
Palamasya
4K posts

Palamasya
@palamasya
Educated, Experienced and Hard Working Business Consultant







Hii ndo maana ya kupiga kwenye mshono! Yaani anadharaulika huyu bi Kizimkazi dunia nzima! #SamiaMustGo Thank you @TheEconomist - the answer is YES economist.com/leaders/2026/0…

TUME IMEPATA UKWELI SABABU IMEFANYA KAZI KISAYANSI Mwenyekiti wa Chama cha ADC Hammad Rashid amesema kuwa Tume ya Uchunguzi imefanya kazi nzuri ya kuleta ripoti ambayo imeonesha wapi kama taifa lilikosea na namna gani ya kusonga mbele kwa sasa. Hamad Rashid amesema hayo wakati akizungumza na wanahabari Dar es salaam ambapo amesema ripoti hiyo ni hatua muhimu katika kuelekea maridhiano na kila mwenye nia njema na Taifa basi ataondoa tofauti aliyonayo na kujikita katika kutafuta suluhu na kujenga umoja wa kitaifa
















Sawa. Tupeleke ajira zile Tanga. No prob bro















