Orbit Securities Co. Ltd

350 posts

Orbit Securities Co. Ltd banner
Orbit Securities Co. Ltd

Orbit Securities Co. Ltd

@orbitsecurities

Official account of Orbit Securities Co. A leading Stockbroking firm, Member of the Dar es Salaam Stock Exchange and Authorized Dealer of Government Securities.

Dar es salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2018
268 Takip Edilen2.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Orbit Securities Co. Ltd
Orbit Securities Co. Ltd@orbitsecurities·
Mfuko wa INUKA Money Market, unaosimamiwa na Orbit Securities ni mfuko unaotoa fursa ya kipekee ya kuwekeza kwenye amana za muda mfupi na hatifungani katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Indonesia
4
3
36
3K
Orbit Securities Co. Ltd
Orbit Securities Co. Ltd@orbitsecurities·
Faida za Uwekezaji: ✅ Hakuna gharama wala kodi za kuingia na kutoka ✅ Faida ya soko inayofikia 12% kwa mwaka ✅ Usimamizi wa kitaalamu na usalama wa uwekezaji wako ✅ Vipande vinaweza kutumika kama dhamana ya mkopo Kima cha chini cha uwekezaji
Orbit Securities Co. Ltd tweet media
Indonesia
0
1
13
991
Orbit Securities Co. Ltd
Orbit Securities Co. Ltd@orbitsecurities·
Mfuko huu unawekeza kwenye amana za muda mfupi, hati fungani za Serikali na kampuni binafsi ndani ya Tanzania, EAC na SADC. kima cha chini cha uwekezaji ni TZS 10,000 Wasiliana nasi Sasa kupitia 📧 inuka@orbit.co.tz 📞 0743677873 / 0711803634
Orbit Securities Co. Ltd tweet media
Indonesia
2
1
10
1.2K
Orbit Securities Co. Ltd
Orbit Securities Co. Ltd@orbitsecurities·
Inuka Fund ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja unaowezesha Watanzania, kampuni, na vikundi kuwekeza kwa usalama kupitia usimamizi wa wataalamu wa Orbit securities chini ya uangalizi wa Serikali.
Orbit Securities Co. Ltd tweet media
Indonesia
1
2
22
1.9K
Justine Limbe Jr
Justine Limbe Jr@16Limbe·
UTT Amis Funds by - Faida Fund - Timiza Fund. - Sanlam Investment by @SanlamInvestEA - Alpha Halal by @AlphacapitalTz - Inuka Money Market Fund by @orbitsecurities Orodha inaongezekaaa Cc @maishatz @iGodmanHustler @keencag
Justine Limbe Jr@16Limbe

Timiza Fund! A new CIS (Collective Investment Scheme) approved by CMSA is expected to be issued in the market by @ZanSecurities late this month. Good news for small/retail investors, so to say the market shall have; - UTT Amis Funds - Faida Fund - Timiza Fund.

English
0
3
3
1.3K
Orbit Securities Co. Ltd
Orbit Securities Co. Ltd@orbitsecurities·
Mfuko wa INUKA Money Market, unaosimamiwa na Orbit Securities unatoa fursa ya kipekee ya kuwekeza kwenye amana za muda mfupi na hatifungani katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Young Africans SC@YoungAfricansSC

Rais wetu Eng. Hersi Said leo alipata wasaa wa kualikwa kwenye uzinduzi wa mfuko wa soko la fedha INUKA Money Market Fund, inayoendeshwa na Kampuni ya @orbitsecurities INUKA Money Market Fund ni mfuko wa kwanza wa soko la fedha, unaokuwezesha kuwekeza kuanzia kiasi kidogo cha fedha nchini Tanzania, na katika nchi za Afrika Mashariki na SADC. 𝐘𝐀𝐍𝐆 𝐙̌ michongo ndo hii sasa tukutane Jumamosi👊🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Indonesia
3
3
28
2.5K
Orbit Securities Co. Ltd retweetledi
Bank of Tanzania
Bank of Tanzania@BankOfTanzania·
Bank of Tanzania tweet mediaBank of Tanzania tweet media
ZXX
2
73
153
17.4K
Orbit Securities Co. Ltd
Orbit Securities Co. Ltd@orbitsecurities·
Licha ya kwamba DSE ni soko, ila pia ni moja ya Kampuni zilizoorodheshwa katika Soko la Hisa. Kampuni hii ina vyanzo kadhaa vya mapato ikiwemo: 👉🏿Ada za Kuorodhesha (Listing Fees) 👉🏿Ada za Manunuzi (Transaction Fees) 👉🏿Ada za CDS (CDS Fees) 👉🏿Mapato ya Uwekezaji
Orbit Securities Co. Ltd tweet media
Indonesia
2
11
30
2.5K
Orbit Securities Co. Ltd
Orbit Securities Co. Ltd@orbitsecurities·
Fursa hii ni kwa: ✅ Watu binafsi / Wenzi ✅ Makundi ya kijamii kama VICOBA ✅ Makampuni Wekeza sasa na ujipatie faida nzuri kwa muda mrefu! #InvestingNeverStops 🚀 Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia: 📞 +255 746 848 301 | +255 785 137 883 ✉️ orbit@orbit.co.tz
Orbit Securities Co. Ltd tweet media
Indonesia
2
1
18
1.4K
riico
riico@FrankFedric·
@phinhokim @CarolNdosi Kuna video za UTT wenyewe Youtube za zaidi ya saa moja, zinaeleza vizuri sana! Ukipata muda pita huko
Indonesia
2
0
2
73
Agnostic
Agnostic@Outset_Of_Omega·
@phinhokim @CarolNdosi mkuu wafundishaji woote wenyewe wanataka pesa kupitia kufundisha... na issue ikishaingia pesa tu ujue ni fursa na sio elimu. shortly utt na dse bond.... ni uwekezaji wa kitajiri kama wewe ni Tia maji tia maji achana nazo kabisa kabisa kabisa full stop na usiulize why.
Indonesia
3
0
0
54
Phinhokim
Phinhokim@phinhokim·
@CarolNdosi Mimi nataka sana kujifunza about UTT na kuwekeza DSE but the knowledge is barely available na ukiipata inakua not deep through internet sijui nianzie wapi..
Filipino
6
0
2
457