Philbert Mweyendezi Philemon
1.2K posts


@eastafricatv Kila mtanzania mwenye akili lazima awe na hofu
HT

"Kwa upande wa uhimilivu wa deni la serikali, hadi Aprili 2025 deni la serikali lilikuwa ni Trilioni 107.70 na kati ya kiasi hicho deni la nje lilikuwa shilingi Trilioni 72.94 na deni la shilingi Trilioni 34.76, na tathmini inaonesha kuwa deni letu bado ni himilivu ikiwa ni kipindi cha muda mfu, wa kati pamoja na muda mrefu," - Waziri Wa Fedha
"Viashiria vinaonesha kuwa kwa mwaka 2024/2025 tathmini ya sasa ya deni la serikali kwa pato la taifa ni asilimia 40.3 ikilinganishwa na ukomo ambao ni asilimia 55, hatupaswi kuwa na hofu kabisa kuhusu jambo hili," - Waziri wa Fedha Dkt @mwigulunchemba1
#MawasilishoBajetiKuu2025
#EastAfricaTV

Indonesia

@earadiofm @EbenyElizabeth Uyo jamaa mpumbavu sana uyo dada ana poit kabisa
Filipino

#NgengazaSiasa: @EbenyElizabeth - Katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Ilala - Tume ya uchaguzi ilipaswa kuajiri watu wake ikiwa inajitegemea bila kufungamana na upande wowote.
Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
Host: @SamsonChazz
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka #NgengazaSiasa
Indonesia

@Eric__Bernard Wakati magufuli anatoka madarakani alituqchq uchumi wa kati je bado tupo uchumi wa kati
Filipino

@earadiofm Kazi ya,mahakama ni kutenda haki kwa kutatua migogoro katika Jamie bila upendeleo kitu ambacho Tanzania hatukioni kwenye mahakama zetu
Indonesia

Leo ngoja tuulizane, hivi unafahamu kazi ya Mahakama? kama unafahamu tuandikie hapo chini kwenye comment
#Mahakama #EATV2025 #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha

Indonesia

“Tathmini inaonesha kuwa wananchi walio wengi wanaridhishwa na utendaji wa serikali katika kutekeleza programu na miradi ya maendeleo. Kwa mfano, utafiti uliofanywa na Taasisi ya Afrobarometer mwezi Juni – Julai 2024 ulionesha kuwa asilimia 71 ya wananchi waliohojiwa walisema wanaridhishwa na utendaji wa serikali, na asilimia 70 walisema nchi ipo katika mwelekeo sahihi. Hii inaonesha kuwa wananchi walio wengi wanaridhishwa na utendaji wa serikali yao” - Prof. Kitila.
Sehemu ya hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26, bungeni jijini Dodoma, Alhamisi Juni 12, 2025

Indonesia

@Labella_Mafia95 Using alikuwa mkorogo wa hamisa angefanana nao
Indonesia

#HABARI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China zimetia Saini mikataba miwili ya msaada wa jumla ya Yuan za China milioni 500, sawa na shilingi bilioni 185 kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete pamoja na kusaidia program ya ushirikiano wa kiuchumi na kitaalamu.
Mikataba hiyo imesainiwa Ofisi za Wizara ya Fedha (Treasury Square) na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian.
Akizungumza baada ya kusainiwa kwa mikataba hiyo, Dkt. Nchemba, alisema kuwa Mkataba wa kwanza ni wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Kitaalam wenye thamani ya Yuan za China milioni 200 sawa na shilingi bilioni 74.2 na Mkataba wa pili kwa ajili ya mradi wa Upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kuwa Kituo cha Umahiri cha matibabu na upasuaji wa moyo Afrika Mashariki na Kati wenye thamani ya Yuan za China milioni 300, sawa na shilingi bilioni 111.2. #EastAfricaRadio

Indonesia

@Kirikuu20 Kwaiyo ni nini maana yake kwamba uchumi upo poa au ndo bas tena
Filipino

@JamiiForums Hawa ndio walewale wanafiki katika siasa
Indonesia

DODOMA: Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Bajeti Wizara ya Uchukuzi 2025/2026, Mei 15, 2025, Mbunge Livingstone Lusinde amesema “Watu waheshimu miundombinu na utaratibu ili Taifa lisonge mbele lakini mambo madogo yasiwaumize kichwa mfano Mtu akisema No Reforms No Election, geuza kidogo na mwambie No Election No Reforms.”
Aidha, amesisitiza elimu itolewe kuhusu huduma ya usafiri wa Treni ya SGR na Treni ya Reli ya Kati kwa Wananchi ili watambue umuhimu wake na ili walinde miundombinu inayotumika
Soma jamii.app/LusindeMei15
#JamiiForums #Democracy #Kuelekea2025
Indonesia





















