Neponova_nepomaticz

40 posts

Neponova_nepomaticz

Neponova_nepomaticz

@nepomaticz

hip hop,rap art, lyricist,free thinker, idealist,social activism (women and children),fashion, facilitator!!!!

MJI WA AMANI. Katılım Ocak 2022
37 Takip Edilen9 Takipçiler
Neponova_nepomaticz
Neponova_nepomaticz@nepomaticz·
@eddie_wrt this is insane...imagine the trauma of being booed and violated and still the clips are in sovial medias
English
0
0
0
63
EDHUB🌍ℹ
EDHUB🌍ℹ@eddie_wrt·
A d!sturbing video shows some male students of Kumasi Academy SHS (KUMACA) boò!ng and phys!cally àssäulting a female student while accùsing her of engaging in a s£xùal act.
English
678
288
1.5K
437K
joebuddenclips/fanpage
joebuddenclips/fanpage@Thechat101·
Joe budden makes a comparison between Drake and Guinea Official Baltasar Ebang Engonga who slept with 400 women some who where people in the government
English
73
141
1.3K
253.1K
Mwenezi🇹🇿
Mwenezi🇹🇿@mwenezi2020·
@fatma_karume Hata kama una hoja, kuishusha nchi yako kwa nchi jirani ni upuuzi uliopitiliza.
हिन्दी
3
0
2
416
fatma karume aka Shangazi
fatma karume aka Shangazi@fatma_karume·
Kwa maoni yangu: Mfumo wa Elimu wa Kenya 🇰🇪 unaEDUCATE. Mfumo wa Elimu wa Tanzania 🇹🇿 unaINDOCTRINATE.
Indonesia
53
134
787
29K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Kwakuwa ni kitu kigeni kwangu na sijawahi kufanya. Na kwa namna mtaa ulivyonipigania kuwa hai leo basi acha hili lifanyike. Nitafanya kwa kujifunza hata ikitokea mapungufu msinicheke na kunidhihaki. Nataka nifanye kwa love tu ya mtaa, na naamini wapo wavaaji wa brand ya SATIVA17. HOPE next week bidhaa zitakuwa tayari. 1. T shirt 2. Form 6 3. Prova Nadhani hizi kwa kuanza zitatosha sana. Au mnashauri vipi wanangu?
SATIVA tweet mediaSATIVA tweet media
Indonesia
85
105
741
89.4K
Hustler
Hustler@Feudal70·
@fatma_karume Tunajua umezaliwa kwenye familia iliyofanya mauaj ilimradi baba yako awe raisi,tena wewe umekil kwenye post zako Leo unajikuta eti activist, sasa tumefika patamu kujua nan activist kweli wewe umekata moto mapema Angalia wenzako wako mbali, sio wewe mwendawazimu TANGANYIKA kwanza
Indonesia
6
2
74
7.1K
fatma karume aka Shangazi
fatma karume aka Shangazi@fatma_karume·
Kumbe chawa wa CCM na nyumbu wa CDM hawana tofauti. “Different flavour equally bitter taste” Na kusema la haki hawa wa CDM ni bitter kweli kweli! Wa CCM ni boastful lakini so bitter.
Indonesia
217
24
515
101.9K
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Mwanaume anayeoa Mbulu/Mrangi hana utofauti na mtu anayelima miwa kando ya shule.
Indonesia
51
33
775
51.5K
Magokoro
Magokoro@fivara_·
Last night studio session with @nepomaticz Anasema nina U-Ngwair eti, unakubaliana nae?
8
7
31
652
Arsenal home and away spare tickets 🏟
@chapo255 Sio kweli kama jamaa hakuwa tayari kushare matatizo yake, hapa Joh anatufungua Ubongo kwamba sio mtu real. Sisi wakiume tunaangalia sana mtu wa Kushare nae matatizo yetu!Wana wengi ni Wachoraji sana! Unaweza ukajua unashare na mwana kumbe ni MANGE. Joh hakuwa sahihi kwa Nisher
Filipino
8
1
69
9.1K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
“Mara ya mwisho kuonana na Nisher ilikuwa mwanzoni mwa mwaka huu 2023, alikua DSM tuka chill Sinza… aliniomba nimpe wimbo mwengine anifanyie video, ila kwa nilivyomuona hakuwa sawa, Kila mtu anapitia changamoto, hakuna mtu kwenye hii Dunia ame relax kwa silimia 100. Ila kama mtu anapitia changamoto na hayuko tayari kushare na wewe mambo yake hata kwa uchaxhe umsaidie huwezi kuingilia” -Joh Makini
SANUKAnaCHAPO tweet media
Filipino
19
35
600
103.1K
Neponova_nepomaticz
Neponova_nepomaticz@nepomaticz·
@AnethStanley @AnnaTibaijuka Ujue tatizo ni moja tunahisi tz ni mbingu…iekwe mifumo ambayo hiyo biz itarasimishwa,ifanyike kistaarabu na kodi ziingie..lakin kuwa wanafk kujifanya tunaichukia na sisi ndo watumiaji ni kujitekenya
Indonesia
0
0
2
47
Aneth Stanley
Aneth Stanley@AnethStanley·
@AnnaTibaijuka Suala siyo kuoa,maana wako vijana ambao ni WA sekondari kabisa,nao huenda kujipatia huduma kwenye Yale maeneo, Sasa Mimi najiuliza,mimba za utotoni zitakwepeka? Vipi kuhusu ubakaji ,vipi kuhusu wale wanaonyanyaswa kwa kunyimwa unyuma na wake zao? Waende kaa Binti zao!
Indonesia
8
2
30
5.5K
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
Zoezi kuvunja madanguro DSM lina nia njema lakini mazoezi aina hiyo yaliyotangulia HAYAKUFANIKIWA Jibu sahihi kupunguza WATEJA kwa kuwawezesha kiuchumi WAOE. Wengi hawaoi kwa sababu kipato kidogo wasichana wanabaki kushindania wanaume wachache.Dhana potofu wanawake wengi inaenea
Indonesia
162
184
1.1K
170.2K
Vanessa A. Mkagilage
Vanessa A. Mkagilage@VannesserMalick·
Nmechoka kukaa kimya, Kuna muda katika Maisha unahitaji mwenza, rafiki, mshauri, mfariji.... In short Kwa aina ya Maisha yetu ya uhangaikaji.... Mpenzi ni mtu Muhimu sana wa kuwa nae. Ila kumpata sasa ndio mtihani 😂🙌
Dodoma, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
260
92
1.1K
107.7K
Neponova_nepomaticz
Neponova_nepomaticz@nepomaticz·
“Wakatamba pande zetu,for sure it’s dead”…Sonjo16:05
Indonesia
0
0
0
26
Neponova_nepomaticz
Neponova_nepomaticz@nepomaticz·
@AyTanzania Wanasema mashabiki wanachotaka heheh sasa hao mashabiki waandike barua tena wawambie wamechoka huu undusti unaoendelea😆
Indonesia
0
0
0
24
MASTA
MASTA@AyTanzania·
Inawezekana ila tatizo siku hizi mnapenda kuzungusha macho kama mnaumwa Dege Dege🤣🤣🤣 Mambo ya msingi hamtaki 😁
Chriss Junior@Junior10Chriss

@DrKessyJulius1 @JideJaydee @AyTanzania 🔥🔥🔥 Ambwene take it serious please zile moment mlitoa bomu ambaz zinaish mpk wa Leo hebu rudishen ile chemistry tupate kitu kipya

Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
19
3
47
14K
Mwanahamisi Singano
Mwanahamisi Singano@MSalimu·
@LelloMmassy @CarolNdosi Kama jamii ingeona fahari kusomesha mtoto wa kike na kutokumlundikia mikazi nyumbani labda kusingekuwa na haja ya mabweni, kama wanaume watu wazima na akili zao timamu wasingekuwa wanavizia watoto wakike wawafanyie ukatili labda kusingekuwa na haja ya kununuliana baiskeli
Indonesia
3
0
2
839
Neponova_nepomaticz
Neponova_nepomaticz@nepomaticz·
“Kanuni bora ni kujua tafsiri nyuma ya tafsiri”...Sonjo 16:05
Indonesia
0
0
0
33
Neponova_nepomaticz
Neponova_nepomaticz@nepomaticz·
@Mansa_16 @godbless_lema Hahaha nimependa...naamini yupo ndani yako/yetu...you just tafakari binafsi na makini kumpata...maana hayo maandiko waliandika watu pia so kilichoandikwa kipo ndani yako
Filipino
1
0
0
226
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Kuna mstari mwembamba sana unao tenganisha kati ya Ujinga na Imani. Someni neno la Mungu na kulitafakari. Mjueni Mungu kupitia maandiko yake. Uvivu wa kusoma na kutafakari neno la Mungu umezaa utumwa mkubwa sana kwa waumini wengi na kuwafanya baadhi ya wahubiri kuwa miungu.
Indonesia
40
42
291
25.9K
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
SIO KWELI Kuwa mbele ya muda ni “kufanya vitu ambavyo wakati wako hamna anayefanya, na kisha miaka ikapita watu wakaanza kufanya”. • Style ya Noorah sisi tumeisikia kwa Jos Mtambo, kitambo!! • AY na Stoppa wana styles nyingi kuliko yeye SASA MBELE YA MUDA UPI NA KIVIPI?!🤷🏾‍♂️
Fourteen.@AllenMushumbusi

@Wakazi Norah alikua mbele ya muda Sana tena sana, Huwezi compare na hawa wana uliocompare hapo, Flow ilkua unique sana tena kwa muda ule.

Indonesia
25
1
50
9.3K
Neponova_nepomaticz retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
#UrgentBloodAppeal 🩸 Patient: SARAH BENJAMIN Hospital: Muhimbili,Emergency Medicine Department Blood group: O- 3 Pints Contact: 0787 779102/0688 510101 #DonateBlood #SaveAlife
English
5
35
57
8.3K