Sabitlenmiş Tweet
𝗚𝗶𝗻𝗶𝗺𝗯𝗶
14.5K posts

𝗚𝗶𝗻𝗶𝗺𝗯𝗶
@officialginimbi
—THE SKY IS THE LIMIT ☝️ —BUSINESSMAN
Los Angeles, CA 🇺🇲 Katılım Kasım 2024
89 Takip Edilen3.5K Takipçiler

Hii interview haichoshi kabisa, jamaa humu ameongea mambo mazito sana kama umewahi kupata pesa then ukapoteza.
youtu.be/mfS89sh1EZA?is…

YouTube
Filipino

Forex Bhna sio rahis kiukweli lkn mtaa wanaamini ni simple kuzipata pesa lakin nahis kuna siri ndani yake shida hawasemi pls any 1 can tell us tujue 🤔
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBest
Sema wazee wa Forex wana Audacity sana, alafu watu flani wa Mivimbo yaan.. Huyu hapa mwamba akibrag namna anaweza kutengeneza mitaji na kuzungusha pesa kwa Kutrade. Wazee wa pesa za Kudownload kujisemea Maviatu.. 😂
Eesti

@officialginimbi Brow 😂 pole kwanz usimuamin mtu ukampa pesa ili akufundishe jifunze mwenyew nowdays kila kitu kipo waz and usimpe mtu atrade labda fany mwenyew utajua ukwel but for me forex sio utapel ila watu baadh wanafany ionekane utapel
Indonesia

Umeona namna watu wametulia na wanakupa retweets kwenye Ajenda na hashtag zako unapush ndo ujifunze kuwa unafanya hivyo pia wenzio pia ikitokea hujapewa hashtag.. Unatulia, unashow love then usilete kelele kwenye riziki za wenzio!
Sean 🦩@iboysean
Kuna jamaa angu mmoja karudi kwake anakuta wife anaangalia mambo ya Forex 😂😂😂
Indonesia

Biashara na nidhamu ya pesa viko sawa
𝗚𝗶𝗻𝗶𝗺𝗯𝗶@officialginimbi
Biashara inahitaji nidhamu kuliko hamasa. Hamasa huisha, nidhamu hubaki.
Indonesia

@EngMapundajr Hizi Bus si zimeshuka juzi juzi tu 😂😂😂
Ukweli mnaopaswa kumwambia ni mmoja tu
—Muelekezeni mganga mzuri atampata wapi.
Indonesia

Katarama hapo kuna kitu hakipo sawa..,Tusipo Waambia Ukweli hii Kampuni itabaki jina Tu..🤔🤔
Southern Highland Buses@SouthernBuses
👀
Filipino
















