Louis

16.9K posts

Louis banner
Louis

Louis

@ngaizer

What IF everything we are being told is a big LIE??.....

565V+5WW, Julius K. Nyerere Rd Katılım Ağustos 2009
1.4K Takip Edilen2K Takipçiler
Louis
Louis@ngaizer·
@Badman001_ The government should have anticipated this and take all precautionary measures
English
0
0
1
75
Stori za Pombe 👽
Stori za Pombe 👽@storizapombe·
SERIKALI YAHAKIKISHA AKIBA YA MAFUTA MIEZI MITATU! Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha uongozi thabiti katika kukabiliana na changamoto za kiuchumi na kimataifa, hasa katika sekta ya nishati. Licha ya athari za vita vinavyoendelea kati ya Marekani, Israel, na Iran, Serikali ya Tanzania imehakikisha kuwa upatikanaji wa mafuta hauathiriki, na hakuna uhaba wa nishati. Mikakati ya Dkt. Samia ya kukuza usalama wa nishati, pamoja na hatua za kudhibiti bei, zimewezesha bei za mafuta nchini kubaki chini ikilinganishwa na nchi nyingine za Africa Mashariki. Ni ishara ya ustadi wa uongozi wa Rais Samia katika kuimarisha uchumi, kuongeza uthabiti wa nishati, na kuhakikisha kwamba wananchi wanapata huduma muhimu kwa bei nafuu, licha ya hali tete ya soko la dunia.
Stori za Pombe 👽 tweet media
Indonesia
4
11
8
199
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
TRA WAPAMBANA NA AGIZO LA SAMIA ✅Ni lakulinda wananchi dhidi ya msukosuko wa mafuta duniani. ✅Waja na utaratibu mpya wa kuwahisha huduma na kazi saa 24. ✅Ni baada ya kuhakikishiwa uwepo wa mafuta kwa miezi mitatu.
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
5
16
15
509
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
RELI YA SGR SASA KUFIKA BURUNDI NA DRC Tanzania, DRC na Burundi zimekubaliana kuanza ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) ya zaidi ya km 900 ili kuunganisha nchi hizo na kurahisisha biashara na usafiri. Makubaliano yalifikiwa Machi 31, 2026 mjini Kinshasa, na mradi utahusisha njia kutoka Gitega–Bujumbura hadi Kindu. Unatarajiwa kupunguza gharama za usafirishaji, kuongeza biashara, na kuunganisha nchi zisizo na bahari na Bandari ya Dar es Salaam. Maandalizi yanaendelea, huku utekelezaji rasmi ukipangwa kuanza Januari 2027.
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
5
19
18
537
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Serikali Yajenga KM 15,768 za Barabara za Lami 2025/2026 Hadi sasa katika mwaka wa fedha 2025/2026, Tanzania ina takriban kilometa 15,768 za barabara za lami. Lengo la Serikali ni kuendelea kuongeza kasi ya ujenzi ili kufikia lengo la Ilani ya CCM ya kuwa na zaidi ya kilometa 18,000 ifikapo mwisho wa mwaka 2026/2027.
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
1
16
14
319
Kilo-Volt
Kilo-Volt@Kil0voltI·
Una safari ndefu (3000+ kms). Pick a ride. VW Amarok Mercedes Benz X Ford Ranger Wildtrak Ford Raptor Isuzu D Max Toyota Hilux GD 2.8 Nissan Navara Mitsubishi L200 Toyota Land cruiser LX V6 @EngJubel @iamdeidei_05
Deutsch
25
11
34
2.9K
Louis
Louis@ngaizer·
@_zack255 🤣🤣🤣🤣🤣 uongooooo
Filipino
0
0
0
57
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
TAZAMA KWENYE JEDWALI UNAFUU WA BEI YA MAFUTA TANZANIA NA NCHI NYINGINE Ukilinganisha bei ya mafuta ya Petrol na Dizeli kati ya Tanzania na nchi nyingine utaona Tanzania kuna nafuu kubwa.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Filipino
44
20
25
3.6K
Louis
Louis@ngaizer·
Tukutane mwezi ujao 🤣
Louis tweet media
0
0
0
8
Louis
Louis@ngaizer·
@Rasheed_Atm Kujenga oil refinery moja ni wastani wa 10-15 billion dollars
Polski
1
0
1
329
RASHIDI ADINANI
RASHIDI ADINANI@Rasheed_Atm·
Eti Wasomi njaa, Dangote anawezaje kuwa na Pesa ya kufungua Refinery halafu Serikali ishindwe??? Mafuta yanatoka hapo Uganda tunayapeleka Ulaya kisha ndio tuyanunue tena jamaa Hatuna wasomi Bakhesa hakusoma ila yuko mbali mara Elfu kuliko wasomi wa Africa ajabu hii.
Indonesia
18
5
109
7.5K
11::11
11::11@Officialsantan8·
This app is beyond broken. Elon ruined this app thb.
English
1
0
0
36
Louis
Louis@ngaizer·
@IAmHaule Wamepewa fursa ya utajiri kubwa sanaaaaa. Juzi katika pita pita zangu nikamkuta kijana wa SUA kijijini kapangiwa kule. Jamaa alianza kidogo biashara ya Ufugaji na kilimo. Mpaka sasa ana mgombe sio chini ya Mia moja, mbuzi za kutosha na ma hekari ya ardhi
Indonesia
0
0
0
143
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Una kipi cha kuwashauri/kuwaambia hawa Ajira mpya walio pangiwa huko vijijini . 👇🏼
हिन्दी
31
18
196
14.1K
Louis
Louis@ngaizer·
@BPKAA_ Ila War Machine 9/10 eti🤣🤣 kama haujafatlia “vizuri” peaky blinder series..immortal man huwezi ielewa
0
0
0
46
Louis
Louis@ngaizer·
@1TraVeLA Huyu ndo alikuwa mfumbuzi wa neno “pasi rula”….pasi zake zimenyooka hayari
Indonesia
1
1
0
169
Louis
Louis@ngaizer·
Alafu mwehu mmoja anakwambia EPL ni bora kuliko La Liga🤣🤣🤣
0
0
0
25
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Kuna uwezekano mkubwa Rais ajaye akatokea msoga tena namaanisha yule waziri wa ajira na utumishi 😭
Indonesia
12
11
211
17.8K