Mtu Mwema

2.4K posts

Mtu Mwema banner
Mtu Mwema

Mtu Mwema

@mkombolewa

Central Borneo, Indonesia Katılım Mayıs 2013
655 Takip Edilen94 Takipçiler
Mtu Mwema
Mtu Mwema@mkombolewa·
@PMadeleka Huwezi shinda na ingawa sitapiga kura ila nimeamua kura ya Ubunge nipige kwa CCM,
Filipino
0
1
4
120
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Hongereni sana wananchi wa jimbo la KIVULE. Licha ya kushawishiwa kwa PESA za mgombea wa KIJANI, mmekataa HADAA hizo na kutaka KIVULE MPYA yenye BARABARA ZA LAMI ambazo mtazipata kupitia UONGOZI MPYA.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
34
8
115
9.4K
Omari Lusambi
Omari Lusambi@lusambi10467·
@zittokabwe Mh zitto anapost ujumbe, anapata like mbili tu hii inamaana gani?
Indonesia
2
0
2
174
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
DISPATCHES FROM MAJI MAJI TOUR - 7 Unshackling Our Farmers from Oppressive Taxes Namtumbo, Selous 8th July 2025 Today, I stand with you in Namtumbo to address a fundamental challenge our farmers face—the farmers who feed our nation. The Maji Maji Operation tour has revealed a harsh truth: the Chama Cha Mapinduzi (CCM) government is suffocating our farmers with unjust crop taxes. These taxes, meant to support local councils, have become tools of oppression, stripping farmers of their hard-earned income and stifling agricultural progress. Exposing Excessive Crop Taxes One of the loudest grievances we’ve heard is the CROP TAX burden, known as crop cess. CCM-led district councils are charging farmers taxes far beyond the legal limit. The Local Government Finance Act mandates that crop cess should not exceed 3% of the crop’s gross value. Yet, councils are exploiting farmers, extracting far more and plunging them into poverty. Illegal Taxation Practices Across CCM-led councils, farmers are taxed on crops weighing less than one ton, in direct violation of government directives. In Inyonga, we heard absurd stories of a Director’s TZS 300 million vehicle chasing a single sack of maize, taxed at TZS 2,000. This is not governance—it’s harassment and a misuse of public resources. Disparities That Harm Farmers In Songea, the CCM government’s bias is glaring. A 30-ton lorry full of coal minerals in Mbinga DC and Songea DC is taxed TZS 30,000, while the same weight in maize is slapped with a TZS 90,000 tax. This lopsided policy favors the affluent while crushing farmers, exposing CCM’s skewed priorities and exploitative practices. Sesame’s Untapped Potential Sesame is Tanzania’s leading agricultural foreign exchange earner, second only to tobacco in 2024, generating TZS 2.2 trillion compared to cashew nuts’ TZS 931 billion. Producing 240,000 tons, Tanzania ranks 5th globally and 2nd in Africa for sesame exports. With global production at 6 million tons, Tanzania could scale up to 1 million tons annually, earning USD 2 billion. This potential remains stifled by CCM’s policies. Crippling Sesame Taxes In Namtumbo DC, sesame farmers face taxes of up to TZS 300 per kilo—over 10% of the crop’s value, with sesame sold at TZS 2,450 per kilo this year. This violates the legal 3% cap, undermining farmers’ efforts and dimming the promise of sesame as an economic driver. CCM’s Failure to Uplift Farmers CCM’s policies are designed to keep farmers poor. Excessive taxes and levies are crushing their spirit and livelihoods. ACT Wazalendo pledges to ABOLISH crop taxes entirely and fight to eliminate the crop cess from the Local Government Finance Act. We will not rest until farmers are free from this burden. Balancing Revenue and Farmers’ Welfare We recognize that crop taxes account for 8% of local councils’ internal revenue, roughly TZS 136 billion in the 2024/2025 budget. But this revenue comes at the expense of farmers’ livelihoods. ACT Wazalendo will abolish these taxes and compensate councils for forgone revenues from the Treasury, ensuring both farmers and councils thrive. A Call to Action Namtumbo, let us unite to end CCM’s oppressive rule. By voting for change, we can build an agricultural sector that empowers farmers, not exploits them. The future is ours—OKTOBA, Linda Kura! Zitto Mwami Ruyagwa Kabwe ACT Wazalendo Namtumbo, Selous Region July 8, 2025
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet mediaZitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet mediaZitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet mediaZitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet media
English
30
7
24
33K
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Kamwe CCM haitatunga sheria bora za Uchaguzi kwani kwenye uchaguzi huru na haki CCM wataondolewa madarakani na wananchi. Ni lazima tupambane na kuzuia Bunge la chama kimoja Oktiba, #LindaKura
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet mediaZitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet mediaZitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet mediaZitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet media
215
36
237
48.2K
Mtu Mwema
Mtu Mwema@mkombolewa·
@PMadeleka Huwezi pata hata asilimia 20 ya kura za ubunge hapo unapo gombea, kwa kifupi moyoni unajua fika huwezi toboa huna huo uwezo Broo
Indonesia
0
0
0
52
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kama ndiyo MTAZUIA UCHAGUZI kwa kutumia PICHA ya PETER MADELEKA akinywa POMBE, basi MMESHINDWA kabla hata UCHAGUZI wenyewe haujafanyika.😂😂😂
Indonesia
41
3
28
7.8K
Mtu Mwema
Mtu Mwema@mkombolewa·
@PMadeleka We jamaa ukipara hara asilimia 20 ya kura zote mimi nitazini naMama yangu.
Indonesia
1
0
1
121
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Nimeambiwa eti WATAZUIA UCHAGUZI kwa kutumia PICHA hiyo 👇. Aisee, MATAPELI wameishiwa MBINU ya KUZUIA UCHAGUZI.😂😂
Peter Madeleka tweet media
Suomi
116
7
167
16.4K
Cde. Mshenga.
Cde. Mshenga.@Mshengahussein·
- Watanzania wameelewa na wamekubali Oktoba #LindaKura - Watanzania wamekataa kukata tamaa - Watanzania wamekataa kusalimu maisha yao kwa Maccm - Rikazote, Jinsi Zote wanakwenda Kulinda Kura.
Cde. Mshenga. tweet media
Indonesia
2
8
9
952
ACTWazalendo
ACTWazalendo@ACTwazalendo·
"Matukio ya utekaji wa watu; watu ambao hadi sasa hatujui waliko. Akina Mdude. Kina Soka! Yamefanya hadi watu kama Watendaji wa Vijiji, kujiona wanaweza kukamata mtuhumiwa na wakampiga mpaka akafa." KC Mstaafu @zittokabwe akilaani mauaji ya Kijana Enock Thomas akihutubia Mkutano wa Hadhara Jimbo Nkasi Kaskzini. Oktoba #LindaKura ili kudhibiti vitendo hivi vya kinyama. #MuhuniHasusiwi @ACTwazalendo
Indonesia
6
9
11
1.5K
Mtu Mwema
Mtu Mwema@mkombolewa·
@PMadeleka Huyu jamaa niliwahi muweka miongoni mwa watu smart sana ila asieee kumbe sio kabisa
Indonesia
0
0
0
17
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Ili BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liweze KUJIONGEZEA muda wa MAISHA yake, ni LAZIMA nchi iwe kwenye VITA kwa mujibu wa ibara ya 42(4) ya KATIBA ya Tanzania. Mwenye MAMLAKA ya kutangaza VITA, kwa mujibu wa ibara ya 44(1) , ni RAIS. Je, BUNGE litajiongezea MUDA?😂
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
104
32
613
72.9K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kwa mujibu wa ibara ya 90(1)(d) ya KATIBA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkuu wa Mkoa wa KIGOMA, Balozi SIMON SIRRO ni Mjumbe wa Kamati ya SIASA ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa KIGOMA.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
38
5
210
17.1K
Mtu Mwema
Mtu Mwema@mkombolewa·
@MwanzoTv Where is Drama? Wakenya mna ujinga mwingi sana
Indonesia
1
0
1
56
MwanzoTV
MwanzoTV@MwanzoTv·
DRAMA IN KENYA AS TREASURY PRESENTS KSH 4.2 TRILLION BUDGET FOR 2025/2026 FISCAL YEAR The national government has unveiled a Ksh.4.29 trillion budget for the 2025/26 financial year, with education, national security, and infrastructure emerging as the biggest beneficiaries. MORE: youtu.be/_EOh8Zk-xiE
YouTube video
YouTube
English
2
3
8
4.3K
Msemaji Mkuu wa Serikali
Msemaji Mkuu wa Serikali@TZMsemajiMkuu·
Mhe. Rais , Dkt. Samia akishiriki sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi
Indonesia
8
1
3
951
Dr. Chris Cyrilo
Dr. Chris Cyrilo@DrCyrilo·
Siku Chache baada ya Ponda kujiunga @ACTwazalendo Kama Uislamu ni dini ya haki, Je! Ni sawa Muislamu kushiriki uchaguzi usio wa haki? Je! Sheikh Ponda anataka kumnusuru Samia dhidi ya aibu ya Oktoba, kwa sababu ni muislamu mwenzake?
Dr. Chris Cyrilo tweet media
Indonesia
230
76
714
51.2K
Mtu Mwema
Mtu Mwema@mkombolewa·
@millardayo Bila shaka unazungumzia wale wachina wa Kariakoo
Deutsch
0
0
0
79
millardayo
millardayo@millardayo·
Makampuni Takriban 100 yenye ubia kati ya China na Tanzania yanayojihusisha katika sekta kama vile ujenzi, utengenezaji bidhaa na huduma yanatarajiwa kushiriki maonesho ya nne Ubadilishanaji uzoefu na ajira kati ya China na Tanzania yatakayofanyika tarehe 28 June Jijini Dar es salaam. Akizungumza na Waandishi wa habari Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashawa wa China nchini Tanzania Jumanne Sharobaro amesema maonesho hayo ya nne yanalenga kuboresha ushirikiano kati ya sekta binafsi za biashara za China na Tanzania katika kuhakikisha kuna maendeleo ya kina ya ajira na rasilimali Watu ambapo kupitia maonesho hayo Watanzania watapata nafasi ya kufahamu mifumo itakayowawezesha kupata ajira na kufanya kazi na Makampuni ya China kwa urahisi. “Maonesho haya ya ana kwa ana yatafanyika katika Chuo kikuu cha Dar es salaam na Makampuni ya china yatakuwa na mabanda yao ambapo Watu wanaotafuta ajira watatakiwa kufika moja kwa moja na kuwasilisha CV zao pamoja na kufanya mahojiano ya awali ana kwa ana na Makampuni na tunawahimiza Watu wote wanaotafuta ajira kujiandaa vizuri ikiwemo kuvaa kwa heshima na kuwasilisha taarifa zao kwa weledi ili kuweza kupata nafasi ya kuajiriwa” amesema Jumanne Sharobaro. Aidha mbali na kutoa ajira, Jumanne amesema maonesho hayo yanalenga kutoa mafunzo kwa kukuza taaluma na kuonesha miundo ya ufanyaji kazi kwa muda mrefu ambapo amewataka watu wote wenye sifa kuweza kuhudhuria maonesho hayo kwani maonesho hayo yatakuwa na fursa mbalimbali kwa ajili watanzania hususa ni wale wanatoaka kufanya kazi na makampuni ya China. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
265
14
315
33.9K
Associate CPA Catherine Ruge (Msubhati)
Bi Salma Sheriff ,Mkuu wa Idara Msaidizi ya Utawala, Rasilimali watu na Uendeshaj Makao makuu CHAUMMA akikabidhi sadaka ya Mbuzi kwa niaba ya Katibu Mkuu Mhe. Salum Mwalim kwa ajili ya Sikukuu ya Eid Al Adha katika Madrasa ya Shamsi Maarifa. Sadaka hiyo imepokelewa na Sheikh Said Ramadhan. #ChaumaforChange
Associate CPA Catherine Ruge (Msubhati) tweet mediaAssociate CPA Catherine Ruge (Msubhati) tweet media
Indonesia
23
4
40
6.1K
Jon Mrema
Jon Mrema@JonMrema·
@WoisoV Napinga udhalilishaji dhidi ya wanawake
Indonesia
36
0
7
6.7K
Jon Mrema
Jon Mrema@JonMrema·
Nachukua nafasi hii kulaani kwa nguvu zote matamshi ya kudhalilisha na kutweza utu wa Mwanamke uliofanywa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara ,John Heche dhidi ya Suzan Kiwanga . Matamshi haya yalilenga kiwadhalilisha Wanawake wote nchini na kwamba kama hawajapata fursa ya kusoma sana hawastahili kupewa fursa yeyote . Matamshi hayo sio tu kuwa yanadhalilisha bali ni ya Kibaguzi na yenye lengo la kuweka matabaka baina ya wanawake waliosoma na ambao hawakupata fursa ya kusoma sana . Matamshi hayo yalilenga kuwadhalilisha wanawake wote ambao hawana ajira rasmi na kuwa mama wa nyumbani hawatakiwi kuwa na haki ya kupata fursa yoyote ndani ya nchi yetu . Kauli hii inadhihirisha wazi kuwa John Heche ni mbaguzi ,mdhalilishaji na mtu asiyeheshimu wanawake na anapaswa kupingwa ,kukataliwa na kila mtu mwenye ustaarabu Duniani. Wakati Dunia inahimiza kuwezesha wanawake kupata nafasi na fursa za kiuongozi ,Heche na Chama chake wanadhalilisha wanawake kwa sababu tu walikosa fursa ya kusoma hawatakiwi kupata fursa za uongozi. Katiba ya Nchi imeweka sharti mojawapo la kuwa Mbunge ni kujua kusoma na kuandika . Mbona hajataja Wabunge wanaume ambao wameishia darasa la saba na wako Bungeni ? Mbona Chadema imewahi kuwa na wabunge wanaume walioshia darasa la saba ? Tunatoa wito kwa wanawake wote kuungana kupinga kauli hizi za kudhalilisha ,kutweza na kubagua wanawake nchini. Tunaitaka Chadema ,kama huu sio msimamo wao wajitokeze hadharani na kukanusha kumtuma John Heche kwenda kutoa matamshi hayo . Chaumma tunaamini kuwa wakinamama wengi katika taifa letu walikosa fursa za kusoma kwa sababu mbalimbali zikiwemo mila potofu na hivyo hawapaswi kuhukumiwa bali wanatakiwa kuwekewa mazingira bora ili waweze kutoa mchango wao kwa taifa na sio kudhalilishwa . Tunayasihi mashirika yanayohusika na kutetea na kulinda Haki za wanawake yajitokeze hadharani kulaani na kukemea kauli hizi na hasa katika kipindi hiki tunapojiandaa kama taifa kuhimiza wanawake kushiriki katika uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Kauli kama hizi zisipokemewa hadharani zitaendelea. Kuwafanya wanawake waogope au washindwe kushiriki kwenye uchaguzi Mkuu wakiwa wagombea au hata kuwa ma hofu ya kwenda kupiga kura . Tunamtaka John Heche aombe radhi hadharani na afute kauli zake hizo na atambue kuwa wanawake wengi katika taifa letu ni mama wa nyumbani ila ndio wametulea na kutusomesha . youtu.be/tmV8532DSUs?si…
YouTube video
YouTube
Indonesia
555
18
204
73K