ndalahwa pastory
19 posts


Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Club ya Yanga Ali Kamwe amesema Timu ya Yanga ni Role Model wa Timu ya Mamelodi Sundowns ya South Africa kutokana na kuizidi vitu mbalimbali ikiwemo miaka ambapo Yanga imeanzishwa mwaka 1935 ( miaka 89 iliyopita) huku Mamelodi ikiwa imeanzishwa mwaka 1970 ( miaka 54 iliyopita).
Kamwe aliyafunguka haya kwenye #AMPLIFAYA ya CloudsFM ( Jumatatu-Ijumaa saa kumi jioni ) wakati akiongelea mchongo wa Yanga kutafuta Mashabiki wa kwenda nao South Africa wiki ijayo kwenye mechi ya marudiano na Sundowns.
“Tuna plan ya kuwapeleka Mashabiki kwa njia mbili ambazo ni kwa kutumia mabasi na kwa kutumia ndege ambapo kwa basi mchango ni shilingi laki sita kwa kila Mwanachama na mpaka sasa Watu wengi sana wameshalipia kusafiri kwa basi hadi tunafikiria kuongeza basi jingine”
“Kwa njia ya ndege tumetengeneza namna tofauti kidogo ambapo Mwanachama au Shabiki wa Yanga wa kawaida anaweza kushiriki akaingia kwenye droo na kuziwania nafasi tano za ndege, yani ile Ndege ambayo Yanga wanapanda na Washindi wanakuwa hukohuko, Hoteli ambayo Yanga watafikia na wenyewe wanafikia hukohuko, kushiriki ni rahisi nenda kwenye menu ya fedha ya mtandao wowote kisha lipia bili, ingiza namba ya kampuni 553111 kisha kumbukumbu namba ni 111 au andika Yanga kisha ingiza kiasi cha shilingi elfu mbili tu” ——— Alikamwe. #MillardAyoUPDATES
Indonesia

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wameungana na Familia na Waumini kushiriki Misa Takatifu ya kumuombea Rais wa awamu ya tano, Hayati Dkt. John P. Magufuli, leo March 17, 2024.
Misa hiyo imefanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi Wilayani Chato Mkoa wa Geita na kuongozwa na Makamu Askofu, Padri Ovan Mwenge wa Katoke Seminari.
Misa hiyo Takatifu ya kumuombea Hayati Magufuli inafanyika ikiwa imetimia miaka mitatu tangu alipofariki dunia March 17, 2021 ambapo imehudhuriwa na Familia ikiongozwa na Mke wa Hayati Dkt. Magufuli, Mama Janeth Magufuli, Watoto wa Hayati, Wanafamilia, Ndugu, Jamaa na Marafiki.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia
ndalahwa pastory retweetledi

Ujumbe wa Tanzania katika Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ukiongozwa na Naibu Waziri @mfa_tanzania Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa Baraza hilo jijini Luanda, Angola tarehe 11 Machi, 2024.




Indonesia

FIFA Club World Cup — Third Place Playoffs. 🥉
Today:
Urawa Reds v Al Ahly
Kick-off is 14:30 GMT!
Referee: Tori Penso 🇺🇸
#AfricanFootball
#YallaYaAhly
#ClubWC

English

Today’s fixtures! 🔥
Which game are you looking forward to the most? 💪🏼
#CAFCLwithMicky
#TotalEnergiesCAFCL

English

Hi guys! 👋
Just thought of a special way to get more closer to you ahead of the start of the CAF Champions League and Confederation Cup.
Don’t forget the transfer window opens soon.
Let’s enjoy all the updates together and don’t forget: 𝐡𝐞𝐫𝐞 𝐭𝐡𝐞 𝐫𝐢𝐠𝐡𝐭 𝐧𝐞𝐰𝐬 𝐨𝐧𝐥𝐲! ❤️🌍⚽️🫶🏻
Link: whatsapp.com/channel/0029Va…
Join in and do share the link! 🤝
#AfricanFootball
#Micky

English

@mzeewakaliua Marumo yumo kwenye tuzo ila kashuka Daraja🤣sema wenetu mnajua kuziweka mbali sana
Indonesia

Meet the board members of the Community Agribusiness Partners in Tanzania. The board is braced up to champion and sustain the work initiated by the @ClintonFdn on Community Agribusiness in the country for farmers to put more money into theri pockets.

English

@salim_tryagain @LuisMiquissone Tumempokea na tunamkarbshaaa sanaaaaa
Filipino


🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋:
Luis Miquissone (27) returns to join Simba SC on a two-year deal plus an option for a third, it’s sealed. 🔴🇲🇿
Rate this deal from 1 to 10 for the Tanzanian giants! ⤵️😉
#AfricanFootball
#NguvuMoja 🦁
#Transfers

English

@SportsarenatzTz Maandalizi ganii asitafte sababu wamefungwa tu, tatzo letu ndo hilo mbona wakishnda hawatoi sababu kama hizoo😂😂😂😂
Filipino

Yesterday, a staff member from the Directorate of Planning, Policy and International Cooporation in the Ministry of Agriculture, @p30255 Pastory Ndalahwa, making appreciative commentary during his visit to the @ClintonFdn supported Community Agribusiness program in Iringa


English

Happening this week @ClintonFdn in Iringa Tanzania, sharing insights with the Ministry of Agriculture visiting team on our efforts in supporting farmers to engage in farming as a business and increase value of sell collectively through cooperatives-

English











