Gololo

48.8K posts

Gololo banner
Gololo

Gololo

@ndandavale

Shadow Deputy Minister of Livestocks and Fisheries #ACTWazalendo ACT-Regional Chairman-Mtwara. Former Shadow Deputy Minister of Water-ACT [email protected]

Mtwara, Tanzania Katılım Eylül 2017
593 Takip Edilen1.2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Gololo
Gololo@ndandavale·
#Field Mguu kwa mguu.💜
Gololo tweet media
Filipino
1
8
14
937
Gololo retweetledi
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Bw. Isihaka Mchinjita, amesema chama hicho kinataka kuchukuliwa kwa hatua za dharura na za muda wa kati ili kuhakikisha matukio yaliyojitokeza Oktoba 2025 hayajirudii tena nchini. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Mei 4, 2026 jijini Dar es Salaam, Mchinjita amesisitiza kuwa kunahitajika nia ya dhati katika utekelezaji wa hatua hizo badala ya kile alichokiita hadaa za kisiasa na juhudi za kujenga taswira nzuri ya serikali ndani na nje ya nchi bila kushughulikia kiini cha tatizo. Amekosoa namna taarifa ya Jaji Othman Chande ilivyopokelewa, akidai kuwa wakati taarifa hiyo iliyohusisha mauaji makubwa ikiwasilishwa, baadhi ya watu walikuwa wanapiga makofi jambo alilosema linaonesha ukosefu wa uzito katika kushughulikia tatizo hilo. “Hatua za haraka tunazopendekeza ni kuanzishwa kwa uchunguzi huru wa kimataifa chini ya jumuiya kama Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika au SADC,” alisema Mchinjita. Akifafanua zaidi amesema, ushirikishwaji wa jumuiya za kimataifa hauondoi mamlaka ya nchi (sovereignty), kwani Tanzania ni mwanachama wa jumuiya hizo na imewahi kushiriki katika juhudi za kimataifa za kutatua migogoro katika nchi nyingine. Mchinjita ametolea mfano mchango wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Hayati Benjamin Mkapa ambaye alishirikiana na Kofi Annan kusuluhisha mgogoro wa Kenya baada ya machafuko ya mwaka 2007, hatua iliyosaidia nchi hiyo kupata katiba mpya na kuimarisha heshima ya haki za raia. Aidha, amebainisha kuwa hata Jaji Chande mwenyewe ni mjumbe wa tume mbalimbali za kimataifa zinazoshughulikia uchunguzi katika maeneo tofauti duniani, huku Tanzania ikiendelea kutoa mchango wake katika juhudi za amani katika nchi kama DR Congo, Kenya na Zimbabwe. Katika hatua nyingine, Mchinjita ametaka kuachiwa huru kwa watu wote wanaoshikiliwa na jeshi la polisi au wanaokabiliwa na kesi kwa sababu za kisiasa, akimtaja Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, kuwa miongoni mwao. Amesema kuendelea kushikiliwa kwa viongozi wa kisiasa kunachochea hasira miongoni mwa wananchi na kuongeza mpasuko katika taifa. “Matukio ya kisiasa yanajenga hasira na kuimarisha mgawanyiko. Kama tunataka kulitoa taifa hapa lilipo, haya ndiyo mambo yanapaswa kufanyiwa kazi,” alisisitiza.
Indonesia
2
7
24
619
Gololo retweetledi
Haki Ngowi
Haki Ngowi@Hakingowi·
📍Bungeni, Dodoma Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda akiwa pamojana mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast na Klabu ya Chelsea, Didier Drogba wakiwasili katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, tayari kwa kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2026/27, leo Mei 04, 2026
Haki Ngowi tweet media
Indonesia
2
9
33
3.1K
Gololo
Gololo@ndandavale·
"Tume ya Jaji ya Chande imeshindwa kabisa kuona kuwa vyombo vya usalama vimetumia nguvu kubwa na nguvu hiyo ndio iliyosababisha mauaji. Sasa wauaji wasipotajwa. Je! Kutakuwa ba hatua za uwajibikaji?" Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR #UkweliHakiUwajibikaji
Gololo tweet media
Indonesia
1
3
4
101
Gololo
Gololo@ndandavale·
"Kufuatia yaliyotokea Oktoba 29, tunataka Mkuu wa Majeshi, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mkuu wa Jeshi la Polisi waondolewe kazini kwa sababu wameshindwa kulinda nchi hii na watu wake." Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR #ACT2026 #UkweliHakiUwajibikaji
Gololo tweet media
Indonesia
0
1
1
11
Gololo retweetledi
Kassala
Kassala@Vicent_Kassala·
Chama kimewatambua Wabunge na Wawakilishi waliojitolea mchango wao wa kifedha kukichangia Chama.
Kassala tweet mediaKassala tweet mediaKassala tweet mediaKassala tweet media
Indonesia
0
2
2
29
Gololo retweetledi
Kassala
Kassala@Vicent_Kassala·
Kassala tweet mediaKassala tweet mediaKassala tweet mediaKassala tweet media
ZXX
1
2
3
30
Gololo retweetledi
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Leo Mei 03 2026, nimeshiriki na kuongoza nikiwa Mwenyekiti wa Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Chama chetu cha @ACTwazalendo, huko katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema, uliopo ndani ya Jengo la Maalim Seif, Makao Makuu ya ACT Wazalendo, Magomeni Jijini Dar es Salaam.
Othman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet media
Indonesia
0
4
8
410
Gololo retweetledi
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Tunachokitafuta ni kurejesha heshima ya nchi yetu.
Eesti
3
4
12
1.1K
Gololo retweetledi
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Wakuu wa Mikoa wachaguliwe na wananchi moja kwa moja, wawe na baraza lao la utendaji, RCC ziwe Bunge la Mkoa. Futa maDC. Wenyeviti wa Halmashauri au Mameya wa Manispaa/majiji wafanye majukumu ya kisiasa anayofanya DC sasa. DED afanye majukumu yote ya kitendaji ya DC na DAS
Joel Ntile@JoelNtile

@Semkae Futa wote DC na RC. Majukumu ya DC kama mhamasishaji wa maendeleo aachiwe Meya au M/Kiti wa Halmashauri. Mengine yanayohusu utawala yabaki kwa RAS na DED. Rais anazo taasisi nyingine ground ambazo ndio jicho lake.

Indonesia
29
21
138
18.2K
Gololo retweetledi
Kassala
Kassala@Vicent_Kassala·
Picha: Kamati Kuu ya @ACTwazalendo iliyofanyika leo 03 Mei, 2026 katika ukumbi wa Hakainde Hichilema, Makao Makuu ya Chama, Dar es salaam.
Kassala tweet mediaKassala tweet mediaKassala tweet mediaKassala tweet media
Indonesia
1
3
7
674