MBAVU NATION 😎✌🏾

9.2K posts

MBAVU NATION 😎✌🏾 banner
MBAVU NATION 😎✌🏾

MBAVU NATION 😎✌🏾

@moodytz2000

YOUNG AFRICANS 🔰 || MANCHESTER UNITED🔴 || REAL MADRID⚪ FAN KIJANA MUUZA SIMU ☎️💰 https://t.co/qlJYdaJJxX FEARLESS NIGGAH✌🏾😎

Katılım Aralık 2022
4.3K Takip Edilen2K Takipçiler
Conc.H2SO4
Conc.H2SO4@Sulphuric_aci17·
Pata picha hii ndio sub ya Yanga, we have to recruit a stronger squad like before
Conc.H2SO4 tweet media
English
11
1
76
1.1K
danyombeumo
danyombeumo@danyobryan·
Lazima ulale mishipa imesimama kiungo bamia yupo nje😅🚮
danyombeumo tweet media
2
3
31
347
MBAVU NATION 😎✌🏾
MBAVU NATION 😎✌🏾@moodytz2000·
Samsung Galaxy A56 5G 256GB RAM 8GB Clean Tsh 850,000/= +255677826721
MBAVU NATION 😎✌🏾 tweet media
Indonesia
0
0
0
12
MBAVU NATION 😎✌🏾
MBAVU NATION 😎✌🏾@moodytz2000·
Samsung Galaxy S21 Ultra 128GB RAM 12GB Clean Tsh 500,000/= +255677826721
MBAVU NATION 😎✌🏾 tweet media
Indonesia
0
0
0
5
MBAVU NATION 😎✌🏾 retweetledi
Masaki
Masaki@selemasaki·
Tusichoke ku-repost #freeninjadamour
Masaki tweet media
English
2
35
59
991
IMole
IMole@UTDIMole·
MANCHESTER UNITED 2008 UCL FINAL LINEUP. NAME THE MISSING PLAYER.
IMole tweet media
English
3.5K
182
2.7K
710.5K
MBAVU NATION 😎✌🏾 retweetledi
David de Gea
David de Gea@D_DeGea·
👹🔱
ART
2.2K
21.4K
152.1K
1.5M
MBAVU NATION 😎✌🏾 retweetledi
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Shivji: Serikali inapokosa uhalali kwa watu wake, hutumia mabavu
4
235
599
15.9K
MBAVU NATION 😎✌🏾 retweetledi
Sky Sports Premier League
Kobbie Mainoo rattles it in at the Stretford End! 💥
English
93
1.3K
11.8K
2.3M
MBAVU NATION 😎✌🏾 retweetledi
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
Shivji: Serikali inapokosa uhalali kwa watu wake, hutumia mabavu
9
97
381
14.6K
MBAVU NATION 😎✌🏾 retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso. Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo… Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu. Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee.. Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza. Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm. Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale. Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo. Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara.. Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!! Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.. Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.
Suomi
68
300
893
39.2K
MBAVU NATION 😎✌🏾 retweetledi
Self Defense DIY
Self Defense DIY@SelfDefenseDIY·
Bruce Lee Doesn’t Need AI
English
78
497
3.3K
408.2K
MBAVU NATION 😎✌🏾 retweetledi
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Mwalimu Nyerere alisema ukweli ni kama jiwe, ukiambiwa usilipige teke halafu wewe ukasema aaahhh hili ni dongo tu kisha ukalipiga teke—maumivu yatakuumbua. Tumetumia trillions kugharamia igizo la uchaguzi, leo hatuna pesa ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi.
Indonesia
11
54
199
3.8K
MBAVU NATION 😎✌🏾 retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Msikilizeni Polepole aliwaonya akina Mafwele hadi Abdul na Samia kuhusu utekaji - wakaamua wamteke! Hawa ndo wapumbavu leo wanahaha kutaka kutuliza umma! Wanatusukuma kubaya! Oktoba 29 ilijaa hasira za wananchi maana tumechoka kutekwa! Sasa wamejaa kiburi wameanza tena kuteka na kuleta ubabe! Mnachokitafuta mtakipata! Haya! And #FreePolepole nyie washenzi 🚮 #FreeAllPoliticalPrisoners
Indonesia
16
150
608
18.1K
MBAVU NATION 😎✌🏾 retweetledi
Williard
Williard@prolific_88·
Muachieni mwana huru aishi maisha yake kwanini tunakuwa hivi lakini.
Williard tweet media
Indonesia
0
66
222
2.2K
MBAVU NATION 😎✌🏾 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️HABARI MBAYA‼️ Huyu kijana anaitwa James Temba ni ndugu wa Mwanamziki wa kundi la TMK Wanaume Family wakuitwa Mhe. Temba James Temba alitekwa na watu wasiojulikana Jijini Dar es salaam siku kadhaa zilizopita jana mwili wake umeonekana ukielea mto msimbazi Tabata huku ukiwa hauna kichwa. Huyu Msanii wenu pamoja na wenzake ni Makada wa CCM, tukiwaambia tuungane pamoja kupinga maswala ya Watu kutekwa, kuuwawa na kupotezwa huwa wanajivuta nyuma kwasababu wanadhan kwamba wao na familia zao wapo salama kwasababu wapo upande wa watekaji, leo na yeye limemkuta mtu wa familia yake. Wapendwa hakuna ambae yupo salama ili wote tuwe salama inabidi kila mmoja bila kujali itikadi wala dini, tuungane kupinga vitendo vya Utakaji na yote yanayofanana na haya. Hii nchi ni yetu sote, haiwezekani kikundi cha watu wachache ndo wawe wanaamua nan aishi na nani afe, HAPANA.
Indonesia
60
203
718
46K
Mpinga Noma
Mpinga Noma@MpingaN8675·
@moodytz2000 @Sativa255 Hisia zako zinaweza kuwa halali, lakini tathmini ya “amani ya nchi” inahitaji ushahidi wa matukio na takwimu, si hisia za jumla pekee.
Indonesia
1
0
0
5