Linus Lasway

38.8K posts

Linus Lasway banner
Linus Lasway

Linus Lasway

@LinusLasway

Spiritual Alchemist |Grow in stillness Live your purpose for business,enterpreneurs

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2022
1.3K Takip Edilen1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Linus Lasway
Linus Lasway@LinusLasway·
Tumezaliwa ktk maisha haya na kuaminishwa ya Kuwa, -Nguvu za asili sio kitu kwetu bali ni ushirikina na ndio maana tunashindwa kutumia Nguvu za asili ktk -Biashara zetu kama wewe unafanya biashara -Ujasiliamali wetu kama wewe ni mjasiliamali
Indonesia
4
2
8
1.3K
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Wambieni Mlinganya na Prosper waniblock tu, mtoto mchanga kama huyo nimuache ateseke wakati inawezekana kuishi na mama yake na mtoto akakua vyema hata kama sio wangu,🙌 🙌
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
89
42
454
29.2K
w!se-man🦷
w!se-man🦷@mwarabu22305·
@AlexSamoja Wanaume dhaifu tu hawawez kukaa na single mother kuna wazaz wetu wamelele na step father na hakuna mbaya,
Indonesia
3
0
16
1.3K
777
777@yoezafurahi·
@SwahiliBible CORRECTION: Sisi wanadamu hatuna jina jingine isipokuwa jina la Yesu.
Filipino
2
0
4
307
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
NIKWAMBIE kitu ... sisi Wakristo hatuna jina lingine isipokuwa jina la Yesu tu.
Filipino
36
129
789
12.3K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Kila siku nawambia vijana mnaogopa bure umri ni namba tu oneni kijana mwenzenu kajitwika ushujaa kapoa mke wake fresh eti mshangazi vijana umri ni namba tu shambulieni mpaka muoe mshangazi nipo nyuma yenu😂😂😂👇👇
mTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet media
Indonesia
17
14
83
16.3K
Linus Lasway
Linus Lasway@LinusLasway·
@Sirajitz1 Sio sahihi maana mwanamke halali na mwanaume mwingine kwa bahati mbaya
Filipino
0
0
0
20
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Wanaume wote njooni tuongee serious kidogo hapa Je ni sahihi kumsamehe mpenzi wako anayekupenda baada ya kulala na mwanaume mwingine bahati mbaya?
Filipino
76
25
122
5.7K
uncle chitemo
uncle chitemo@Mikumifinest·
Ukiweza kujenga Dodoma . Sehemu nyingine unaweza kuanzisha Kampuni
Indonesia
6
3
22
887
Linus Lasway
Linus Lasway@LinusLasway·
@fortmselle Hapana akiwa ktk mwili wake na aliyekuwa alifananishwa na Yesu na hakuwa yesu mwenyewe kasoma injili ya barnaba sura ya 20-50 Story yote ipo kule
Indonesia
1
0
0
17
Mene Mene Digital
Mene Mene Digital@DigitalMene·
@ThomzJoseph Ukweli unategemea na chanzo cha Taarifa, Huyu sio msemaji wa Traders wala Sio Trader. Taarifa kama hii angesema kuhusu Wawekezaji wa HISA, au watu wa BETTING, angeamka na Vita kubwa sana..
Indonesia
2
0
10
1.7K
†hømz
†hømz@ThomzJoseph·
Ni kweli hii kitu..!🤔
†hømz tweet media
Indonesia
60
60
780
50.4K
The drebe
The drebe@MnikoCharles1·
@mangekimambi Mi aina hii ya ukombozi bado hainiingii akilini. Ni utumwa bado huu. Tujipambanie wenyewe tu tutafanikiwa.
Indonesia
9
0
31
7K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
KIWEWAKAAAAA, wa-Cuba wa Marekani nao leo wamejikusanya wanataka Trump akawaondolee dikteta wa nchi yao. Haki Trump kazi anayo mwaka huu, kila nchi yenye dikteta inalilia akawasaidie kuwaletea freedom. Na Trump atawafanyia maajabu wananchi wa Cuba. Ila kuna nchi zinajielewa, wanajua kujikusanya na kupiga kelele mpaka Trump anasikia kelele zao. Hapo tuseme wa Tz wa Marekani tujikusanye wengi ngumu tutatokea 20, kila mtu anaogopa atabebwa na ICE au sijui atapata shida akienda Tz. Ila waambie wajikusanye kwa sherehe za kipuuzi, hao kama wooote.
Emmanuel Rincón@EmmaRincon

🚨 BREAKING Cuban Americans tell President Trump: "Cuba next, Cuba next."

Indonesia
63
84
601
44.8K
Linus Lasway
Linus Lasway@LinusLasway·
Hizo utatu utakatifu ni tamaduni za kale za kimisri na baal
Indonesia
0
0
0
27
Adam male
Adam male@Maleyadam·
@LinusLasway Karibu jitahidi kusoma sana itakujenga kiimani. Ningekuwa na muda mwema tungeelewana zaidi. —-Soma Biblia ukiongozwa na roho mtakatifu usisome kama Riwaya——
Indonesia
1
0
0
8
Linus Lasway
Linus Lasway@LinusLasway·
Yesu hawezi kuwa Mungu Maana Mungu halali wala hali
Adam male@Maleyadam

@EJ_Mwita Exactly, Yesu ni Mungu (kwa sababu ni Mwana ndani ya Utatu) Lakini Mungu si Yesu pekee, kwa sababu Mungu pia ni Baba na Roho Mtakatifu. —-Najua ni tata kidogo usipokuwa na D mbili😄😆🙏—-

Indonesia
1
0
0
44
Amos Cyprian
Amos Cyprian@AmosCyprian4·
Na leo tena simu nimevunja kioo? 😔 Yani mbona kama ni sign za kuniambia nibadilishe simu? Yan mwezi una maovyo ovyo mengi huu kwangu.
Indonesia
2
0
7
107
Adam male
Adam male@Maleyadam·
@LinusLasway Inahitaji utashi mwema wa kibinadamu kunielewa. ———POLE SANA ndugu LINUS——
Indonesia
1
0
0
12
faith 🙏🛐✞︎
faith 🙏🛐✞︎@juliejuleth·
Sikiliza tu mtu akipiga story sijui za matikiti yanalipa ila ukwl ni kwamba Kilimo ni uti wa mgongo ila ukiingia humo kwemye kilimo ndio utajua mbivu na mbichi, narudia nasemaje Kilimo ni betting isiyo na cashout 🤤
Filipino
7
14
52
1.1K