardayo 😂 ungetulia tu bro narudia Rais wa urusi hawezi kukamatwa na yyte duniani isipokua warusi wenyewe hata akienda unguarded. Unless atekwe na watu wasiojulikana ambayo still itakua bado ni kasheshe kwa dunia nzima. Kama ulikua hujui nikujize kua hiyo mahakama ni kwa nchi masikini.
Indonesia

Rais wa Urusi Vladimir Putin, hatohudhuria mkutano wa kilele wa mataifa ya BRICS utakaofanyika Julai 6–7 nchini Brazil, kutokana na hati ya kimataifa ya kukamatwa iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) na taarifa hiyo imethibitishwa na mshauri wa sera za kigeni wa Kremlin, Yuri Ushakov, aliyesema kuwa Putin atashiriki mkutano huo kwa njia ya mtandao (video link).
Mahakama ya ICC ilitoa hati hiyo mwaka 2023 ikiwa ni mwaka mmoja baada ya Urusi kuanzisha uvamizi wake wa kijeshi dhidi ya Ukraine vilevile Putin anatuhumiwa na mahakama hiyo kwa kosa la kivita la kuwahamisha mamia ya Watoto kutoka Ukraine kwenda Urusi hata hivyo Urusi imekanusha tuhuma hizo na kueleza kuwa haitambui mamlaka ya ICC kwani haijasaini mkataba wa kuanzishwa kwa mahakama hiyo.
Licha ya msimamo huo wa Urusi, hati hiyo ya kukamatwa imekuwa kikwazo kwa Putin kuhudhuria mikutano ya kimataifa inayofanyika katika nchi wanachama wa ICC n mwaka 2023 alijiondoa kuhudhuria mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini kwa sababu hiyo hiyo.
Kwa mujibu wa Ushakov, kutoshiriki kwa Putin moja kwa moja katika mkutano wa Brazil kunatokana na changamoto fulani zinazohusiana na masharti ya ICC ambapo serikali ya Brazil haikuweza kutoa msimamo wa wazi wa kumhakikishia usalama wake endapo angesafiri hivyo kwa mara nyingine Urusi imechagua njia ya mtandao kama mbadala wa ushiriki wake.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

Unatakaga uonekana na wewe unaweza kupenya tunapo kuwa busy na mijadala ya team kubwa tulia na kateam kako ka tuition
Balyx@Balyx_
Mnasema? Anaenda? Wapi? Kufanya nini? Ili iweje? Hamna akili
Filipino

@444holywitch @444holywitch nini sababu ya hii ishu siku kama mbili mfululu nashtuka saa 8 hadi 10
Indonesia

Ratiba ya Wakeraji hadi Ligi Ianze.
Remija atakua roving
Lubasha atakua anatokea Pembeni
Madenge atakua anapiga kushoto kulia
Humphrey atakua anaenda kama Mchambuzi
Johnbest atakua anapita kati kati
Temidayo yeye atapiga namba zote
Hans Rafael atatulia Dimbani
Ali Kamwe ni muda wote
Priva atakua anakabia Juuu
Ndembo atakua Anakabia chini Uvunguni pale
Mwansansu anaenda kama Djugui Diarra
Indonesia

@micky4817 Hao watakua wanaingia kipindi cha pili kama SUPER SUBS😂
Filipino

Utapata wapi 11 Pro ya 450?
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 @Makaveli_255
Used iPhone 11 pro 256Gb-450,000 No face id 0652795468
Indonesia

@Raymond55354468 @Labella_Mafia95 ni kweli utotoni wamecheza wote na huyo mkewe
HT

@mullokozi hapa wanaume wa
1.kinyakyusa
2.kisukuma
3.kihaya
4.kichaga
nishajua majibu yao😆😆 i love the paterinial in them🤝
Indonesia























