LOPERAMIDE
3.1K posts

LOPERAMIDE
@mmbax12
@Manutd, @simbaSCTanzania /Therefore, since we have been justified by faith, we have peace with God through our Lord Jesus Christ. Romans 5:1/Jeremiah 29:11🩺
Arusha Tanzania Katılım Haziran 2018
330 Takip Edilen240 Takipçiler

Jina langu ni Albert Wilbroad, #1 hater wa Brazil hii World cup
English

Sad news for DR Congo. 🇨🇩
No Maxi Nzengeli in the World Cup squad.
Thoughts 💭
#AfricanFootball
#WorldCup2026

English

@Dins_254 @Ibrahkiprotich @moneyacademyKE Tanzania X iko suspended for a year now tunatumiaje X kwaio logic yako???
Español

@Ibrahkiprotich @moneyacademyKE Uskue mjinga ...being suspended hata na vpn huwezi ingia
Indonesia

Ukipita nae round kama junior anakwambia pale Taifani kwa mwezi hamnahna 7-8M na hapo mambo yakiwa mabaya😂
Ndugu zanguni, pesa ni kama mimba. Tusipoona tumbo, tutaona pua, au miguu au kutema mate😄
Muajiri mkuu anakupa 7-8M monthly then unashida vijiweni Mbagala Rangi Tatu? 😂
Muone shati zake za drafti mbili kama muuza maziwa tushakukariri hata ukiwa mbali. Hata kama hushobokei magari makubwa ndio uweke mafuta ya vibaba kwenye hiyo IST?
Hiyo Tecno Y3 badilisha cover na protector basi😂 - maokote yakutanane ndugu speahalisti
No body cares, you just lying to yourself😎
Indonesia

Ajira mpya unajua background yake? Au ndo kwakuwa Ajira Mpya?
Kibayasi FS 🇹🇿@Hon_KibayasiF
MTAMISEMI, mwambie ukweli AJIRA MPYA kuwa wakija ofisini wasicompete na Ma-Seniors. Wasiomuone Senior anapush LC 300 au Discovery wakajua ni huu mshahara wa Gvt.
Indonesia

@SamueILFC @FabrizioRomano not a single doubt, we’re doing the treble this season
English

Muonekano wa Uwanja wa Klabu yetu ambao unatarajia kujengwa katika Makao Makuu ya Young Africans SC Jangwani kwenye eneo la Uwanja wa Kaunda ukitarajiwa kubeba mashabiki 15,000 hadi 18,000.
#MkutanoMkuuYASC2023
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko



Indonesia

Hasa wamama waliozaliwa 1998 hadi 2001 ni wengi kishenzi warefu
Samz•@samz__23
Dar wamama warefu wamekua wengi kichizi, wanatokea wapi?
Indonesia

Mimi pia nashangaa kwanini ni mchana?

WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr
Hii game ya Liverpool na Aston Villa inapigwa saa 2 usiku kwa saa za uingereza. Kama unajiuliza kwanini mbona kuna jua mpaka usiku ni kwasababu wako summer. Kipindi hiki mchana huwa mrefu kuliko usiku kutokana na kuwa karibu zaidi na ncha ya kaskazini ya dunia.
Indonesia


























