clergyman98

3.8K posts

clergyman98 banner
clergyman98

clergyman98

@paschaljoel63

Clinical Nutritionist

Tanzania Katılım Mayıs 2023
1.2K Takip Edilen952 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
clergyman98
clergyman98@paschaljoel63·
Follow me for more nutrition education and information! Happy to help you!... Ask anything about nutrition related issues!
English
6
2
12
1.7K
clergyman98
clergyman98@paschaljoel63·
Njaa Yako ya mafanikio inapaswa kuwa moto mkali na unaotoa mwanga Mkubwa kiasi kwamba kitu chochote kinachotupwa kwenye moto huo kinageuka kuwa nishati ya kuuchochea zaidi. #BilaKukataTamaa
Filipino
0
0
0
3
SPOON
SPOON@TonnyUnfiltered·
Mwanaume anaye lala kwa raha na amani hajaoa na hana madeni.📌
Filipino
31
69
205
4.7K
clergyman98 retweetledi
Ja Leto
Ja Leto@_falsi1ke·
Manchester United remains the best team in the world.
English
67
235
1.3K
12.9K
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Ukiweza jifunze kichina haraka sana , kuna wachina wengi wanatamani kuja kufanya uwekezaji Afrika , ukijua lugha yao umetoboa .
Indonesia
17
13
245
8.4K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Toka Oktoba ni kama half the population haipo sawa mentally 🙌🏼
Filipino
92
137
1.5K
40.8K
Ng@tt@ b○€°•🦅
Ng@tt@ b○€°•🦅@Ngattaboe99·
Pampas ya mtoto mchanga elfu tano hapana kwa kweli huyu mtoto naanza kumpeleka chooni atazoea tu.
Filipino
68
99
586
27K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Being too nice haijawahi kulipa mtu
Filipino
49
190
1.1K
29.8K
clergyman98
clergyman98@paschaljoel63·
@IAmHaule Na hawataki kushauriwa kabisa kuhusu side hustle. Mkubwa, ujasiriamali sio kwa kila mtu, mtu akiweza kuajiriwa aajiriwe tu na atakayeweza kujiajiri ajiajiri tu.
Indonesia
0
1
8
825
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Kuna vijana walienda Ajira za Vijijini wakiwa na confidence kubwa sana kuhusu maisha yao. Walikuwa wanaota biashara, investments, travelling, big city life… Nowadays wanaishi tu from salary to salary waiting for years to pass. That pain is real .
Filipino
24
69
720
24.2K
Trojan Horse 🎭
Trojan Horse 🎭@anon_codex·
Umeona kabisa maisha yamepanda kila kitu bei juu baadala ujiongeze na wewe bado upo hapo ofisini unasubiria hiyo laki 8 au 1M kwa mwezi ambayo inaishia kwenye mihogo na nauli 🫵🏾🫵🏾
Filipino
31
29
427
36.6K
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Ni nini unadhani kinafanya baadhi ya biashara zikue haraka sana Kati ya hivi 👇🏼. 1. Timing 2. Marketing 3. Smart execution 4. Luck
Indonesia
4
11
31
840
clergyman98 retweetledi
Ja Leto
Ja Leto@_falsi1ke·
Another problem with having a good heart is that people think you're stupid.
English
132
1.9K
6.8K
98.1K
clergyman98 retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Ukiachana na huo utani wa “Millennials” na “Gen Z”, kuna eneo moja nakubaliana na Gen Z 100%. Ni ukweli kwamba Millennials tumelifikisha Taifa letu matopeni. Hatuwezi kuiwajibisha Serikali hata inapokosea. Millennials ndiyo uti wa mgongo wa utumishi wa umma kwa sasa; sisi ndiyo injini ya nchi. Lakini injini hii ikikubali kufanya kazi kwenye matope bila kuhoji kwanini barabara haitengenezwi, nchi inabaki palepale. Kizazi chetu kwa sehemu kubwa ndiyo watumishi wa umma, hata tusipoongezwa mshahara na marupurupu kwa miaka 10, tunaona ni sawa tu. Tunaona ni kawaida na ndiyo kitu ambacho kama watumishi, tunastahili. Kizazi cha wasomi wengi kimegeuka kuwa kizazi cha “ndiyo mzee.” Millennials wamekuwa watulizaji (stabilizers) wa mfumo hata kama ni mbovu. Gen Z ni wavurugaji (disruptors) wa mfumo ili ukae sawa. Hofu ya kupoteza mshahara inayoweza kusababisha watoto wakose ada/familia ikose chakula imewafanya Millennials kuwa waoga (risk-averse). Hii imetengeneza kizazi kinachopendelea diplomasia ya unyenyekevu. Kwa sababu ya familia, tumekuwa kizazi cha viumbe wabinafsi sana. Hatujui kudai haki zetu, na tumezalisha machawa na wapambe wengi. Kizazi chetu kimeasisi mfumo wa kusifu na kuabudu (sycophancy). Tazama, hata machawa wakubwa na wazito (pro-max) wanaosifu na kuabudu Serikali hii ni kizazi cha Millennials. Wasanii wakubwa wa muziki wa kizazi kipya ambao ni wafuasi wa watawala ni Millennials. Gen Z wengi bado hawajazama kwenye majukumu mazito ya kifamilia, hivyo wana ujasiri wa kupaza sauti bila kuwaza “kesho nitalishaje watoto.” Hawalazimiki kuwa machawa ili waweze kuendesha maisha yao. Gen Z wanakuja na utamaduni tofauti: wako ‘connected’ na wanatumia teknolojia ipasavyo. Wanaona wenzao duniani wanavyowajibisha serikali zao, hawaamini katika uvumilivu wa miaka 10 bila ongezeko la maslahi. Hawahitaji mikutano ya siri; wanatumia simu kuanzisha mijadala, kuumbua ubadhirifu, na kuungana kwa kasi ya ajabu. Hii imepunguza nguvu ya machawa ambao walizoea kutawala simulizi za mtandaoni. Safi sana. Wakati Millennials walifundishwa kuwa na shukrani hata kwa kidogo (ile dhana ya bora mkono uende kinywani), Gen Z wanauliza: “Kwanini iwe kidogo wakati rasilimali zipo?” Hapa ndipo sasa nawakubali madogo hawa. Hawa Gen Z wana uwezo wa kuungana kama kizazi bila kujali itikadi za vyama, kitu ambacho Millennials wengi wameshindwa kwa sababu ya kuweka mbele maslahi ya ajira zao. Wamekataa mambo ya “Status Quo.” Gen Z wamevunja mwiko. Millennials wamefungwa na nidhamu ya uoga au hofu ya kupoteza walichonacho, sasa wanatazamana na kizazi kinachoongozwa na kanuni moja kuu: “Haki haiombwi, haki inadaiwa.” Labda shinikizo hili la Gen Z litatumika kama kioo cha kuwafanya Millennials wajione walivyojipoteza. Binafsi, wananikosha sana. Gen Z wanaupiga mwingi. Mimi nawatia moyo, wasiogope. Kaka zao tupo pamoja nao. Gen Z, take a bow, fellas.
Filipino
56
262
1.3K
44.3K
Veesmart2🌹
Veesmart2🌹@Veesmart2·
Millennials wakiona hivi zamani wanapagawa
Veesmart2🌹 tweet media
Filipino
57
36
310
16K
SPOON
SPOON@TonnyUnfiltered·
Kitu gani ukiona kwa mwanamke unajua huyu ni tapeli la mapenzi?
Indonesia
31
31
142
4.8K
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Unadhani nini kinafanya watu wengi washindwe kutoboa mapema ? A. Lack of discipline B. Fear ya kuanza C. Wrong circle D. Kukata tamaa mapema
Indonesia
16
11
68
1.8K
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
Walikua wanamaliza Vita kupitia Redio utasikia wametuma sms BBC au DW "Mimi Jafari kutoka Kigoma nawataka Urusi iache kuivamia Georgia mara moja na dunia iwe sehemu ya amani" 😅
Indonesia
29
45
364
12.7K
Dear Son.
Dear Son.@DearS_o_n·
Men only want one thing. What is it??
English
125
15
159
18.1K
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Google pixel walikuwa wanauzia camera, sasa kila simu inakuja na camera Kali nyingine kuliko Google pixel, watauzia nini?
Indonesia
28
17
432
21.4K