Joseph Paul
995 posts


Kuna mwamba kanijia inbox analalamika eti hawa Bournemouth mbona wanawakazia hivi City wananikwaza .
Nikamjibu hivi sijui kama nitakuwa nakosea
" Bobu unakumbuka ulinitumia sms ya furaha baada ya Alex Scott kupiga kamba ya pili pale Emirates kuwafunga Arsenal ? Inawezekana hiki ni kikombe wote wanapaswa kunywa "😀😀😀
Ghafla sioni tena picha kwenye profile yake ya whatsapp . Sijui hata kosa langu lipi. Labda anasubiri kwanza dakika 90 ziishe
Indonesia
Joseph Paul retweetledi

@Jeba_OG Arsenal anatangazwa bingwa leo coz man city anatoa sale
Indonesia

@MaxTz255_ Hayo maelezo yao ni kama unasoma kiarabu anzia kulia kwenda kushoto ndo utaelewa hata mm ilibidi nilewe lkn nisilewe sana ndo nielewe
All in all vijana tunaendelea kuisha
Indonesia

@Rydx_017 @athanas_pius @Balyx_ @MissChelsea1221 @DullahTheking2 Huyu hata motoni anaishi bila shida 😂
Indonesia

@derc2323 Hapa ndo naelewa kwnn wamasai hawali samaki yan kitu look like 😂
Indonesia

🚨𝐓𝐑𝐄𝐍𝐃𝐈𝐍𝐆
Miaka 16 iliyopita msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz 🦁 aliweka bayana mahusiano ya kimapeni kati ya mwanadada Mwasiti na mtangazaji Sam Misago kupitia mitandao Yake ya Kijamii.
Kipindi hicho Diamond Platnumz ni mzee wa mipasho tu hafichi white, Alikua Kama Carry Mastory 😄 Mambo yanaenda kasi sana.😂
#MeaMswahiliTRENDING

Filipino

@mndewa_sr Kizazi cha kidijitali sio..
Mamb ya kuonekan una sim kali, nyumba kali na gari kwenye umri mdogo 💔
Indonesia



























