Sabitlenmiş Tweet
Ndëtengio
8.8K posts

Ndëtengio
@ndetengioJr
Father||@Arsenal FC Fanatic
Remote🌎 Katılım Ekim 2013
2.7K Takip Edilen813 Takipçiler

@iamrealpam @OleMtetezi 🖕🖕 inatosha wakali mim sijui chochote nimeandika tu mbna mnakanyagia sasa kmmke
Indonesia
Ndëtengio retweetledi

@LamelaEric008 @BingwaIK - Bei ni 60k
- Kama uko Dar es salaam ni free delivery.
- Mkoani tunatuma, usafiri utalipia 5k
Filipino

@BingwaIK - Chukua 5G Wireless Modem WiFi Pro, ambayo ina-support simcards zote.
- Speed: Ultra-fast 5G
- Network: 5G high-speed internet
-Connect: Multiple devices 6-10
- Battery: 3000mAh
English

Hapa kutoboa labda shimo
Ole Teya@TeyaKevin
AFCON 2027Q Draw Group D South Africa Guinea Kenya Eritrea
Filipino
Ndëtengio retweetledi

@INFLUENCERjr Kuna Dogo ni Gamer mzuri tu, alinihoji eti Diouf alkua anachezea timu??😀😀😀 Sasa kumbe tatizo ni umri.

Washambuliaji bora kwa miaka ya 2000’s
1. Suarez
2. Lewandowski
3. Kane
Maoni yoyote nje ya haya ni kuonesha wazi haujui mpira.
𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™@anuskills3
Kuanzia miaka ya 2000, je, kuna mshambuliaji aliyekamilika zaidi ya Harry Kane?
Indonesia

Usisafishe Pasi kwa Panadol, ni hatari kwa Afya kwani Panadol inapoyeyuka kwa moto, hutoa gesi zenye sumu kama Formaldehyde na Nitrates, ambazo zinaweza kusababisha Miwasho kwenye Macho, Koo na Ngozi, Maumivu ya Kichwa, Matatizo ya Kupumua na kwa muda mrefu, huongeza hatari ya Magonjwa Sugu kama Saratani.
Badala ya kutumia Panadol, tumia njia salama kama kuchanganya Baking soda na maji kutengeneza pasta laini, kisha ipake kwenye pasi iliyo baridi na uifute kwa kitambaa. Pia, unaweza kutumia Vinegar na Chumvi kusafisha mabaki ya uchafu kwa ufanisi.
Afya yako ni muhimu. Epuka kutumia kemikali zisizo salama kwenye vifaa vya nyumbani. Kwa usafi bora wa pasi bila madhara, chagua mbinu za asili na zilizo salama kwa mazingira na afya yako.

Indonesia
Ndëtengio retweetledi
Ndëtengio retweetledi
Ndëtengio retweetledi
Ndëtengio retweetledi


























