Otorael

9.3K posts

Otorael banner
Otorael

Otorael

@otorael

Happily born again | Brethren to a King #Jesus ✝️ Mark 3:34 | Spring Boot JAVA | Java Script | Software Developer

Tanzania Katılım Ocak 2023
524 Takip Edilen362 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Otorael
Otorael@otorael·
Unafikiri Yesu alikufa msalabani ili upate hela, na range rover? Wewe uliyeokoka acha mawazo ya kitoto🫵🏼 hata adui anakucheka, Nenda kawaambie watu habari njema za ufalme wa Mungu toba na ondoleo la dhambi Ya kwamba Masihi alizaliwa na bikira, akafa, akafufuka HII NDIO INJILI
Indonesia
2
9
29
242
Otorael retweetledi
Pope Mwita I
Pope Mwita I@EJ_Mwita·
YESU ni MUNGU.
Indonesia
63
41
212
46.3K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kwa nini Mungu alipomshindwa shetani huko mbinguni akaamua kututupia huku duniani?😎
Indonesia
47
5
70
7.7K
Otorael retweetledi
Ya!! Gunners❣️
Ya!! Gunners❣️@DenzoMaesTro·
Painulieni patakatifu mikono Yenu, Na kumhimidi Bwana. -Zaburi 134:2
Indonesia
0
6
31
238
Otorael retweetledi
Pastor. Godhope Uiso 🇹🇿🗝️🇮🇱
Yeyote aniaminiye mimi, kama Maandiko yanavyosema, vijito vya maji ya uzima vitatiririka kutoka ndani yake.” [Yohana 7:38 NENO]
हिन्दी
3
13
46
384
Otorael
Otorael@otorael·
Jinsi zilivyo kuu nguvu zako, Mungu wangu; jinsi ufahamu wako ulivyo juu ya akili zetu, unayejua haja zangu, na ukanitimizia kwa upendo Wewe ufe kulitunza agano lako ili Mimi niishi; ufe kwa aibu kwa kosa langu nitakusifu siku zote kwa kuwa ninakupenda na moyo wangu unajua hilo
Indonesia
0
4
17
170
Otorael retweetledi
Mayra Flores
Mayra Flores@MayraFlores4TX·
I will worship Jesus until my last breath.
English
266
705
8K
88.1K
Otorael retweetledi
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
@jimymosha Lengo lao sio kutengeneza taasisi za kidini Duniani. Ni legal issues za serikali ndo unalazimika kutengenza majina na usajili ila movement ya Injili hata bila kuwa na jina haina shida Injili inapigwa tu.
Indonesia
0
1
8
299
Otorael retweetledi
Samson Ernest
Samson Ernest@SamsonErnest_·
Sifa nyingi kwako zinaweza zikawa zina agenda nyuma yake kwa anayekusifia, usipoenda na matarajio ya agenda hiyo, uwe na uhakika utakuwa umeingia kwenye uadui na yule yule aliyekusifia. Ukipenda sifa sana bila kuzipima, utalia siku moja.
Indonesia
4
9
24
254
Otorael retweetledi
Francis Mhiche
Francis Mhiche@FrancisMhiche·
“Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza. ” — Yeremia 29:12 (Biblia Takatifu)
Filipino
1
15
61
420
Otorael retweetledi
Samson Ernest
Samson Ernest@SamsonErnest_·
Basi tukiisha kuhesabiwa haki itokayo katika imani, na mwe na amani kwa Mungu, kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo, Rum 5:1 SUV
Indonesia
0
10
39
257
Otorael retweetledi
Otorael
Otorael@otorael·
Unafikiri Yesu alikufa msalabani ili upate hela, na range rover? Wewe uliyeokoka acha mawazo ya kitoto🫵🏼 hata adui anakucheka, Nenda kawaambie watu habari njema za ufalme wa Mungu toba na ondoleo la dhambi Ya kwamba Masihi alizaliwa na bikira, akafa, akafufuka HII NDIO INJILI
Indonesia
2
9
29
242