noel96🌵
3.7K posts

noel96🌵
@noel9620
Real Madrid fan,hombre soy de Tanzania 🇹🇿🇪🇸 sneakerhead 👟,anime lover🎬 ,worst boyfriend ever 👨🤦♂️
Zanzibar South and Central Katılım Ağustos 2020
799 Takip Edilen183 Takipçiler

Uyu mchizi ni ticha wa secondari huko kwa wenzetu!
Anadunga viatu kinoma!
ad__sneaks 📸@ad__sneaks
Classroom Sneakers | Day 149 Lost & Found AJ1 High Chicago
Indonesia

@INFLUENCERjr @noel9620 Wao wamechukua zama za mawa za kale. 😂😂
Indonesia

King of Philly #MeekMill ameutaja wimbo wake wa 'Dreams and nightmares' kuwa ni moja ya wimbo bora wa Rap ambao umewahi kutoka katika muziki wa HipHop.
Kupitia mtandao wake wa (X) Meek Mill ameandika 👇
"Dreams and Nightmares ni mojawapo ya nyimbo bora zaidi za Rap kuwahi kutoka, katika maisha yangu sijaona wimbo wenye impact sawa na huo! Asante Mungu kwa kunipa wimbo wa maisha uliobadilisha energy yangu".
Wimbo huo wa ulitoka miaka 14 iliyopita na Unapatikana kwenye Album yake ya kwanza Dreams and Nightmares.
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha

Filipino

BACK BENCHA BORA za MUDA WOTE TANZANIA,
Comments shule uliyosoma unaweza ukampata schoolmate wako then mfolo nae akufolo baki.
✍🏿TAMBAZA
✍🏿PUGU
✍🏿AZANIA
✍🏿TOSAMAGANGA
✍🏿MZUMBE
✍🏿ILBORU
✍🏿MINAKI
✍🏿MILAMBO
✍🏿JITEGEMEE
✍🏿JANGWANI
✍🏿KIBAHA
✍🏿BWIRU
✍🏿KIBASILA
✍🏿KANTALAMBA
✍🏿LYAMUNGO
✍🏿KIGONSERA
✍🏿MALAGARASI
✍🏿NDANDA
✍🏿KWIRO
✍🏿RUNGWE
✍🏿IYUNGA
✍🏿KIBITI
✍🏿UMBWE
✍🏿IFUNDA
✍🏿LUGALO
✍🏿NJOMBE
✍🏿TABORA BOYS
✍🏿ENGUTOTO
✍🏿GALANOSI
✍🏿KILAKALA
✍🏿CHIDYA
✍🏿MUSOMA
✍🏿PAMBA
✍🏿SONGEA BOYS
✍🏿NSUMBA
✍🏿KARATU
✍🏿KIGURUNYEMBE
✍🏿USAGARA
✍🏿MALANGARI
✍🏿SHY BUSH
✍🏿BIHAWANA
✍🏿MAZENGO
✍🏿TARIME
✍🏿SENGEREMA
✍🏿MARA
✍🏿IHUNGO
✍🏿MWAKALELI
✍🏿GEITA
✍🏿MOSHI
✍🏿TANGA SCHOOL
✍🏿MTWARA TEC
✍🏽TUKUYU
✍🏽AIRWING
✍🏽MAKONGO


Indonesia

@noel9620 @mentor209 Ogopa kuwa muafrica alafu umemixx na arab dna 😂😂🙌🙌
Indonesia

@ravuway @mentor209 Zenji elimu hakuna kabisa kidogo mwinyi ndio anajenga mashule ili wasome ila bado muhamko bado mdogo
Filipino

@mentor209 Kazi nyingi za kipato duni, nchi zote duniani, zinafanywa na wageni.
Hafu sema kazi za vibarua sio ujenzi.
Na elimu ndogo Zenji ni form four.

@noel9620 @mentor209 Kaka pole sana😂nipo zanzibar incase of any opportunity kindly let me know🙏🏻Asante sana
English

@Adventure_36 Kama niliishabikia madrid ya 2018-2019 sembuse madrid hi laugh
Eesti

@noel9620 @mentor209 Aisee hata sijawahi jua kwanini😀😀, ni wazito kuanzia akili mpaka mwili mzee.
Indonesia










